jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    Pre GE2025 Jinsi ya Kupiga Kampeni ya Kugombea Ubunge Tanzania

    Kupiga kampeni ya kugombea ubunge Tanzania ni mchakato unaohitaji maandalizi mazuri, mkakati wa kina, na kuzingatia sheria na taratibu za uchaguzi. Fuata hatua zifuatazo: 1. Elewa Sheria na Taratibu za Uchaguzi Soma na kuelewa Sheria ya Uchaguzi wa Tanzania, kanuni za NEC (Tume ya Taifa ya...
  2. Jidu La Mabambasi

    Formular ya jinsi ya kuporomoka maghorofa (Kariakoo na kwingineko)

    Hakuna haja ya kuunda tume kwa tatizo ambalo serikali inalifumbia macho na jibu la tatizo hilo wote wanalifahami. Iko hivi; Mfanya biashara + Eneo la biashara kubwa + Mipango Miji + Fundi Maiko = Maafa Assumptions; Mfanyabiashara- Mkinga, Mrombo Eneo la Biashara- Kariakoo, Sinza, Ilala...
  3. Mwakawasila

    Jinsi ya kushiriki kwenye Mnada wa hatifungani za Serikali

    1.Fungua akaunti ya uwekezaji (BOT CDS ): Ili kufungua akaunti hii mwekezaji anatakiwa aambatanishe vitu vifuatavyo. a. Picha 3 za passport b. Copy ya TIN certificate c. Copy ya kitambulisho cha taifa 2.Baada ya kuhakikisha viambatanisho vinavyohitajika, mwekezaji anatakiwa Kujaza fomu ya...
  4. EvilSpirit

    Naombeni muongozo jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii kama FB,Instagram na Whatsup ili kuwafikia watu wengi zaidi kibiashara

    Naamini miongoni mwenu kuna wanaotumia mitandao ya kijamii kibiashara nami nahitaji kuwa miongoni mwao.Nahitaji kuwafikia watu zaidi kupitia mitandao hii kwa ajili kuwafanya wawe aware na uwepo wangu kwenye biashara fulani.Nimeilenga mitandao 3.Insta,FB na Whatsup.Pia kama kuna yeyote mwenye...
  5. Down To Earth

    Nifundisheni jinsi ya kurudisha sms zilizofutwa kwenye simu (smartphone)

    Habari wana Tech wa JF? Naomba mnisaidie namna ya kufanya sms recovery kwenye smartphone yangu Natumia samsung galaxy A05, Kuna wakati nakuta sms muhimu sana zimefutwa hata kwenye recycle bin hazipo Nawezaje kuzirudisha? Au ni download APP gani ambayo itakaa humo na kunitunzia hizo sms...
  6. M

    Jinsi ya kunenepesha nguruwe wako.

    Mfugaji wa nguruwe tazama nguruwe walivyobadilika na kuwa na afya bora ndani ya muda mfupi tu na hii ni baada ya kuwapatia Virutubisho vya MAX PIG kutoka Mifugo Plus. Nitoe wito kwa wafugaji wote Tanzania ambao hawajawahi kutumia Max pig kuanza kutumia mara moja. Max Pig husaidia nguruwe...
  7. FRANCIS DA DON

    Jinsi ya kuokoa watu toka kwenye underground ya ghorofa lililoanguka ndani ya masaa mawili

    Siku nyingine jengo likianguka na watu kunaswa kwenye underground, njia rahisi ya kuwatoa kwa haraka ni kuchimba shimo pembeni ya jengo (barabarani), kisha lilishafika kina cha usawa wa underground, inachimbwa tunnel itakayowekwa precast culvert za zege kuelekea kwenye jengo, kisha pipe za...
  8. Oscar Wissa

    Jinsi ya Kupata Maarifa ya Chochote Unachotaka Kujua

    Katika ulimwengu wa sasa unaokua kwa kasi sana kiteknolojia na kijamii, maarifa ni hazina muhimu inayoweza kukusaidia kufikia malengo yako na kuboresha maisha yako. Lakini swali ni: Unawezaje kupata maarifa kwa ufanisi kuhusu jambo lolote unalotaka kujua? Hapa chini, tutaangalia njia mbalimbali...
  9. Man Middo tz

    STORI FUPI: Jinsi ya kutafuta furaha yako

    STORI FUPI: JINSI YA KUTAFUTA FURAHA YAKO. Alitokea mwanamke mmoja aliyevalia nguo za gharama sana, kwa kumtazama tu ilitosha kutambua kuwa ni dada wa kitajiri. Basi alienda kwa mwanasaikolojia akamwambia kuwa “Sina furaha na maisha yangu nipo na huzuni, yani kiufupi maisha yangu hayana maana...
  10. Damaso

    Jinsi ya Kujikinga na Watekaji Nyara

    Katika siku za hivi karibuni, visa vya utekaji nyara vimekuwa vikiripotiwa mara kwa mara. Watekaji nyara hawa mara nyingi hujifanya kuwa maafisa wa upelelezi au polisi ili kuwateka nyara watu. Hata hivyo, ni muhimu kujua kwamba maafisa halisi wa upelelezi au polisi hawatawahi kuomba ushirikiano...
  11. E

