jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Tabia ya Madaktari kutojuza chanzo na jinsi ya kujikinga magonjwa

    Kwanini asilimia kubwa ya madaktari siku hizi hawatoi taarifa za ndani kuhusu ugonjwa, kama jinsi ya kujikinga na Chanzo cha ugonjwa. Wamekuwa wakitoa dozi tu wakati mwingine hata tatizo hujuzwi vizuri
  2. O

    Msaada jinsi ya kutangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii

    Habari Wana JF, Samahani nilikua naomba msaada jinsi ya kutangaza biashara mtandaonii kwa kutumia zile sponser au Kama Kuna njia nyingine yoyote ilimradi iwafikie watu wengi mtandaoni. Ahsanteni 🙏
  3. Jameson-journalist

    Unajua athari na jinsi ya kujiepusha na matumizi ya Bangi?

    Chawa si nzito lakini husumbua, wahenga walikuwa na maana Matatizo madogo madogo yasipodhibitiwa tangu awali huweza kusumbua na kusababisha matatizo makubwa zaidi lakini pia kwa namna nyingine Hutumika kuwatahadharisha wale the wenye tabia ya kudharau matatizo madogo madogo kwani huweza...
  4. Makirita Amani

    Jinsi Ya Kuishi Maisha Ya Kitajiri Kwa Kuanzia Hapo Ulipo Sasa

    Rafiki yangu mpendwa, Kwenye harakati za kujenga utajiri na uhuru wa kifedha, huwa ni rahisi sana kujisahau kuyaishi maisha. Ni mpaka pale mtu anapofikia lengo alilokuwa nalo ndiyo anagundua hapati furaha aliyotegemea angeipata. Tatizo siyo kwamba utajiri na uhuru a kifedha hauleti furaha...
  5. S

    Mfumo wa Kidigitali - Jinsi ya Kuanza

    Wanajamvi, Natumaini tunaendelea vyema. Kama mnavyojua, dunia ina kasi ya kidigitali. Na huenda hutaki kuachwa nyuma. Juzi kuna lecturer mmoja aliniomba kumsaidia wazo na kudadavua jambo: Ana biashara ya guest house kule dar. Eneo fulani hiv ndani ndani. Sio nyumba moja, zipo kadhaa ndani...
  6. Dr isaya febu

    Tatizo La Kuota Ndevu Kwa Wanawake Na Jinsi Ya Kutibu

    Je umeshawahi kukutana na mwanamke mwenye ndevu nyingi? Bila shaka, jibu ni NDIYO. Hilo ni tatizo la kiafya ambalo hujulikana kwa kitaalamu kama Hirsutism. Leo tujifunze kuhusu sababu za tatizo hilo na jinsi ya kutibu. Hirsutism ni hali ambapo wanawake wanakua na ukuaji wa nywele wenye...
  7. Zakaria Maseke

    Njia mbali mbali za kutoa ushahidi Mahakamani

    Ushahidi Mahakamani (kwenye kesi za madai) unaweza kutolewa kwa njia ya mdomo (orally) au kwa njia ya maandishi (witness statement). Rejea Order XVIII (2) (1) ya CPC (amendments za mwaka 2021). Sasa, ukiomba kwenye kesi yako utoe ushahidi kwa njia ya maandishi (witness statement), ukakubaliwa...
  8. Brave_Idiot

    Jinsi ya Kupata Free unlimited internet?

    Hivi ukiachana na maswala ya VPN coz huwaga yanazingua sana, Kuna njia yoyote nyingine ya kupata Free internet data. Mwenye ujuzi aniuzie, nataka niifanye fursa
  9. R

    Jinsi ya kufunga siku 52 kwa Kila mwaka kirahisi kwa afya

    Salaam, Shalom!!! Naamini Kila mtu anajua ya kuwa, chakula ni muhimu Kwa ajili ya AFYA ya MWILI, lakini pia, matabibu wamethibitisha kuwa chakula pia ni chanzo Cha magonjwa mengi tu yanayosumbua watu wengi tangu zamani. Wiki Moja, Ina siku Saba, ukitenga siku moja iwe special Kwa ajili ya...
  10. Mwl.RCT

    "Ex Anakusumbua? Jifunze Jinsi ya Kumwacha Aende!

