Habari zenu wataalam
Naomba kujua jinsi yakusachi ilikupata taarifa kutoka mtandao mmoja pekee.
Mfano: Nataka kusachi neno fulani tuseme "ushonaji".
Matokeo nataka yatokee kutoka katika mtandao mmoja pekee.
Na sii mchanganyiko mchanganyiko kama ambavyo inatokea mtu akisachi kupitia...
Hiki ni kisa ambacho kitakufanya uweze ku unlock abilities(uwezo) ambao upo ndani yako.
Hapa tunaona mfano wa simba mdogo ambaye amekua tangu akiwa mdogo pamoja na kundi la kondoo, hali iliyomfanya adhani yeye ni kondoo na kuishi pamoja na kula majani kama kondoo.
Hali hii iliendelea hadi...
1. Kwanza unasearch mji/ mtaa au sehemu kiliko kiwanja. Labda Arusha.
2. Kisha unazoom kukipata hicho kiwanja. Labda kiwanja pembeni na uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
3. Unaclick kwenye hiyo alama ya pili toka kulia. Iliyo kama alama ya rula. Itakuletea hako kaduara kama ka kulenga. Utakaweka...
Habari wakuu
Wiki ijayo natarajia kuwa mbali na network.
Naomba msaada wa kuset autoreply message ili atayenipigia, aelekezwe kutumia whatsapp call au whatsapp text.
Natumia infinix smart 6
Nawasilisha
Chief-Mkwawa
Habari wakuu. Mwezi uliopita nilinunua simu Tigo shop redmi 10 A na nikaungwa na ofa zilikua GB 5 Kwa ajili ya mwezi uliopita na muhudumu akaniambia kuwa ofa ni ya mwaka mzima na kila mwezi nitakua napata GB kadhaa sasa Leo ni tarehe 1 ila Naona patupu. Naomba msaada Kwa anejua jinsi ya...
Ninaweza nisieleweke, ila kimsingi tangu Mh. Polepole ateuliwe na aripoti ubalozini nchini Malawi Kuna jinsi anacheka kwa kweli, mpaka ukimwona kwenye picha unashindwa kuelewa mbona anacheka kicheko cha hela yote?
Saa nyingine picha anazotupia kwenye mtandao hazioneshi content ya kumfanya...
Mtaji mkubwa wa mtu ni watu kwa maana hiyo unahitaji kuwa na ujuzi wa kuishi vizuri na watu “Interpersonal skill” pasipo kujali upo wapi na unafanya nini; lakini kupitia makala hii utaenda kuwa mtu mwenye kuishi vizuri na watu na kufanya watu kuvutiwa na uwepo wako kwenye jamii yako, na amini...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken hivi karibuni aliahidi kwamba Marekani inapanga kutumia dola bilioni 200 kati ya mpango wa miundombinu wa dola bilioni 600 uliotangazwa hapo awali na G7 kupambana na "nafasi ya uongozi ya China barani Afrika na nchi nyingine maskini." Mwezi...
Tangu nyakati za zamani, watu wametumia uchawi wa nambari. Wanasaikolojia wanasema kwamba kwa kila mtu Duniani kuna ishara ya kichawi ya nambari. Nambari zitakusaidia kupata utajiri, kuwa na mafanikio zaidi na kuvutia.
Kwa tarehe ya kuzaliwa
Tatu - furaha kwa mtu aliyezaliwa siku hii.
1 -...
Habari za mda huu wakuu? I hope mko poaa... Sasa wakuu nlikua nme-lock folders kadhaa kwenye PC hapa, na folder hizi sijazifungua kwa mda mrefu kweli, almost two years. Leo nataka nizifungue, password zote nnazokumbuka uwa nilitumia hazitaki, na nikikataka ku-uninstall bado mzigo unadai password...
Ama kweli malovee hayana mwenyewe. Yaani na uhenga wangu nimekamatika na katoto ka mwaka 2000.
Muda wote tu nakahisi kama kanachepuka. Japo sijakakamata na ishu yoyote ya kutia shaka lakini nashangaa tu moyo unanienda mbio muda wote nkikafikilia.
Wadau ninyi huwa mnafanyaje kupunguza wivu?
Uzi...
Demokrasia iliyopo Kenya kwa sasa ni darasa kubwa kwetu. Kenya wamepiga hatua kubwa sana ya kusimamia uchaguzi, na ndio faida na umuhimu wa tume huru ya uchaguzi. Kuwa na tume huru ya uchaguzi ni jambo lingine lakini pia kumpata mwenyekiti asiyegemea upande wowote ni jambo lingine. Chebukati...
JINSI YA KUPATA WAZO LA BIDHAA YA KUUZA MTANDAONI NDANI YA MASAA 24 TU
Najua uwa unasikia story za watu kupiga pesa mtandaoni yaani wanatumia smartphone au PC na internet kupiga mpunga na haujawahi kuwa mmoja kati yao na unatamani nawe upate bidhaa itakayokuwezesha kupiga pesa mtandaoni na...
Aibu sana kwa super power ,
Iran has begun training Russian officials to use its advanced drones, according to the Biden administration, the latest sign that Moscow plans to use Tehran’s military weapons to try to seize a new aerial advantage in Ukraine.
CNN
Kwa yeyote anaejua jinsi ya ku remove "write protection" kweny flash drive au kui format flash drive ambyo ipo write protected naomba anisaidie maana cwez kui format wala ku insert file llte. Before nilikuwa naweka mafaili kama kawaida na ku transfer lkn sahv nashangaa inazngua, inasoma "Read...
UTANGULIZI
Kiwewe (trauma) Ni moja ya matatizo ambayo kwa sasa yanaiathiri kwa kiasi kikubwa jamii yetu ilhali wanajamii wengi hawatambui au hawana ufahamu mkubwa juu ya tatizo hili. Hivyo kupitia andiko hili kwa ufupi jamii ielezee maana ya Kiwewe, Sababu zinazopelekea Kiwewe ,madhara yake na...
Kama ni mtafuta ajira ambaye umewahi kupata bahati ya kuitwa kwenye usaili, bila shaka swali hili sio geni. Ni swali la “wewe ni nani” ambalo mwajiri anauliza ili kufahamu taaluma, ujuzi na uzoefu wako.
Amini ninapokuambia kuwa, wala hahitaji kujua kabila na mkoa uliozaliwa. Anahitaji madini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.