jiji la tanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vibarua wa Halmashauri ya Jiji la Tanga idara ya mazingira na bustani, walalamikia kuchelewa kwa mishahara

    Sisi ni vibarua wa Halmashauri ya Jiji la Tanga, Idara ya Mazingira na Bustani, tunaomba kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu kuchelewa kwa malipo ya mishahara. Kwa muda sasa, vibarua wa jiji tumekuwa tukikabiliwa na changamoto ya mishahara kuchelewa kulipwa. Mshahara wetu ni Shilingi 150,000 kwa...
  2. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli kuwa jiji la Tanga limeacha kukua?

    Nimekuwa nikisikia sana kuwa jiji la Tanga halikui, linabaki hivyo hivyo miaka nenda miaka rudi. Sasa sijawahi kufika Tanga, je madai haya yana ukweli wowote? Kama ni kweli serikali itafute namna ya kufufua hili jiji liendelee kukua. Wajenge hata vyuo vikuu, viwanda au namna yoyote tu jiji liwe...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jiji la Tanga limepitisha rasimu ya bajeti ya Tsh. bilioni 25 kwa mwaka wa fedha 2025/2026

    Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Jiji la Tanga limepitisha rasimu ya bajeti ya Tsh. bilioni 25 kwa mwaka wa fedha 2025/2026, ikiwa ni ongezeko la asilimia 19.491 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2023/2024, ambayo ilikadiriwa kukusanya Tsh. bilioni 21 kutoka mapato ya ndani. Akizungumza...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Halmashauri ya Jiji la Tanga imetoa zaidi ya shilingi bilioni 2.6 kwa vikundi 315 ikiwa ni mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya Halmashauri

    Halmashauri ya Jiji la Tanga imetoa zaidi ya shilingi bilioni 2.6 kwa vikundi 315 ikiwa ni mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya Halmashauri ambayo ni mpango wa serikali wa kuinuia wananchi wake kiuchumi kwa kwa Vijana, Kinamama na watu wenye ulemavu. Kati ya vikundi 315, vikundi vya wanawake ni...
  5. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Hekaya fupi ya kaburi la wapendanao lililopo katika jiji la Tanga linalosemwa kuwa kitovu cha mapenzi

    #Copied Jijini Tanga, katika kata ya Usagara karibu na uwanja wa hockey, kuna makaburi ya zamani yenye sehemu ya Kikristo na sehemu nyingine ya kijeshi ya Vita ya Kwanza ya Dunia, ambapo wengi wa waliozikwa ni Wajerumani. Kati ya makaburi haya, kuna kaburi moja lenye mvuto wa kipekee, likiwa...
Back
Top Bottom