Maana ya Msongo wa Mawazo (Sonona) Msongo wa mawazo ni mfadhaiko wa akili anaoupata mtu kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili katika maisha ya kila siku.
Mtu hupata msongo wa mawazo pale anaposhindwa au kukosa namna ya kukabiliana na jambo linalomsumbua...
Wakuu nipo na tablet Nokia T20 tablet hapa, nilikuwa naistall programs kwenye hii tablets..sasa nimepata shida jinsi ya kuiafany hii tablets niweze kupokea na kupiga cimu, pia kuweza kutumia mobile data coz nimefel kaabsa pamoja na kujitahidi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizindua Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai chini Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 31 Januari, 2023
Katibu Mkuu kiongozi Moses Kusiluka
Jukumu kubwa la tume ni kufanya tathmini ya kina ya mfumo wa...
Habari wana jf
Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana mjasiliamali nimekua nikifanya biashara tofauti tofauti kwa muda sasa na kila siku nawaza kufanya kitu kipya
Nipo hapa kwaajili ya msaada wenu wana jf kuhakikisha nafikia malengo yangu kama mjasiriamali
Hivyo basi nimefanikiwa kununua...
Habari za majukumu wakuu
Natanguliza shukrani kwenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hii biashara nimekuwa nikiifikiria kwa baadae ila naitafutia mtaji kwa sasa hivyo kama unajua taratibu za kufata tunakuomba uje utupe white hapa ili kama kuna mwengine anawaza hii biashara bas ajue pa...
Kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo, zipo njia tofauti tofauti ambazo mtu anaweza kuzitumia kutengeneza kipato endelevu kwa ajili ya kustaafu. Lakini njia ambayo ina matokeo bora sana ni ile ya kutumia nyumba za kupangisha.
Maana yangu ya kustaafu na majengo ya kupangisha.
Ni kufikia hali ya...
Nilitegemea nikute vitabu Vingi vya Imani, kukwida na kufurusha mapepo cha ajabu karibu vyote vinahusu ndoa na migogoro.
Wajumbe mtulie katika mahusiano mnawatoa mitume na wachungaji kwenye fokasi, wanaacha kujifua mambo ya maana ya kwenda mbinguni wanaishia Kutafuta namna ya kutatua migogoro...
Moja kwa moja kwenye mada kichwa Cha habari kime jitosheleza.
Kwa uzoefu wangu hakuna mahali mwanamke anapatikana kirahisi Kama harusini na msibani.. ukumbini unaweza pata pisi Kali kwa ucheshi tu.
Hakikisha umetupia code classic koti na shati na ikiwezekana tupia miwani uwe na muonekano wa...
UTANGULIZI
Kwetu hapa Tanzania kilimo ni uti wa mgongo. Hata duniani kote watu wanategemea mazao yatokanayo na kilimo. Kwetu hapa Tanzania tumekuwa na kilimo cha jembe la mkono kwa muda mrefu sana. Zamani wazazi wetu walikuwa wakiwafundisha vijana wao namna iliyo bora ya kushika mpini wakati...
Ukiona imeingia msg mojawapo katika hizi kipindi hiki.
" Mambo my ! Nimekumiss sana"
" Babe umenisusa upo kweli"
" Mambo vipi? Unaendeleaje?"
" Nina hamu na wewe babe?"
" Siku hizi umenitenga sana"
" Upo handsome?"
" Hey love"
" Hujambo?"
Akikutumia msichana ambaye week mbi au zaidi...
Kwa maneno machache mno , Business plan ni andiko la kibiashara ambalo unaelezea wapi uliko kwa sasa, na wapi unataka kwenda (Future),ukielezea mikakati (strategies) utakayotumia kufika huko kwenye malengo (Goals) uliyojiwekea.
Business plan ya biashara moja hupishana na ya mwingine kulingana...
Habarini wana JF,
Naomba kujua jinsi ya kuanzisha kampuni ya tours. Nitakuwa tu na ofisi ila magari sina Nategemea kukodisha magari na kutia nembo ya hiyo kampuni tarajiwa. Ninaomba ABCD tafadhali kwa wenye idea. Natanguliza shukurani za dhati.
Wakuu naomba kujulishwa kama kuna uwezekano wa kutumia kifaa cha kurecodia matukio ya kwenye gari kama security ya nyumbani.
Je inawezekana kutumia king'amuzi pamoja na camera zake toka kwenye gari kurekodia matukio yanatotokea nyumbani kama mbadala wa CCTV?
Sipendelei sana mitandao ya kijamii zaidi ya JF. Ila juzi kati hapa nilijiunga na huu Mtandao wa Maski aliyenishawishi kujiunga ni jamaa (Mwigizaji) mmoja anaitwa Anthony Starr kacheza series ya The Boys na Banshee kipindi mechi za kombe la dunia alikua anatabiri kila timu aliyoshabikia ilikua...
Habari za muda, naombeni maelekezo ya jinsi ya kuafutatilia na kupata Visa.
-Je niwe na Documents zipi?
-Naweza kupata kwa kupitia online? Link ni ipi? Au ni kwenda Ubalozini?
-Niwe na kiasi gani ajili ya Visa (ya mwaka tu)?
Binafsi nipo mkoani, so kiujumla ningependa kujuzwa taratibu na mambo...
.Kwa sababu hili ni jukwaa la urafiki na mahusiano, basi itakuwa sehemu sahihi kupitia kitabu hiki. How to win friends and influence people
JINSI YA KUPATA MARAFIKI NA KUSHAWISHI WATU
DALE CARNEGIE
Muandishi: Dale Carnegie, 1936.
Mtafsiri: Pictus Publishers ltd
Email...
Wakuu habari zenu,
Kama mjuavyo flash drive ya kwanzia gb 64 + 1 TB uki format kwa fat32 hua inapoteza uwezo wake wa kubeba vitu vingi na badala yake itahifadhi vitu mwisho gb 32 tu.
Naomba msaada jinsi ya kuvunja hiyo limitation na kufanya ibebe vitu vingi zaidi ya gb 32 bila kubadilisha...
Wakuu kwema?
Nataka nizame MUM niopoe jiko, lakini dunia imechangamka sikuizi watu wanafake ID mpaka fake jinsia. Matapeli wapo kazini kila sekta.
Sasa kwa wale wazoefu wa haya mambo online, Ni trick gani naweza kutumia kutofautisha kati ya mwandiko wa kike na wa kiume?
Wanaume..!
anapotokea mwanamke mbele yako, akajilengesha lengesha ili akunase na ukanasika unajionaje?
kuingia kwenye mtego wa mwanamke ambae hukumtaka huu ni udhaifu[emoji848]
wanaume sasahivi tunatongozwa kwa wingi kuliko tunavyotongoza!
unaweza kuishi na mwanamke karibu yako miaka...
Tathmini hii inafanyika kwenye nyumba ambazo ni kwa ajili ya KUJENGA/KUTUNZA utajiri. Nyumba za kuishi jenga au nunua kwa kuzingatia mapenzi yako binafsi (au mapenzi ya familia yako) pengine hata bila kufuata misingi hii ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo.
Viashiria vinne (4) vya kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.