jimbo

Jimbo is a diminutive form of the given name James. It is also a Japanese surname, and it means state in Swahili. It may refer to:

View More On Wikipedia.org
  1. Vifaa vya maji safi na salama vyakabidhiwa Jimbo la Gando

    JIMBO LA GANDO KUNUFAIKA NA VIFAA VYA MAJI SAFI NA SALAMA Mbunge wa Jimbo la Gando Mhe. Salim Mussa Omar amesema kwamba amemtuma Katibu wa Ofisi ya Mbunge Jimbo la Gando Ndugu Mshani Ali Kachinga kukabidhi vifaa mbalimbali vya Maji katika Shehia tano vyenye thamani ya Shilingi Milioni...
  2. Jacqueline Kainja akubali kasi ya maendeleo Jimbo la Kaliua

    MBUNGE JACQUELINE KAINJA AKUBALI KASI YA MAENDELEO JIMBO LA KALIUA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora Mhe. Jacqueline Kainja akiwa Kata ya Kamsekwa Wilaya ya Kaliua katika Uzinduzi wa Jukwaa la Wanawake amesema kuwa Kaliua imebadirika, siyo kama zamani kwani imepiga hatua kubwa kimaendeleo...
  3. Jimbo la Igunga Sasa Kujenga Ofisi za CCM

    IGUNGA: "TUMEAMUA KUACHANA NA VIKAO VYA CHINI YA MITI NA KWENYE STOO ZA PAMBA". Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe Nicholaus George Ngassa ameendelea na Ziara ya Kikazi Jimboni, Ziara inayoambatana na zoezi la ujenzi wa Ofisi za Kata za Chama cha Mapinduzi (CCM). Akiongea na Wanachama wa CCM Kata ya...
  4. Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akisalimia wananchi

    Igunga, Tabora Habari Picha: Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akisalimiana na Wakazi wa Kitongoji cha Mhama Mmoja Kijiji cha Itumba akiwa siku ya Pili ya Ziara ya Kikazi Jimboni. Baada ya Ziara ya Kikazi, Mheshimiwa Ngassa (MB) amekutana na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya...
  5. Mbunge Edward Ole Lekaita Asisitiza Matumizi ya Uchumi wa Kidigitali & Apongeza Ujio wa Minara ya Mawasiliano kwenye Kata 12 za Jimbo la Kiteto

    MBUNGE EDWARD OLE LEKAITA ASISITIZA MATUMIZI YA UCHUMI WA KIDIGITALI & APONGEZA UJIO WA MINARA YA MAWASILIANO KATIKA KATA 12 ZA KITETO "Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuweka fedha nyingi sana kwenye Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Nampongeza Waziri Nape na Naibu...
  6. Bilioni 5 kutekeleza Miradi ya Maji Jimbo la Ngara, Kagera

    MIRADI MIPYA YA MAJI JIMBO LA NGARA, KAGERA Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuelekeza na kutoa Shilingi Bilioni 3 Jimbo la Ngara kwaajili ya kujenga miundombinu bora ya Maji Safi na...
  7. Ahadi za Makamu wa Rais Tanzania kwa Wananchi wa Jimbo la Arumeru Magharibi

    MBUNGE NOAH SAPUTU - AHADI ZA MAKAMU WA RAIS KWA WANANCHI WA JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango, ametoa maagizo kwa Mamlaka husika kupitia Mawaziri wenye dhamana kutatua kero zinazowakabili wananchi wa halmashauri ya Arusha...
  8. Ndugu zangu wa Jimbo la Hai , mpeni Ubunge SHABAN MWANGA Uchaguzi wa 2025

    Nimepitia Kila kona nimeona Huyu kijana anafaa kuwa mbunge wa Jimbo la Hai. Tutaweka picha yake hapa na majukumu makubwa aliyoyafanya jimboni Hai.
  9. Mbunge /Mwanasheria mwenye kuifahamu sheria ya fedha Za mfuko wa jimbo sura 96 ya mwaka 2006. Tunaomba atueleweshe tafadhali

    Tunaomba msaada kwa mwenye kufahamu anayeweza kutuwekea hapa sheria ya fedha za mfuko wa jimbo sura 96 ya mwaka 2006. Ninaona Halmashauri karibia zote hazijui sheria hiyo na fedha Za mfuko wa jimbo zitakuwa na kutumika na ukoo wa mbunge husika katika jimbo.
  10. Kigoma: Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe

    Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe, mkoani Kigoma. Mikutano hii itafanyika katika maeneo tofauti ya jimbo hilo ili kuhakikisha kuwa wananchi wanapata fursa ya kumsikiliza na kujadili nao masuala muhimu...
  11. Barabara za Jimbo la Kiteto kujengwa kwa kiwango cha lami

