Nimewahi andika kuhusu hili, nimeona niliandike tena na kulimalizia.
Frustration ni hali impatayo mtu baada ya kushindwa kufikia malengo yake
Kwenye uzi huu tutaona jinsi watu mbalimbali wanavyo react dhidi ya kushindwa kufikia malengo.
1. Rationalization(Sizitaki mbichi hizi)
Moja ya tokeo...
1:Anzia kijijini. Kule utapata wafuasi wengi wasio na uwezo wa kuhoji kipindi uwezo wako wa kushawishi Bado mdogo.
2: TUMIA Muda mwingi kusoma vitabu vya uchawi ili ujue watu wanalogwaje, vitabu vya migogoro ya ndoa, magomvi ya familia na ukoo. Ujue watu wakienda Kwa waganga Huwa wanafanywaje...
Hukumu katika kesi ya Agness Buhere vs UTT Microfinance Plc ya mwaka 2015 ni mwongozo tosha wa kulinda haki za waajiriwa walio kwenye kipindi cha majaribio (probationary employees). Naambatanisha.
Hanari wakuu, mimi si mtaalam sana wa computer ndo najifunza baazi ya mambo. Natumia dell optiplex 5040 yenye RAM 4gb ddr3 hivyo nikaamua kuongeza RAM 8gb ila ni campuni tofauti na RAM iliyo kwenye desktop
Shida ni kwamba kila nikijaribu kuiweka hii ram mpya mashine haiwaki nakosea wapi wakuu...
Rejea kichwa Cha habari hapo juu.
Msaada wa jinsi ya kulipia (payment methods) ambayo nitamtumia Mpesa au mobile money YouTube ili nipromote contents zangu Kwa eneo ninalolilenga.
Habari za saiz wapendwa samahanini nimemaliza chuo lakin nmepata kazi ambayo sijaisomea.
Nimeitwa kwenye interview ya marketing officer kwenye bandari apa dar es salaam, upande wa Export lakin sifahamu jinsi gani naweza isaidia kampuni kuongeza masoko!
Pia atakama nitapewa mafunzo na kampuni...
Salamu Kwenu Greatthinker(Akili kubwa).
Ushauri wako muhimu sana. Two weeks ago nilipewa connection Kwa Mzee wa makamu kidogo nikampigia simu kumuomba kazi the way nilivyoongea naye kupitia simu nilijionyesha kuwa Nina uhitaji sana na kazi hatimaye nikaitwa Kwenye interview japo Kwenye usaili...
Wanajamii Tech ningependa kujua jinsi ya kuwa software developer kwa kujifunza mwenyewe I mean language (s) course, resources n.k
Pia kwa hapa nchini naona community iko ndogo Sana sijui ndo kuwa kwenye Giza au la madeveloper Sion hata community hakuna sijui imekaaje hapa.
Okay turudi kwenye...
Tanzania tumebarikiwa vyanzo vingi vya nishati, Na Tanesco ni kati ya Makampuni mama ya Tanzania ambayo yanaweza yakaitangaza nchi yetu Africa na Pote Duniani (Yaani mfano wa kuigwa) Sio tu kutupatia nishati hapa bali tuweze kuwapa hata majirani zetu na kutuingizia fedha badala ya sasa kutumia...
Leo ngoja nikupe hii siri.
Maana inakera pale umeshachagua chungwa lako tena la kudumu nalo halafu baada ya kulimenya unakuta halina maji, kavu au sio tamu yani ladhaless.
Ukitaka kupata chungwa tamu.
Usiangalie kwa nje lenye sura nzuri.
Angalia lile chungwa bayabaya ambalo kama lina mabaka...
Ndugu Msomaji wa makala za BAKIIF.
Bila shaka unampenda MUNGU Sana, tunaamini hivyo japo hufuati amri zake, lipo kusudi la Mungu kutaka kukusaidia jambo Fulani ikiwa uko tayari katika yote jiepushe na mafundisho yasiyokuwa ya ki-MUNGU.
Siri ni mipango iliyo ndani ya moyo wa mtu juu ya hatima...
Hello ,
Leo tuongelee mbinu za kushawishi watu.
Hizi nlizisomaga kwny kitabu fulan miaka imepita..Lakini zimenisaidia sana kwa kujua au kutokujua.
Nakuomba nishee na wewe pia.
Ushawishi huu unaweza kuutumia popote iwe ni mahusiano ya kawaida, mapenzi, kazini, biashara, urafiki nk. Yani...
Watu wengi tushawahi kuwauliza watu eneo kwaajili ya kufanyia biashara fulani, yaani baada ya kupata wazo unalitekelezea wapi...??
Njia rahisi ya kupata eneo sahihi kwaajili ya biashara yako ni WAZO. Ndiyo wazo lako linathamani gani..?? Ukishakuwa nawazo fikiria wazo hilo au biashara hiyo...
Wakuu vipi?
Baada ya kusoma Points za huyu jamaa hapa
https://www.jamiiforums.com/threads/shuleni-inabidi-waanze-kutoa-somo-la-namna-ya-kutongoza-ubakaji-na-ulawiti-kwa-watoto-wadogo-vimezidi.1989067/
Na baada ya kuona Malalamiko kama haya...
Wakuu
FOREX &STOCK TRADING ni biashara yenye hasara na faida kubwa yenye kuhiataji umakini ,na maarifa katika uwekezaji wake,
Trading hack
Maximum deposit 50$
Broker Deriv
Instrument -Volatility 75(1s)
Target per day profit 8$
Lot size maximum to be used
0.005 four possition, or...
Niaje wakuu.
Nilikuwa naumwa mafua sasa nikanunua zile dawa za maji. Nimepiga kifuniko kimoja tu nikapona.
Sasa nkawa nawaza kuliko kutupa hii dawa kwanini nisiinywe kama kilevi/Lean?
Kwa wanaojua kutengeneza lean (Lean manufacturing) naombeni maelekezo.
Figo hufanya kazi ya kuchuja damu kwa kuondoa maji na uchafu.
Aidha, hufanya kazi za kuweka uwiano sawa wa tindikali na alkali za damu, kutengeneza sukari kwenye nyakati ambazo mwili wa binadamu huwa na upungufu mkubwa wa sukari, kudhibiti shinikizo la damu pamoja na kuzalisha vichocheo vya...
Nimesikitishwa Sana na chuo changu kusikia eti wanatanya tafiti kuhusu uchawi na Imani za kishirikina!
Hilo ni jukumu la viongozi wa kiroho kulifanyia sio wao.
Sasa hivi kuna majanga makuu matatu,
Panyaroad wanaoleta sintofahamu nchini,mngekuja na tafiti jinsi ya kuhodhi nguvukazi zilizokosa...
Habari wanaJamii, leo nimetuma pesa zilizozidi kimakosa kwenda RITA; kwa maana nimetuma 30,000 badala ya 3,000, ni utaratibu upi nawezafanya kupata kiasi nilizozidisha? msaada tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.