Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Nimekuwa nikisikia sana kuwa jiji la Tanga halikui, linabaki hivyo hivyo miaka nenda miaka rudi. Sasa sijawahi kufika Tanga, je madai haya yana ukweli wowote?
Kama ni kweli serikali itafute namna ya kufufua hili jiji liendelee kukua. Wajenge hata vyuo vikuu, viwanda au namna yoyote tu jiji liwe alive.
Kwa Tanzania hatupaswi kuruhusu mji wowote ule usimame maendeleo maana bado tuna safari ndefu
Nasikia Moshi nako pamesimama. Kama ni kweli, inabidi tuandae mipango ya kuendeleza hayo maeneo. Sasahivi ni mapema sana mji wowote ule wa Tanzania kusimama maendeleo