    JIMBO LA KITETO - EDWARD OLE LEKAITA TAARIFA MAALUM KUHUSU UJENZI BARABARA ZA LAMI BARABARA KONGWA - KITETO- SIMANJIRO- ARUSHA KM 453 BARABARA HANDENI - KITETO- NCHEMBA - SINGIDA KM 460 Ndugu wananchi wenzangu wa Jimbo la Kiteto najua wengi wenu mmekuwa mnanipigia simu kuhusu Ujenzi wa...
  12. Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

    ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi. MPENI JIMBO ASAS 2025, PEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA. NB: HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI YASITAFSIRIWE...
  13. Ziara ya Mbunge Jimbo la Igunga

    📍 Igunga, Tabora ZIARA YA MBUNGE JIMBONI Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa atafanya Ziara ya Kikazi ya Siku Tatu Jimboni Igunga kuanzia tarehe 19 Mei, 2023 kwa ajili ya; 1. Kukagua Maendeleo ya Utekekelezaji wa Mradi wa Umeme Vijijini Jimbo la Igunga (Rural...
  14. Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo, Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini amechangia hoja ya hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu

    MBUNGE DKT. OSCAR KIKOYO AKICHANGIA BAJETI WIZARA YA ELIMU MWAKA WA FEDHA 2023/2024 Mhe. Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo, Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini amechangia hoja ya hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu ya zaidi ya Trilioni Moja Bungeni Jijini Dodoma iliyosomwa na Waziri wa Elimu, Mhe...
  15. Jimbo la Kiteto - Taarifa Maalum kwa Wananchi Kuhusu Miradi ya Huduma za Mawasiliano

    JIMBO LA KITETO - TAARIFA MAALUM KWA WANANCHI KUHUSU MIRADI YA HUDUMA ZA MAWASILIANO Ndugu wananchi wenzangu wa Jimbo la Kiteto natambua kuwa wakati natafuta kura tulipata changamoto nyingi sana za huduma ya mawasiliano ya simu katika Vijiji zaidi ya 30 ambavyo mitandao ya simu ni...
  16. bunge wa Jimbo la Ulyankulu Mhe. Rehema Migila Amshikia Shilingi Aweso Mpaka Ajibu Hoja ya Maji

    MBUNGE REHEMA MIGILA AMSHIKIA SHILINGI AWESO MPAKA AJIBU HOJA ZA MAJI KWA KALIUA, ULAMBO NA IGUNGA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Rehema Juma Migila akichangia hoja kwenye Bajeti ya Makadirio ya mapatao na matumizi ya mwaka wa fedha 2023/2024 ya Wizara ya Maji "Halmashauri ya...
  17. Mhe. Njalu Silanga - Mbunge wa Jimbo la Itilima

    Mhe. Njalu Silanga, Mbunge wa Jimbo la Itilima Mhe. Njalu Silanga, Mbunge wa Jimbo la Itilima tarehe 05 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishwa kwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara iliyosomwa na Waziri mwenye dhamana...
  18. Abdulghafar Idrisa Juma: Kampuni zikitaka kuungana na kuingia sokoni haitakiwi kuzidi asilimia 35 ya hisa. Nini kimewasahaulisha FCC?

    Abdulghafar Idrisa Juma, Mbunge wa Jimbo la Mtoni Mhe. Abdulghafar Idrisa Juma, Mbunge wa Jimbo la Mtoni tarehe 04 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishwa kwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara iliyosomwa na Waziri mwenye...
  19. Mbunge wa Jimbo la Chakechake

    Mhe. Ramadhan Suleiman Rmadhani, Mbunge wa Jimbo la Chakechake "Hadi sasa hakuna ubishi kwamba yapo maamuzi ya Mahakama ya Ushindani wa Kibiashara (FCT) kwenye kuzui mchakato wa Twiga Cement na Tanga Cement kuungana, sasa unapata wapi nguvu ya kupindua maamuzi ya mahakama? Maamuzi ya mahakama...
  20. Kwanini Dkt. Tulia anataka jimbo la Mbeya Mjini ligawanywe mara mbili?

    Mhe. Sophia Mwakagenda ameuliza swali la nyongeza Bungeni kutaka kujua ni lini Serikali italifanyia kazi suala la kugawa Jimbo la Mbeya Mjini kwa sababu ya ukubwa wa Jimbo hilo na wingi wa watu. Ombi la kugawanywa Jimbo la Mbeya Mjini lilitolewa na Mbunge wa Jimbo hilo ambaye pia ni Spika wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…