jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    LGE2024 Baada ya kupuuza Ule msemo wa jinsi ya kula na kipofu, Leo wanatafutwa wananchi wa kujiandikisha Kwa tochi ili kura ziibwe!

    Salaam, shalom!! Viongozi tulikuwa tukiwaonya kupunguza viburi, mlikuwa mkitamba Kwa kauli za kejeli kuwa " Hata msipoipigia CCCM kura Bado itaunda Serekali" Wengine wakaenda mbali na kudai kuwa " CCM kamwe haitatoka madarakani Hadi ipende yenyewe kama ambavyo Pascal Mayalla amekuwa akidai...
  2. Dr. Zaganza

    Jinsi ya kutawala dunia

    1. Uza dawa za meno zenye fluoride, kuua jicho la maono. 2. Fanya sukari na junks food zipatikane kila mahali, wawe vibonge na wapumbavu 3. Wape burudani za bure na pombe ziwepo, kizazi cha ulevi hakina maamuzi 4. Wawekee video za ngono kila mahali, wakishiba wafikirie kujikojolesha 5...
  3. W

    Jinsi ya kukabiliana na msongo wa mawazo

    1. Weka malengo unayoweza kufikia ndani ya muda mfupi Badala ya kuorodhesha majukumu mengi, fikiria kuweka malengo madogo. Kuweka na kutimiza malengo haya kunaweza kukupa hali ya udhibiti na mafanikio, na kusaidia kuongeza motisha. Ukimaliza jambo dogo, elekeza macho yako kwenye jambo dogo...
  4. Aliko Musa

    Jinsi ya Kufanya Uchunguzi (Due Diligence) Kabla ya Kununua Ardhi Isiyopimwa ya Urithi

    Ardhi ya urithi ni ardhi ambayo inamilikiwa na mtu kupitia kurithi kutoka kwa wazazi, ndugu, au jamaa kwa njia ya urithi wa kiasili au kisheria. Hii ina maana kwamba umiliki wa ardhi unapita kutoka kizazi kimoja hadi kingine bila kuhitaji ununuzi wa kibiashara. Mara nyingi, ardhi ya urithi...
  5. Grand Canyon

    Je Kuna Sheria kuhusu jinsi ya kupaki gari kwenye parking lot ya Bank?

    Nimefika bank nikageuza gari na kupaki. Nikashuka na kwenda ATM Mlinzi akaniambia ni kosa kugeuza gari kabla ya kuingia Bank. Kwamba gari ikae mwelekeo wa bank, baada ya kupata huduma ndipo nigeuze gari. Sikuwa na muda wa kuhoji nilikuwa na haraka. Naomba ufafanuzi mwenye kujua.
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

    JINSI YA KUMFANYA MWANAMKE WAKO AWE NA FURAHA! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watibeli tunajua kufurahisha Wake zetu. Na Wanawake wa kitibeli hujua kuwapa Raha Waume zào. Ingawaje mapenzi Kwa wengi NI kipengele na wengi husema hayana mjanja lakini kwa Watibeli mambo kidôgo ni tofauti. Kwetu...
  7. danhoport

    Jinsi ya kuangalia size ya tairi ya gari

    Kutambua size ya tairi ya gari yako ni rahisi. Unaweza kupata habari hii kwenye ukuta wa tairi yako, Maelezo haya yanaorodhesha ukubwa na vipimo vya tairi lako, pamoja na kuhakikisha inatii viwango vya usalama. Kila sehemu ya nambari inasimamia nini: Upana(width) - Upana wa tairi katika...
  8. jikuTech

    Jinsi ya Kutengeneza Soko lako mtandaoni

    Watu wengi hawaelewi namna ya kuendesha Business Online Kipengele muhimu usifanye kujaribisha Zingatia sana Jifunze mbinu za dominate sphere ulio ichagua Bila kujifunza huwezi kufanya Kwa usahihi labda Messi na wengine kama yeye Jifunze jinsi itakayo kusaidia kupangilia mawazo ya kufanya online...
  9. T

    Kama taifa tuna mwongozo wa jinsi ya kulinufaisha taifa letu kwanza tuwapo nje ya nchi yetu!?

    Mataifa mengi sana yaliyo serious na maendeleo huwa walishawajengea watu wao wote kwamba ukiwa kwenye mataifa ya watu hakikisha kwa namna yoyote uwezavyo nufaisha taifa lako kwanza. Nakumbuka nimewahi kufanya kazi na makampuni kutoka Africa kusini yaani walikuwa kila kitu kinachotumika kwenye...
  10. N

    Je unahitaji kujua jinsi ya kufanya Payroll na tax zake?

