jeshi

  1. Miundombinu iliyoharibiwa na mafuriko. Jeshi linaweza kusaidia? Lina wataalam

    Lengo la uzi wangu siyo kumfundisha kazi Mhe. Rais. Bali kumshauri kwa uzingativu wa mamlaka aliyonayo kikatiba. Tunamuona Waziri wa Ujenzi Mhe. Bashungwa akipiga kambi kusini kusimamia urejeshwaji wa mawasiliano ya barabara na madaraja yaliyobomolewa na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha...
  2. G

    Israel imeuchukua mpaka wa Rafah unaounganisha Misri na Gaza, Mizigo na watu kuvushwa chini ya uangalizi na idhini ya Israel

    Kwa lugha nyepesi ni kwamba misaada, watu na vinginevyo haviwezi kuingia moja kwa moja Gaza mpakani Rafah bila ukaguzi na idhini ya Israel. Jeshi la Israel limechukua udhibiti wa mpaka wa Rafah na Misri. Jana usiku, kwa idhini ya Baraza la Vita, Netanyahu aliagiza ifanyike operesheni huko...
  3. Kambi ya Jeshi Gongo la Mboto ihamishwe kijengwe kituo cha basi

    Nadhani ifike wakati serikali yetu hata kama ina wajinga wengi basi tutumie nafasi yetu kushauri badala ya kukosowa tu. Mimi si mtaalam wa mambo ya ulinzi lakini naelewa fika nimezaliwa Dar gongo la mboto ilikuwa iko wilaya ya kisarawe ni shamba. Sasa kuwepo kambi ya JWTZ kwa kipindi kile...
  4. Kesi ya uchochezi inayowakabili Malisa inageuka kwa Jeshi la Polisi kuhusu vifo vya utata

    Mahakamani ni sehemu ya ajabu sana kwa wale wenzetu tusiofikiria sheria wala maamuzi. Hili swala lilo lalamikiwa na jeshi la polisi kupitia afande muriro linawezaa kuzua mjadala mwengine ambao ukageuka kibao kwao kuhusu utata wa vifo vinavyo tokea kupitia wao au kuzuka jambo la kupotea kwa watu...
  5. Jeshi la Polisi Mbeya lahimiza ushirikiano na Wafanyabiashara katika kuzuia uhalifu

    Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Mwanjelwa Jijini Mbeya wametakiwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuzuia, kudhibiti na kutokomeza uhalifu katika Jiji hilo. Rai hiyo imetolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Abdi Issango Mei 07, 2024 wakati...
  6. Wanamgambo wa Hamas wameshakuwa jeshi kubwa.Israel haiwezi kushinda kamwe.

    Vita vilipoanza baada ya shambulio la oktoba 7 na kwa kujua ukubwa wa jeshi la Israel haikutarajiwa kufikisha hata wiki moja kabla Israel kukamilisha malengo yake ambayo na kuwafuta Hamas na kuwapata mateka wote waliokuwa wameshikiliwa na Hamas. Watu wa Gaza zaidi ya 35,000 mpaka sasa...
  7. Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Israel Yitzhak Brik: Netanyahu anajua kwamba kuendelea na mchakato huu kutapelekea kuporomoka kwa Taifa la Israel kijesh

    Wanaukumbi. Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Israel Yitzhak Brik: Netanyahu anajua kwamba kuendelea na mchakato huu kutapelekea kuporomoka kwa Taifa la Israel kijeshi, kiuchumi, kisiasa na kijamii. Hata kama Hamas na Hezbollah wataendelea kupigana kama wanavyofanya leo, bila mshangao wa kijeshi...
  8. KERO Usumbufu kwa wananchi kutoka kwa Wanajeshi Chuo cha Jeshi CTC Mapinga ni kero kubwa, TPDF shughulikieni hili

    Kuna kero kwa wakazi tunaotumia barabara iliyopo mbele ya Chuo cha Jeshi la wananchi wa Tanzania CTC Mapinga, kitongoji cha Kiembeni, Kiharaka Bagamoyo. Ni barabara kubwa kutokea Mingoi kwenda Mbweni (kuvuka daraja la Mpiji). Wanawafyekesha wananchi majani nje la lango lao kuu na pembeni ya uzio...
  9. U

    UTEUZI Meja Jenerali Fatima Ahemed ateuliwa kuwa Mkuu wa Jeshi la Anga Kenya

    Wadau hamjamboni nyote? Meja Jenerali Fatima Ahemed Amekuwa mwanamke wa kwanza kuteuliwa kuwa Mkuu wa vikosi vya Jeshi la Anga Kenya Taarifa kamili hapo chini === Kenya's President William Ruto has appointed the first female commander of the air force. Maj Gen Fatuma Gaiti Ahmed becomes the...
  10. U

    UTEUZI Jenerali Shlomi Binder ateuliwa kuwa Mkuu wa idara ya ujasusi ya Jeshi la Israel