    Msaada; Jinsi ya ku 'disign' baiskeli ya kubebea biashara

    Wakuu, nimejiajiri kwenye biashara ndogo ndogo Mwenye picha au wazo, jinsi ya kutengeneza hiyo baiskeli yenye uwezo wa kubeba bidhaa kama; Miwa, fenesi, madafu na matunda mengine Naombeni picha au wazo nmpe fundi Natanguliza shukurani
  12. KakaKiiza

    Wale mnaotafuta jinsi ya kujiunga na mpango wa Lottar Green Card Njoo hapa Bureee!

    Nimesikia Radio Moja hapa nchini ikitangaza mpango wa kujiunga na Green Card kuwa single ni 20,000, na familia 30000/- Huu ni wizi kama wizi mmwingine! Ilitakiwa watoe elimu jinsi ya kujiandikisha na sikuwatoa pesa! Wanakusanya pesa nyingi unaweza kukuta hata katika walioomba asipata hata mtu...
  13. M

    Njoo na ideas jinsi ya ku sort out changamoto zinazozikumba jamii kwa kutengeneza app na system

    Mko poa kwenye jamii kuna changamoto nyingi sana zinabidi ziwe sort out kwa njia ya tech maana now tech inakua saana. Sasa hapa kuna watu wa aina 2 mwenye uwezo wa kutengeneza mifumo ila hana ideas na .Kuna mwenye Idea ila hajui kutengeneza sasa lengo la huu ni kuwakutanisha hawa wote...
  14. K

    Msaada: Jinsi Ya kushare MB Mtandao wa vodacom

    Wakuu habari ,kama kichwa cha habari kinavyosomeka naombeni msaada wa jinsi ya kushare data mtandao wa voda
  15. snipa

    Jinsi ya Kuedit Text au emoji liyoituma WhatsApp Kimakosa au bila Makosa, Ndani ya dakika 15.

    Rasmi sasa WhatsApp waruhusu kuedit message uliyoituma kimakosa au bila kuwa na makosa lakini ungependa kuedit vitu kama vile emoji n.k Ni uamuzi mzuri japo utaleta hoja kuhusu encryption ya message tutakazokuwa tuna tuma kwasabu WhatsApp ni end to end encrypted. Kumbuka waweza kuedit text Yako...
  16. Aaliyyah

    Jinsi ya kupika ndizi nyama za nazi

    Nafikir mna Weeknd nzuri sana nduguzangu Leo tupike ndiz nyama za Nazi Mahitaji Ndizi mbichi mzuzu Kitunguu nyanya moja(Huwa haipendez kutumia nyanya nyingi) Karot na hoho Nyama iliyochomshwa(usisahau kuchemsha na viungo kitunguu swaumu tangawiz na currypowder) Nazi unaweza tumia ya pakt au ya...
  17. fundi saa

    Jinsi ya kusitisha mkopo heslb

    Habarini wakuu kama title hapo juu inavojieleza.... nimepewa mkopo kwa mwaka wa masomo 2024/2025 lakini kuna mambo hayajakaa sawa hivyo sioni kama naweza kusoma this year hivyo basi naombeni msaada kwa anayejua utaratibu wa kusitisha mkopo wa elimu ya juu (HESLB)
  18. Amydiz

    Jinsi ya ku Download PC GAMES FIFA, PES, Minecraft, Fortnite, Counter-Strike 2 & GO, Call of Duty: Modern Warfare II/III/Warzone, League of Legends

    Hellow watu wangu wa games. kwawale wanao penda games tu share website mbali mbali za kucheza na ku dawnload PC GAMES Naanza na hizi; https://oceansofgamess.com/ https://store.epicgames.com/en-US/free-games https://store.steampowered.com/ https://www.g2a.com/ https://www.softpedia.com/
  19. Mwanambugulu

    Jinsi ya kuzitoa pesa NSSF

    Wakuu habari zenu. Poleni na majukumu ndugu zangu Mimi nilikuwa nafanya kazi katika kampuni ya ujenzi ya Waturuki inaitwa Yapi Merkezi inayojenga reli ya SGR ambayo kwa sasa iko lot 3. Kwa sasa kazi imesimama na hakuna kinachoendelea. Sasa sisi tulipumzishwa kuanzia mwezi wa kwanza kutokana na...
  20. E

    Tatizo la kushindwa kupata Msimbo kutoka NACTE ili kusajiliwa chuoni, tusaidieni jinsi ya kutatua changamoto kama hii

    TATIZO LA WANAFUNZI WA DIPLOMA WALIOENDA KULIPOTI MWAKA WA KWANZA LAKINI WAKAPATA CHANGAMOTO YA KUPATA MSIMBO ILI KUSAJILIWA CHUONI MNATUSAIDIAJE WAKUBWA ZETU
Back
Top Bottom