    Habari wana JF, Mimi ni Mtanzania mwenye elimu ngazi ya Degree ya biashara katika uhasibu. Natafuta kazi ya kuandaa Payroll na tax zake monthly kama Part time kwa gharama nafuu kabisa. Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 8 kwenye sector binafsi.. Napatikana kwa namba 0657940974 Karibuni sana..
  11. pandagichiza

    Jinsi ya kupata namba za simu

    Msaada: Jinsi ya kupata namba za simu nilizowahi ku save kwenye phonebook yangu kwa njia ya facebook
  12. Ibanda1

    Msaada wa haraka: Jinsi ya kuangalia fine kwenye gari ama leseni

    Habari za jioni wanajukwaa; Wiki moja iliyopita niliandikiwa fine kwa makosa mawili na traffic ila akaniambia hawezi kunipatia risiti kwa sababu mtandao ulikuwa unasumbua hivyo akaniagiza nikimuona traffic yeyote nimuombe hiyo risiti ili niweze kulipa deni. lakini nikakumbuka siku za nyuma...
  13. Aaliyyah

    Jinsi ya kupika pilau la samaki

    I hope mko poa Wale wasiotumia nyama nyekundu na wapenz wa samaki pitien hapa Sikunyingine tujifunze kupika pilau la samaki 😀😀 Mahitaji Samaki Mchele Unga wa pilau/pilau masala Binzari nyembamba Giligilani ya majani Mafuta ya kupikia Vitunguu swaumu na vitunguu maji Chumvi na viazi...
  14. Aaliyyah

    Jinsi ya kupika ndizi mzuzu mbivu za nazi

    Natumaini mkopoa Wapenz wa ndizi ,Ndizi mzuzu zikiiva msitupe Leo nimewaletea recipe hii ya kupika ndizi mzuzu zilizoiva za Nazi MAHITAJI Naz Ndiz zilizoiva Iriki iliyosagwa ama nzima Sukari kama hupendi tumia chumvi Hatua ya kwanza Menya ndizi kata vipande vinne Kama unatumia...
  15. Mad Max

    Content Creators mnaoanza (Episode I): Unatumia camera gani kutengeneza maudhui yako?

    Wakuu, especially mnaopenda tasnia ya "content creator" kwenye social media, naanza kwa kuwauliza, unatumia camera gani kurecord video? Iwe ni kwaajili ya YouTube, au kwaajili ya Instagram au TikTok, quality ya video na audio jumlisha na storyline nzuri ndio vitakavyokuweka tofauti na...
  16. Aliko Musa

    BURE; Jinsi Ya Kutumia GPS App Kwenye Simu Janja Kupata Vipimo Vya Shamba/Kiwanja

    GPS (Global Positioning System) ni teknolojia ya kisasa inayotumika kupima na kupata vipimo vya eneo au kiwanja kwa usahihi. Kwenye simu janja, unaweza kutumia programu za GPS ili kupata vipimo vya kiwanja chako. Hapa chini ni hatua kwa hatua jinsi ya kutumia GPS App kwenye simu yako janja...
  17. M

    Naombeni msaada jinsi ya kufungua simu bila kureset, nimesahau pattern (aina ya simu ni lg velvet 5g

    Kama inavyojieleza hapo juu simu yangu nimesahau pattern na sitaki kufuta vitu vilivyomo, msaada kama naweza kuifungua
  18. Aaliyyah

    Jinsi ya kupika maandazi matamu ya maziwa na hiriki

    Natumaini mko salama Leo naomba niwaletee recipe ya maandazi matamu laini na yanayoweza kukaa hata wiki yakiwa Bado laini na matamu Mahitaji Ngano kilo moja Sukari robo (utaigawa mara mbili) Iriki iliyosagwa Kijiko kimoja Maziwa ya maji nusu lita Mafuta ya kupikia(pima kikombe Cha ml...
  19. jangos

    Jinsi ya kutumia Payoneer

    Naomba kuelekezwa jinsi ya kufungua account Hadi ntakavyotoa pesa kwenda kwenye bank account yangu
  20. Mwachiluwi

    Jinsi ya kutengeneza kokoto na juice

    weekend napenda kutengeza beats kwasababu kuu moja katika ya wiki naweza rudi nimechoka na njaa nikakosa cha kula beats zikanisev nikala nikalala weekend hii niliamua kutengeneza kokoto mahitaji .Unga wa ngano .sugar .baking powder .chumvi .irick .maji .blueband . mafuta chukua unga...
Back
Top Bottom