    UTEUZI Jenerali Shlomi Binder ateuliwa kuwa Mkuu wa idara ya ujasusi ya Jeshi la Israel Wadau hamjamboni nyote? Uteuzi wa Maofisa wakuu wa Jeshi la Israel Jeshi la Israel IDF limefanya uteuzi mpya kwa kumteua Jenerali shlomi Binder kuongoza idara ya ujasusi ya Jeshi la nchi hiyo akichukua...
  11. 1

    SoC04 Maonyesho ya Kijeshi yajikite zaidi kwenye kuonyesha uvumbuzi wa silaha na vifaa vya kivita

    Imekuwa ni jambo la kawaida kila mara zifanyikapo sherehe za kitaifa (Sherehe za Uhuru, Muungano na Mapinduzi ya Zanzibar) kuambatana na maonyesho ya kijeshi. Maonyesho haya yamekua yakionyesha mbinu kadha wa kadha wanazotumia wanajeshi wakiwa vitani. Ni jambo la kuvutia na kusisimua sana...
  12. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa inawatakia Kheri ya Sikukuu ya Wafanyakazi "Mei Mosi"

    Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa inawatakia Kheri ya Sikukuu ya Wafanyakazi "Mei Mosi"
  13. Waziri wa Mambo ya Ndani: Jeshi la Polisi litalinda Demokrasia wakati wa Uchaguzi Mkuu 2024 na 2025

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema katika uchaguzi ujao ukiwemo wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu Jeshi la Polisi litalinda Demokrasia ili kuhakikisha unakuwa uchaguzi wa Huru na Haki huku Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Camillus Wambura akisema wako tayari...
  14. Nigeria: Wafungwa wapatao 100 watoroka baada ya gereza kuanguka kwa mvua kubwa

    Taharuki nchi nzima, watu wanapiga simu kuuliza ndugu zao kama wamepona kutokana na kuanguka kwa ukuta wa gereza. Ila hawa jamaa wa TBC Digital wakazusha taharuki kubwa kuweka picha ya uongo wa tukio. Angalia hiki kituko hapa. --- More than 100 inmates have escaped from a prison in Nigeria...
  15. Pongezi sana kwa Jeshi la Uganda na mengineyo duniani yaige

    UPDF trains 177 Guinea Bissau soldiers in VIP and special operations tactics A total of 177 trainees from Guinea-Bissau, who underwent training in the Very Important Persons and Special Operations Tactics Course, passed out today at the Special Mission Training Centre in Butiaba, Bulisa...
  16. Endeleeni tu Kujidanganya na Jeshi lenu kuwa ndiyo Bora wakati wenye Majeshi bora, imara na hatari Afrika wala hawajisifu ila Wanakubalika na Kazi yao

    UPDF trains 177 Guinea Bissau soldiers in VIP and special operations tactics A total of 177 trainees from Guinea-Bissau, who underwent training in the Very Important Persons and Special Operations Tactics Course, passed out today at the Special Mission Training Centre in Butiaba, Bulisa...
  17. Burkina Faso: Matangazo ya Redio ya BBC na VOA yafungwa kwa kuripoti Jeshi linavyodhalilisha Raia

    Burkina Faso suspended the BBC and Voice of America radio stations for their coverage of a report by Human Rights Watch on a mass killing of civilians carried out by the country’s armed forces. Burkina Faso’s communication spokesperson, Tonssira Myrian Corine Sanou, said late that Thursday that...
  18. TFF na Bodi ya Ligi mnaogopa kuufungia uwanja wa JKT Tanzania au kwakuwa ni uwanja wa Jeshi?

    kila siku tunaimba kuwa ligi yetu imepanda kwa ubora na inasemekana kuwa ipo nafasi ya tano kwa ubora Africa, nimeshangazwa sana toka jana baada ya mchezo wa jkt Tanzania vs Yanga sc kuahirishwa kutokana na uwanja kujaa maji JKT Tanzania walindelea kutaka mchezo wao uchezwe palepale kwenye...
  19. Jeshi la Polisi lakamata Wafanyabiashara watatu wakituhumiwa kuuzaji pombe bandia Ruvuma

    Hali ya ulinzi na usalama Mkoa wa Ruvuma ni shwari, na ushwari huu umetokana na ushirikiano mzuri uliopo baina ya Jeshi la Polisi na wananchi kuhakikisha jamii na Mkoa kwa ujumla unaendelea kuwa salama. Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linapenda kutoa taarifa ya mafanikio ya doria, misako...
  20. Mkuu wa Idara ya Ujasusi ya Jeshi la Israel ajiuzulu

    Mkuu wa ujasusi katika jeshi la Isarel Meja jenerali Aharon Haliva amethibitisha na kukiri kufeli katika vita vinavyoendelea hasa katika kuzuia shambulio la Hamas la Oktoba 7, aidha kwa maelezo hayo Mkuu huyo wa ujasusi jeshini IDF amejiuzulu wadhifa wake huo ------- Israeli military...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…