JIMBO LA GANDO KUNUFAIKA NA VIFAA VYA MAJI SAFI NA SALAMA
Mbunge wa Jimbo la Gando Mhe. Salim Mussa Omar amesema kwamba amemtuma Katibu wa Ofisi ya Mbunge Jimbo la Gando Ndugu Mshani Ali Kachinga kukabidhi vifaa mbalimbali vya Maji katika Shehia tano vyenye thamani ya Shilingi Milioni...
MBUNGE JACQUELINE KAINJA AKUBALI KASI YA MAENDELEO JIMBO LA KALIUA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora Mhe. Jacqueline Kainja akiwa Kata ya Kamsekwa Wilaya ya Kaliua katika Uzinduzi wa Jukwaa la Wanawake amesema kuwa Kaliua imebadirika, siyo kama zamani kwani imepiga hatua kubwa kimaendeleo...
IGUNGA: "TUMEAMUA KUACHANA NA VIKAO VYA CHINI YA MITI NA KWENYE STOO ZA PAMBA".
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe Nicholaus George Ngassa ameendelea na Ziara ya Kikazi Jimboni, Ziara inayoambatana na zoezi la ujenzi wa Ofisi za Kata za Chama cha Mapinduzi (CCM). Akiongea na Wanachama wa CCM Kata ya...
Igunga, Tabora
Habari Picha: Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akisalimiana na Wakazi wa Kitongoji cha Mhama Mmoja Kijiji cha Itumba akiwa siku ya Pili ya Ziara ya Kikazi Jimboni.
Baada ya Ziara ya Kikazi, Mheshimiwa Ngassa (MB) amekutana na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya...
MBUNGE EDWARD OLE LEKAITA ASISITIZA MATUMIZI YA UCHUMI WA KIDIGITALI & APONGEZA UJIO WA MINARA YA MAWASILIANO KATIKA KATA 12 ZA KITETO
"Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuweka fedha nyingi sana kwenye Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Nampongeza Waziri Nape na Naibu...
MIRADI MIPYA YA MAJI JIMBO LA NGARA, KAGERA
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuelekeza na kutoa Shilingi Bilioni 3 Jimbo la Ngara kwaajili ya kujenga miundombinu bora ya Maji Safi na...
MBUNGE NOAH SAPUTU - AHADI ZA MAKAMU WA RAIS KWA WANANCHI WA JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI
Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango, ametoa maagizo kwa Mamlaka husika kupitia Mawaziri wenye dhamana kutatua kero zinazowakabili wananchi wa halmashauri ya Arusha...
Tunaomba msaada kwa mwenye kufahamu anayeweza kutuwekea hapa sheria ya fedha za mfuko wa jimbo sura 96 ya mwaka 2006.
Ninaona Halmashauri karibia zote hazijui sheria hiyo na fedha Za mfuko wa jimbo zitakuwa na kutumika na ukoo wa mbunge husika katika jimbo.
Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe, mkoani Kigoma. Mikutano hii itafanyika katika maeneo tofauti ya jimbo hilo ili kuhakikisha kuwa wananchi wanapata fursa ya kumsikiliza na kujadili nao masuala muhimu...
JIMBO LA KITETO - EDWARD OLE LEKAITA
TAARIFA MAALUM KUHUSU UJENZI BARABARA ZA LAMI
BARABARA KONGWA - KITETO- SIMANJIRO- ARUSHA KM 453
BARABARA HANDENI - KITETO- NCHEMBA - SINGIDA KM 460
Ndugu wananchi wenzangu wa Jimbo la Kiteto najua wengi wenu mmekuwa mnanipigia simu kuhusu Ujenzi wa...
ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, PEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
NB: HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI YASITAFSIRIWE...
📍 Igunga, Tabora
ZIARA YA MBUNGE JIMBONI
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa atafanya Ziara ya Kikazi ya Siku Tatu Jimboni Igunga kuanzia tarehe 19 Mei, 2023 kwa ajili ya;
1. Kukagua Maendeleo ya Utekekelezaji wa Mradi wa Umeme Vijijini Jimbo la Igunga (Rural...
MBUNGE DKT. OSCAR KIKOYO AKICHANGIA BAJETI WIZARA YA ELIMU MWAKA WA FEDHA 2023/2024
Mhe. Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo, Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini amechangia hoja ya hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu ya zaidi ya Trilioni Moja Bungeni Jijini Dodoma iliyosomwa na Waziri wa Elimu, Mhe...
JIMBO LA KITETO - TAARIFA MAALUM KWA WANANCHI KUHUSU MIRADI YA HUDUMA ZA MAWASILIANO
Ndugu wananchi wenzangu wa Jimbo la Kiteto natambua kuwa wakati natafuta kura tulipata changamoto nyingi sana za huduma ya mawasiliano ya simu katika Vijiji zaidi ya 30 ambavyo mitandao ya simu ni...
MBUNGE REHEMA MIGILA AMSHIKIA SHILINGI AWESO MPAKA AJIBU HOJA ZA MAJI KWA KALIUA, ULAMBO NA IGUNGA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Rehema Juma Migila akichangia hoja kwenye Bajeti ya Makadirio ya mapatao na matumizi ya mwaka wa fedha 2023/2024 ya Wizara ya Maji
"Halmashauri ya...
Mhe. Njalu Silanga, Mbunge wa Jimbo la Itilima
Mhe. Njalu Silanga, Mbunge wa Jimbo la Itilima tarehe 05 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishwa kwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara iliyosomwa na Waziri mwenye dhamana...
Abdulghafar Idrisa Juma, Mbunge wa Jimbo la Mtoni
Mhe. Abdulghafar Idrisa Juma, Mbunge wa Jimbo la Mtoni tarehe 04 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishwa kwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara iliyosomwa na Waziri mwenye...
Mhe. Ramadhan Suleiman Rmadhani, Mbunge wa Jimbo la Chakechake
"Hadi sasa hakuna ubishi kwamba yapo maamuzi ya Mahakama ya Ushindani wa Kibiashara (FCT) kwenye kuzui mchakato wa Twiga Cement na Tanga Cement kuungana, sasa unapata wapi nguvu ya kupindua maamuzi ya mahakama?
Maamuzi ya mahakama...
Mhe. Sophia Mwakagenda ameuliza swali la nyongeza Bungeni kutaka kujua ni lini Serikali italifanyia kazi suala la kugawa Jimbo la Mbeya Mjini kwa sababu ya ukubwa wa Jimbo hilo na wingi wa watu. Ombi la kugawanywa Jimbo la Mbeya Mjini lilitolewa na Mbunge wa Jimbo hilo ambaye pia ni Spika wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.