jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Joshua Deus

    SoC02 Ujue ugonjwa wa Mgunda na jinsi ya kujikinga

    Tanzania ilikumbwa na hofu ya sintofahamu kuhusiana na ugonjwa ulionekana kuwa mpya ambao, wengi hawakuwahi kuuona Wala kuusikia hali iliyopelekea maneno ya hofu wengine wakisema Sasa ni mwisho wa ulimwengu wa Sayari hii ya dunia, kwa mujibu wa mafundisho ya kidini, Hasa yakielezea dalili za...
  2. I

    Kwa wanaofahamu, naombeni muongozo wa jinsi ya kusajili kikundi cha hisa na mikopo

    Naam naona kichwa cha habari kimejitosheleza, naomba mjuzi anipe muongozo wa utaratibu mzima wa usajili.
  3. D

    Jinsi ya kuzuia wezi wa Tv majumbani

    Je umenunua TV yako ya gharama kubwa na bado unahofia wezi wanaweza kuja kukuibia TV yako. Je unajua asilimia kubwa ya vitu vinavyoibiwa majumbani ni TV. I-SECURE wanalo jibu ni jinsi gani unaweza kulinda TV yako.Tumekuletea kifaa kipya kitakachofungwa ndani ya TV yako na kukuwezesha kujua...
  4. CK Allan

    SoC02 Jinsi ya Kutengeneza umoja wa kitaifa Bila migongano!

    UTANGULIZI Makala hii inajikita katika kuangalia namna Bora ya kuwa na umoja na ushirikiano wa kitaifa wenye tija Bila kumuathiri mtu au kikundi chochote Cha Watu katika nchi yetu! Ingawa mara nyingi tunaambiwa hakuna mabadiliko yasiyo na maumivu hata hivyo Kwa njia hizi zikitumika ipasavyo...
  5. S

    Jinsi ya kumudu furaha katika maisha

    KATIKA MAISHA ILI UWE NA FURAHA LAZIMA UTAMBUE: *Katika kupoteza, Kuna kujifunza. Chukulia kwako ni funzo Songa mbelee... *Katika kushindwa, Kuna fursa. Ukishindwa hapa, ni fursa ya kuanzisha safari nyingne, we Songa mbelee... *Na hakuna tatizo lisilo na majibu. Tafuta chanzo, na jua udhaifu...
  6. S

    MSAADA: Naomba msaada wa jinsi ya kupata social security number

    Nimejiajiri, nataka kupata social security number, msaada tafadhali
  7. JanguKamaJangu

    Jinsi ya kupona mapema baada ya mwanamke anapojifungua kwa upasuaji

    Kujifungua kwa njia ya kawaida kuna tofauti na kujifungua kwa upasuaji. Pamoja na furaha yote, lakini kumbuka kwamba kujifungua kunakuja na mzigo mwingine hasa wa mabadiliko ya mwili wako. Shepu itabadilika sana na utahitaji kuzoea tabia mpya. Kama umejifungua kwa upasuaj, utahitaji muda nwingi...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Wanaume; Jinsi ya kumfanya Binti yako asiwe Malaya

    WANAUME; JINSI YA KUMFANYA BINTI YAKO ASIWE MALAYA. Anaandika, Robert Heriel Wanawake wengi siku hizi 80% ni Malaya, umalaya ni kitendo cha mwanamke kufanya tendo la ndoa na Mwanaume zaidi ya mmoja. Umalaya upo WA Aina nyingi lakini maarufu ni ule umalaya Kwa ajili ya pesa ambao huitwa...
  9. P

    Jinsi ya kuondoa vumbi katika barabara zisizokuwa za lami

    Tuna wasomi wengi sana wa sayansi na uhandisi. Je hakuna namna ya kuchanganya udongo au changarawe na kitu fulani ili kuondoa kusagwa na magurudumu na kutoa vumbi ambalo linaathiri mazingira? Hapa msomi anaweza kupata PHD kwa kutupatia ufumbuzi wa tatizo hili.
  10. M

    Jinsi ya kuishi miaka100 - Wataalamu waelezea siri

    CHANZO CHA PICHA,REUTERS Maelezo ya picha, Mtu mwenye umri mkubwa zaidi duniani, Kiko Tanaka, alifari akiwa na na umri wa miaka 27 Juni 2022 Hapo zamani, maisha marefu yalionekana ni kitu kisichowezekana. Lakini sasa mambo yamebadilika. Je uzee kucheleweshwa au hata kuzuiwa? Je wale wenye...
  11. T

    Jinsi ya kuinstall canon IMAGE runner advanced Dx 3538i

    Wakuu naomba kupatiwa steps za ku-assemble & install printer tajwa hapo juu,nimejaribu kugoogle lakini naona sijafanikwa.Msaada unahitajika haraka sana Asanteni sana
  12. H

    Msaada jinsi ya kublock hizi meseji za bahati nasibu za haya makampuni ya mawasiliano ya simu

    Habarini wanajamvi. Sijui humu ndani kama kuna mtu amewahi kushinda ama kupata hiyo bahati ya kushinda hela au magari wanayotangaza.Na sijui dhamira yao ni nini.Zimekuwa 'too much' Nani kawaambia kuwa si tunataka hizo bahati nasibu zao. Hebu tusaidiane jinsi ya kuwablock hawa...
  13. Kelela

    Changamoto: Jinsi ya Ku-apply Chuo cha Upolisi Moshi

    Habari za leo WanaJF, Rejea, kichwa cha uzi hapo juu. Napata changamoto namna ya kutuma maombi katika tovuti ya Chuo cha Upolisi Moshi TPS MOSHI – NIDHAMU UAMINIFU NA HAKI maana kwenye website yao button ya APPLY NOW haifanyi kazi. Kama kuna mtu anajua direct link ya kuapply naomba anisaidie.
  14. meck pro

    Naomba msaada jinsi ya kufika Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, UDOM

    Wakuu habari, Naomba msaada wa maelekezo ya kufika hapo Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Udom nikitokea stand ya dalala Sabasaba. Asante sana 🙏
  15. Raia mpya

    Jinsi ya kuwapata Wanawake kirahisi

    Wazee salama ngoja niende moja kwa moja kwenye point nimegundua njia rahisi za kuwapata hawa viumbe pasua kichwa , njia hii inahitaji akili kidogo tu na njia yenyewe ni kuacha kuwashobokea au kuwapaparikia wanawake. Wazee amini usiamini ukiwa bize na mambo yako yaani na life lako mademu...
Back
Top Bottom