Baba Mtakatifu Fransisko ameridhia ombi la kustaafu Mhashamu Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa wa Jimbo la Iringa, na kumteua Padre Romanus Elamu Mihali wa Jimbo la Mafinga, kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Iringa, leo tarehe 28/01/2025.
Mhashamu Askofu Mteule Romanus Elamu Mihali, alizaliwa tarehe...
Utangulizi;
Ninapenda kuwajulisha rasmi kwamba Davis Mosha, ambaye ni bilionea na mfanyabiashara maarufu, atagombea ubunge katika jimbo la Moshi Mjini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba 2025
Hii ni hatua muhimu kwa ajili ya maendeleo ya jimbo letu...
Nashauri mikakati mikali ifanyike kuhakikisha Hawa jamaa bunge walione kwenye TV tu. Hata kama itachukua gharama kiasi gani.
Ni watu wa hovyo wanaopenda vurugu na magomvi
MBUNGE WA MOSHI AWA GUMZO MITAA YA MIEMBENI
UTANGULIZI
Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Moshi Mjini Mhe. Priscus Tarimo amekuwa gumzo katika mitaa mbalimbali ya Miembeni na Njoro baada ya kuhudhuria misiba miwili iliyokuwa jirani na kufanya jambo lililotafsiriwa kuwa sio la kiungwana...
Leo, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameitisha Kikao cha Kamati ya Mfuko wa Jimbo kwa lengo la kugawa vifaa vya ujenzi vitakavyonunuliwa kwa kutumia Fedha za Mfuko wa Jimbo.
Waliohudhuria Kikao hicho:
(i) Wajumbe wa Mfuko wa Jimbo
(ii) Sekretariati ya Mfuko wa Jimbo...
Mheshimiwa Juma Zuberi Homera ambae ni mkuu wa mkoa wa mbeya ameonyesha kuwa kiongozi aliyejitolea kuleta maendeleo na mabadiliko chanya popote anapohudumu tangu yupo TUNDURU na baadae KATAVI.
Uongozi wake umekuwa na mchango mkubwa katika kuinua maisha ya jamii, na ameacha alama ya kudumu kila...
MBUNGE WA JIMBO APONGEZA VIJANA 32 WA MUSOMA VIJIJINI WALIOTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA BUTIAMA HADI MWANZA
Leo ilikuwa siku ya Kikao cha Baraza la Vijana wa CCM (UVCCM) wa Wilaya ya Musoma Vijijini. Kikao kimefanyika Kijijini Murangi, Makao Makuu ya Chama Wilaya
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini...
MSG ndo anaandaliwa kushika jimbo ambalo ni Zanzibar’s ya wamasaai, kulinda Maslahi za familia ya mkuu wa hekaya alostaafu,
Itakuwa Mwaka 2025 wala si now
Ikumbukwe mzee wa kuambiwa changanya zako ndo mmiliki halali wa Mali zinazosemekana za MSG!
Vikao 10 sasa !!!
Britanicca
Wana-Kigamboni tufanye Jambo moja tu. Kura zote kwa Komredi DAB
Kuhusu kifo cha mbunge wa Kigamboni, soma TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile afariki Dunia
Katibu wa Chadema Jimbo la Rukwa amewataka wananchi kuichagua Chadema kwa ajili ya maendeleo ya taifa kwani ndio chama kinachojali wananchi.
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika...
Nimeona watu hawa wenye ushawishi mkubwa wametua Kongwa. Ni maandalizi ya uchaguzi wa mwaka 2025? Nani kati yao analitaka jimbo? Ni ziara ya kawaida au kimkakati?.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameshiriki Misa Takatifu katika Parokia ya Mtakatifu Paulo na kuongoza harambee ya kumalizia ujenzi wa jengo la ofisi za Jimbo Katoliki la Bunda ambapo jumla ya Shilingi Milioni 272.6 imekusanywa.
Harambee hiyo imefanyika leo Novemba 10, 2024 Wilayani Bunda...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameshiriki Misa Takatifu katika Parokia ya Mtakatifu Paulo na kuongoza harambee ya kumalizia ujenzi wa jengo la ofisi za Jimbo Katoliki la Bunda ambapo jumla ya Shilingi Milioni 272.6 imekusanywa.
Harambee hiyo imefanyika leo Novemba 10, 2024 Wilayani Bunda...
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara, amesema kuwa hatoweza kurejea Bungeni iwapo Serikali haitachukua hatua za kutatua changamoto za migogoro ya wakulima na wafugaji, miradi ya maji isiyokamilika, na hali ya miundombinu ya barabara jimboni kwake. Hata hivyo, Waitara amesisitiza...
Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Ummy Ally Mwalimu, amejiandikisha katika daftari la orodha ya wapiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika tarehe 27/11/2024.
Ummy ametekeleza haki yake hiyo ya kikatiba katika mtaa wake wa Suji, uliopo kata ya Mzingani, ambapo pia ametumia...
Hakika..... Nchi ina maendeleo, hata viongozi wa dini wanajua.
Kigoma bado kilomita chache iungane na mikoa mingine kwa lami, pale kigongo watu walikuwa wanakaa hata masaa matatu, SGR, SoKo kuu mwanza, kutoka enzi ya stendi ya Tanganyila mpaka Nyamhongolo na Nyegera waitu (nyegezi)
Asiye na...
Kumekuwa na udanganyifu wa baadhi ya Wahe. Wabunge wakijitapa huku Majimboni kuwa bila yeye maendeleo kwenye Jimbo lake yasingepatikana. Mfano miradi ya Maji, Elimu, Afya n.k.
Tuwaambie ukweli kuwa maendeleo yaliyopo kwenye Majimbo yao yameletwa na Serikali kupitia bajeti ya kila mwaka...
Wakazi wa Hai wameonyesha uzalendo wa hali ya juu kwa kumchangia Professor Urassa kiasi cha Tsh milioni 500, ikiwa ni pamoja na gharama za kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali kama Rundugai, Weruweru, Nronga, Mnada, Kia, Masama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.