Kwa mujibu wa imani ya kiislamu mtoto ambaye amezaliwa nje ya ndoa hatambuliki Kwa mujibu wa Sheria kama mtoto wa Baba husika.
Kwasababu kizazi au uzao WA familia unatakiwa upatikane ndani ya ndoa ya kisheria au ndoa iliyofungwa Kwa misingi ya Dini,na nje ya hapo huyo ni mtoto wa zinaa ambaye...
Hii haina uhusiano wowote na kikao cha Bunge kinachofuata.
Nilitaka kujua tu, hivi wabunge wetu hawa ambao wengi walipita kwa mgongo wa Hayati JPM, ikitokea mmoja 'miongoni mwao' anapigwa chini u PM halafu linapelekwa jina lingine, wanaweza kulikataa?
Maana wanasema mwenzako akinyolewa wewe...
Nampa angalizo tu, na pia nimejiuliza swali Hilo.
Labda Angelina ana hofu kwamba Yuko karibu na mtoto wa the most influential person, na anaweza kumkorogea mambo wakati wowote ule.
Maji yakitulia tutaona chini Kuna nini.
Wanasema Kuna "amri kutoka juu" na wanamtaja yeye huku vijiweni baada ya...
Leo Nimemtembelea Dada yangu amejifungua mtoto wa kiume. Hila Jambo la kushangaza kampatia mtoto wake jina la Buluga, baada ya ku-google hili jina sijafanikiwa kujua maana yake then na Mama yake anadai hafahamu maana ya jina hilo.
Je, ni sahihi kumptia mtoto wako jina Ambalo halina Maana...
Nimejaribu kuisoma kanuni iliyotolewa na TRA ya kukokotoa kodi inayolipiwa bidhaa zinaoingizwa toka nchi za nje nimepata maswali mengi sana.
Mojawapo ya maswali ni kwanini Ushuru wa Forodha unatozwa Ushuru wa Bidhaa pia unatozwa Ushuru wa Ongezeko la Thamani (VAT)?
Kwanini Ushuru wa Bidhaa...
Ulimwengu wa kandanda ulimpoteza "King" Pelé mnamo 2022, lakini jina la mchezaji huyu mashuhuri bado litaendelea kuishi, haswa kupitia watoto 738 nchini Peru waliozaliwa mwaka jana.
Kwa mujibu wa orodha iliyochapishwa na Msajili wa Kitaifa wa Uraia wa Peru mwishoni mwa 2022, jumla ya watoto 738...
Hayati Rais John Pombe Magufuli ndiye mtu aliyetajwa sana katika mwaka huu 2022,penye hoja na pasipokuwa na hoja,ndiye Rais pekee ambaye atazidi kuendelea kutajwa mara nyingi kwenye awamu hii na awamu zijazo na hata kwenye uchaguzi ujao,alikuwa ni mmoja wa viongozi wachache sana wazalendo wa...
Kwa upande wangu kuna huyu jamaa anaitwa Mnyonya Mbususu
Jina lake na comments zake zinaendana sana.
Mwingine DeepPond huyu jamaa nikiona tu comment yake picha za ngono zinaanza sambaa kichwani. Na hilo jina sijui alilipata baada ya kuona inapwaya sana bwawani kila aki back and forth kwenye...
Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu?
Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo.
Hayati Magufuli kwa...
daraja
hayati magufuli
january
january makamba
jina
jpm
magufuli
makamba
mradi
mshauri
mstaafu
mwanza
mwinyi
rais
rais samia
sababu
samia
ufisadi
wenyewe
Habari zenu wakuu,
Kuna nyimbo nakumbuka mistari yake na kisa chake, sauti ya Saigon pia IPO kwenye hiyo ngoma,kisa cha nyimbo ni washikaji maisha magumu hawana pesa za mavazi wala maradhi, wanapanga wakavamie nyumbani kwa muhindi tajiri wachukue pesa wamalize shida zao,,katika mpango wao...
Nimekuwa na trend ya kuja Zanziba kila wakati kwa majukumu mbalimbali.Changamoto kubwa huku ni bei ya hotel ambayo mara zote..minimum ni TZS 60,000 ambayo ni Hotel ya kawaida kabisa.Sasa juzi nimekuja tena huku na kumtafuta rafiki yangu akaniambia zipo za bei naafuu. Akanipeleka sehemu fulani...
Wanabodi,
Angalizo la Bandiko Hili, sijataja jina la mtu yoyote, naomba na wewe usitaje. Hapa nazungumzia title ya mtu kuitwa Mama.
Japo title ya "Mama" ni jina la heshima kwa mwanamke, kila mwanamke kuitwa mama ni heshima kubwa zaidi kwa mwanamke yoyote kuliko kuitwa tuu jina lake, hivyo...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limechukua uamuzi huo baada kushauriana na wataalamu kutokana na uwepo wa malalamiko kwamba jina la sasa lina Ubaguzi wa Rangi na Unyanyapaa.
WHO imehimiza mashirika yote yanayotoa hudua za Afya duniani kote pamoja na vyombo vya habari kuanza kutumia jina hilo...
Harakati zetu kwa nchi za kiarabu sasa hivi ziko wazi zaidi kuliko pale zamani, hii ni kusema sasa tumejiunga OAC kimyakimya?
Tunahitaji fedha, Nadhani huu ndio wakati wa kujiunga rasmi na OAC ili Tanzania inufaike na uanachama wake kwa uwazi zaidi.
SUALA la Luhaga Mpina kukatwa jina lake kwenye nafasi ya mgombea wa NEC Mkoa wa Simiyu kwa mwaka huu wa 2022 kuwa amekosa sifa ya kuteuliwa limetuachia maswali mengi hasa sababu 11 zinazodaiwa ndio zimechangia kuondolewa kwenye mchuano huo.
1. Kuhoji bungeni kuhusu madai ya fedha za makinikia...
Hawa jamaa walinifuata Insta na kutaka nifanye nao kazi ya ugavi. Walijitambulisha kuwa ni Sasakawa Lodge ndani ya Serengeti. Wakasema walitembelea trade profile yangu wakasema tukutane next day evening huko Serengeti tuingie mkataba.
Nikapigiwa na mwanamke ambaye anazungumza kiingereza cha...
Haya haya Waokoaji wa Ajali za baadae hakikisheni nanyi Majina yenu yawe yanafanana na ya Viongozi Wakuu na Waandamizi wa Serikali hii ya Awamu ya sasa ili yakitajwa tu basi wenye hayo Majina ( Wajina zenu ) waweze Kufurahi na kupata hata Ushawishi wa Kuwalazimisha Wakuu wa Mikoa mpewe Zawadi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.