Mbunge wa Mbeya mjini kupitia CCM, Dkt. Tulia Ackson amesema lengo la kugawanya jimbo la Mbeya mjini ni kusogeza huduma kwa wananchi na mchakato huo sio wa Mbeya pekee. Dkt Tulia aliongea hayo wakati akihojiwa na kituo cha redio cha wasafi leo asubuhi.
Tulia amesema ubunge wake yeye haijalishi...
Huyu ndo Speaker/Rais wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ila nimeamini viongozi wetu ndo reflection ya wananchi. Speaker yupo hivi, wananchi je?
Zaidi, soma: Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa
MBUNGE MHE. KENNETH NOLLO NA KASI YA MAENDELEO KATIKA JIMBO LA BAHI MKOA WA DODOMA
Mbunge wa Jimbo la Bahi, Dodoma Mhe. Kenneth Nollo mwezi Aprili 2023 amefanya ziara katika Jimbo la Bahi na kukagua miradi mbalimbali ya kimaendeleo inayotekelezwa Jimboni huku akishirikiana na wananchi katika...
MHE. DANIEL BARAN SILLO AFANYA ZIARA KATIKA JIMBO LA BABATI VIJIJINI
Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini na Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daniel Baran Sillo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti ameendelea na ziara katika Jimbo lake la...
MBUNGE MHE. EDWARD KISAU - TUMEPOKEA FEDHA ZA MIRADI YA UJENZI WA MADARASA KATIKA SHULE ZA MSINGI KONGWE
JIMBO LA KITETO - TAARIFA KWA WANANCHI WA KITETO
Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe. *Edward Ole Lekaita Kisau anapenda kuwafahamisha wananchi wa Jimbo la Kiteto kuwa jimbo limepokea fedha...
JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI - WANANCHI WAENDELEA KUTATUA MATATIZO YA ELIMU VIJIJINI MWAO
Wananchi ndani ya Vijiji 68 vya Musoma Vijijini wamekua na mwamuko mkubwa sana kushirikiana na Serikali, na Wadau ya Maendeleo, kutatua matatizo mbalimbali yanayowakabili vijijini mwao.
Baadhi ya matatizo...
Nimesoma moja ya post humu kwamba kwa mujibu wa CAG, Tanroads walikuwa na bakaa kwenye bajeti yao. Nimesikitika sana kwa kweli. Hali ilivyo mbaya sana tena sana kwenye jimbo la kibamba kwa barabara zilizopo chini ya Tanroads, alafu inapatikana hela ya kurudi serikalini? Hii si ni dharau kweli...
Kwa masikitiko makubwa, kila Jimbo Tanzania linapokea fedha za mfuko wa Jimbo kwa maendeleo ya Jimbo. Huu ni mwaka wa 3 Jimbo la Hai halijawahi kuona au kupokea fedha za mfuko wa Jimbo kwa ajili ya ujenzi wa maendeleo ya Hai.
Mbunge Saashisha Mafue akiulizwa anataka kukata watu na mapanga...
Tulia Ackson Mbunge wa Mbeya Mjini, Mbeya City FC na Prison ziko kwenye hatari kubwa ya kuporomoka daraja.
Una mikakati gani ya kuzisaidia hizi timu? Tunajua umekuwa unajinasibu kuwa wewe ni shabiki kindakindaki wa Simba. Hatujawahi kuona unatoa amsha amsha kwa timu za jimboni kwako.
Hizi timu...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi leo amechangia Bajeti ya Wizara ya TAMISEMI Bungeni Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine ametoa hoja mbalimbali kwa ajili ya kutatua kero na kusukuma maendeleo Jimboni kwake.
Kwanza; Dkt. Samia amempongeza Rais...
MKATABA WA SHILINGI BILIONI 4.7 KUWAFIKISHIA WANANCHI MAJI SAFI NA SALAMA KATA YA MUGANGO NA TEGERUKA WASAINIWA
WIZARA ya Maji imemtaka mkandarasi kampuni ya Kiure Engineering L.T.D. kukamilisha kazi ya mradi wa Maji Kata ya Mugango na Tegeruka kwa kuzingatia muda wa mkataba.
Kauli hiyo ya...
Natumaini mko wazima.
Leo nimeona nitoe ushauri wa kitaalamu kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA. Kwenye siasa kinachoonyesha ukubwa wa chama ni namba kwa maana ya idadi ya wanachama, wabunge, madiwani na viongozi wengine waliopatikana kupitia chaguzi mbalimbali.
CHADEMA iko vizuri kwa idadi...
MHE. SEIF GULAMALI: "MILIONI 225 KWA AJILI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA ELIMU JIMBO LA MANONGA, TABORA
Mbunge wa Jimbo la Manonga, Mhe. Seif Khamis Gulamali amesema kuwa tayari wamepokea fedha Shilingi Milioni 225,000,000/= kutoka Serikali Kuu za Ujenzi wa Nyumba za Waalimu na kukamilisha...
Kauli ya Mbunge wa CCM Mh. Festo Sanga yapingwa vikali.
BAWACHA yasisitiza kuwa CHADEMA inaongozwa na katiba hivyo mbunge wa CCM Mh. Festo Sanga atulie na kuacha propaganda katka kikao cha bunge kinachoendelea mjini Dodoma bali ajikite kujadili mambo ya maana kwa wananchi.
Ndugu Festo Sanga...
Mbunge wa Jimbo la Kilolo, Mhe. Justin Lazaro Nyamoga alifanya ziara katika jimbo lake Wilaya ya Kilolo kwa Kata za Masisiwe, Kijiji cha Masege Kata ya Ng’uruhe, na Kata ya Nyalumbu ambapo alikijita kuzungumza na wananchi wa Kilolo na kutatua changamoto.
Akiwa Kijiji cha Masege kilichopo Kata...
Mbunge wa Jimbo la Manonga Wilaya ya Igunga, Mhe. Seif Khamis Gulamali ameainisha miradi ya Elimu na Afya ambayo imefanyika jimboni kwake huku akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupeleka fedha.
Jimbo la MANONGA Wilaya ya Igunga lilipokea Jumla Shilingi 543,400,000/= fedha...
Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mkoani Tabora, Mhe. Aloyce Kwezi ameishukuru Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Hassan Suluhu kwa kutoa fedha kiasi cha Shilingi Bilioni 1.162 kwa ajili ya ujenzi wa shule za Msingi 4 katika Jimbo la kaliua.
Mhe. Kwezi amezitaja Shule hizo...
MKUU WA WILAYA (DC) NA WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI WANENA KUHUSU UMUHIMU WA MFUKO WA JIMBO
Jana, Ijumaa, 24.3.2023, Wakuu wa Shule za Sekondari za Musoma Vijjini, na Bodi zao, walianza kuchukua vifaa vya ujenzi vilivyonunuliwa kwa kutumia Fedha za Mfuko wa Jimbo.
*Manunuzi yalifanywa na...
Naibu waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara nchini na Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Mhe. Exaud S.Kigahe amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani 19 Machi, 2021 - 19 Machi, 2023
Mhe.Exaud S.Kigahe amesema...
Mfuko wa Jimbo la Musoma Vijijini umepokea Tsh 75,796,000 (Tsh 75.8m) na fedha zote hizo zimeelekezwa kwenye ujenzi na ukamilishaji wa Maabara za Masomo ya Sayansi (Fizikia, Kemia & Bailojia) kwenye Sekondari za Kata za Musoma Vijijini.
Lengo letu la sasa ni Musoma Vijijini kuwa na High Schools...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.