Matumizi ya pombe kila siku ni Moja ya mambo yanayoathiri sana maendeleo yetu kwenye JAMII.
Takwimu mbalimbali zinatuthibitishia kwamba matumizi ya vinywaji changamshi, beer, konyagi yamekuwa yakiathiri sana maendeleo ya watu.
Kama mdau ninayependa maisha, AFYA ya akili asubuhi ya Leo...