    "Ex Anakusumbua? Jifunze Jinsi ya Kumwacha Aende! Ever feel stuck, haunted by an ex who won't let go? It's tough, especially when building a new relationship. Moving on isn't easy. There might be guilt, confusion, or lingering feelings. But remember, you deserve happiness and peace. So, how...
  11. ElietSe

    Jinsi ya kuongeza ufanisi wa kutunza kumbukumbu za biashara

    Kutunza taarifa za biashara ni eneo la muhimu kwa kila mfanyabiashara. Hii husaidia kujua mali ilyotoka, iliyoingia, mali zilizopo, madeni, mauzo na faida au hasara iliyopatikana. Wengine hutunza taarifa zao kwa kutumia vitabu maalum na wengine hutumia digital tools kama computer au simu...
  12. Aaliyyah

    Jinsi ya Kupika mchuzi wa samaki na Nazi (chukuchuku)

    Natumaini wazima. Leo nawaletea recipe ya kupika samaki wa Nazi chukuchuku,wengine wanasema mchuzi ambao hauna mambo mengi MAHITAJI Samaki wabichi unaweza tumia pia wakavu. Nazi, karoti, hoho, kitunguu maji, nyanya, chumvi na ndimu ukipenda. Andaa viungo vyako katakata size utayopenda...
  13. BARD AI

    Mbunge aishauri Serikali jinsi ya kudhibiti Watoto wanaochezea Kondomu Mwanza

    Mbunge wa Ilemela (CCM), Dk Angelina Mabula ameitaka Serikali kujenga uzio katika Shule ya Msingi Kitangili iliyopo mkoani Mwanza ili kuokoa maisha ya watoto wanaochezea kondomu katika uwanja wa mpira. Akiuliza swali la nyongeza bungeni leo Jumanne Aprili 23, 2024, Dk Mabula amesema eneo hilo...
  14. Yoyo Zhou

    Afrika haihitaji kufundishwa jinsi ya kuchagua marafiki zake

    “Tunawaambia moja kwa moja kwamba hamwezi kutulazimisha kuchagua marafiki zetu. Tunafikiri China ni rafiki yetu mkubwa, na hakuna mtu anayeweza kutufanya tuachane. Ni ujinga kuona kuwa sisi Waafrika hatuwezi kufikiria.” Maneno haya yamesemwa na balozi wa Rwanda nchini China James Kimonyo...
  15. GoldDhahabu

    Jinsi ya kuepuka kumwonea mwenzako wivu mbaya

    Mtu mmoja aliomba, "Mungu, naomba unibariki mimi na mke wangu na mtoto wangu John na mke wake. Sisi wanne tu, na si zaidi" Hiyo inatoa picha jinsi binadamu alivyo mbinafsi kwa asili. Ndiyo maana watu wengine hupika kiwango cha ustaarabu wa mtu kwa kuangalia kiwango ambacho amefanikiwa kuushinda...
  16. FK21

    Mbinu gani ya kudai pesa bila kuonekana msumbufu kwa boss?

    Kama mda inavyojieleza rafiki yangu anauliza njia nzuri ya kudai haki yake anauhitaji ila boss wake hajamlipa pesa week ya 3 leo toka mwezi umekishwa tunaombeni ushauri
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Mzazi jukumu lako ni kunifundisha jinsi ya kufanya maamuzi sahihi na sio unifanyie Maamuzi

    MZAZI JUKUMU LAKO NI KUNIFUNDISHA JINSI YA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI NA SIO UNIFANYIE MAAMUZI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wewe ni wewe. Mimi ni Mimi. NI kweli wewe ni mzazi na mimi ni mtoto. Lakini hiyo haimaanishi kuwa wewe ni Mimi. Utabaki kuwa mzazi lakini hautakuwa mimi na mimi sitakuja...
  18. M

    Fahamu cha kufanya pindi unapovamiwa na adui mwenye silaha

    Fahamu cha kufanya pindi unapovamiwa na adui mwenye silaha.
  19. ndege JOHN

    Jinsi ya kunywa wine yako

    Unapoitia mdomoni unaiskilizia fleva yake unaivuta kama Kwa sekunde tano mdomoni kisha unaipitisha taratibu katika koo na kuisikilizia Ladha ya kipekee ya mvinyo. Kwanini tunajiumiza Kwa mabia na mapombe makali wakati kuna kinywaji Safi cha wine hata ukijipatia vi image vyako vitatu vya baridi...
  20. ndege JOHN

    Njia za kutoa pete iliyokwama kwenye kidole kilichovimba

    Kwa wale wanaovaa Pete iwe dhahabu au silver au shaba ukijiskia kuitoa halafu ikagoma unaanza kuchanganyikiwa relax usipanic ni hatari lakini ni salama kama iliingia lazima kuna namna ya kuitoa. Na Mara nyingi Pete kugoma husababishwa nakuilazimisha Pete ndogo, au kuivaa Kwa muda mrefu Hatimaye...
Back
Top Bottom