Nipo Mbeya kwa wiki tatu sasa, mjadala kwenye daladala na masokoni ni DP WORLD, nothing more. Watu hawamwelewi mbunge wao.
Sugu kama unataka kushinda jimbo lako, nafasi yako ndio hii, siwezi kukufundisha cha kufanya ila weka mikutano uwashitakie wananchi kwasababu wanahitaji kusikia toka kwa...