Nikikwambia kuwa unaweza kumiliki mashine yenye uwezo wa kukuletea wateja kwenye biashara yako utaniamini?
Wateja wenye pesa mkononi tayari kununua bidhaa/huduma unazotoa?
Wengi nikiwaambia hili jambo nyuso zao zinakunjika kwa mshangao na kuona kama jambo lisilowezekana kabisa.
Wakati...
Natumaini mko poa,hongereni Kwa maandalizi ya sikukuu
Leo nimeandaa recipe ya pilau tamu la Nazi,karibun tujifunze
MAHITAJI
1)Mchele kilo moja.
2)Nyama iliyochemshwa Mimi nilitumia nusu
3)kitunguumaji,kata kata wastani
4)kitunguu swaumu kilichosagwa4)viaz mviringo vya wastani...
Nina Shida na kupata control number tra ili nilipie
Nilienda juzi wakanipigia makadilio ila kwenye kupata control number mtandao wao ukasumbua so jambo halikukamilika
na mwezi ushaisha nikikaa mpk tarehe 1 penati
naombeni mnisaidie namna ya kuipata conyrol number kwenye tovuti yake
Kwanza nawaombe Mods msiufute huu uzi. Maana una umuhimu na mafunzo makubwa sana kwa sisi wanaume.
Baada ya kutoa angalizo hilo, basi niende moja kwa moja kwenye kuzijadili sasa hizo kanuni moja baada ya nyingine:-
1. Usipige picha ya aina yoyote ile na mwanamke unayechepuka naye.
2...
1. Washa hotspot yako ili uweze kuunga simu yako na computer/ laptop hii ni free haihitaji kuwa na data/ bando kwenye simu yako
2.ingia kwenye Xender yako gusa neno Connect to PC itakupeleka sehemu hii hapo picha ya pili kwa chini
3.Kuna number hapo kwenye steps 3 izo ni web address...
Kwanza ikimbie zinaa kama hujaoa acha, kama umeoa tulia naye na kama huna jifunze useja.
Twende kazi:
a) Chukua simu zote ziweke kwenye begi 😃!
b) Kama upo lodge muombe muhudumu akupe fagio hakikisha chumba kisafi, yaani hakikisha hamna takataka inayoweza kuhisiwa kurekodi humo 😃!
c)...
Ushawahi kuhofia mtu kuchukua secreeshot za chats zenu mlizokuwa mnaongea kwa siri?
Tuseme, unachat na mtu Snapchat au Whatsapp then mtu aka-screen shot Maongezi yenu na kumtumia Mwingine?
Hii imekuwa shida sana kipindi hichi!
Ili kutatua hilo Android.. wamewezesha....
1. Downlod App ya...
Najua wengi wenu mnapenda customization kwenye simu, sasa nimekutana na hii link ina font 600 amabzo unaweza kubadili kwenye simu yako kila siku tofauti na za kununua galaxy store
kwanza hii hii link itakayokupelekea kudownload folder la font...
Kuchagua jina la biashara ni mchakato muhimu sana katika kuanzisha biashara yoyote. Jina la biashara lina uwezo wa kuwa nembo inayojulikana na kuitambulisha biashara yako kwa wateja na jamii kwa ujumla. Ni sehemu ya kwanza ambayo wateja wako wataiona na inaweza kuathiri jinsi wanavyoona biashara...
Hizi hapa njia za kuwa mtumishi wa mungu na kuukwaa utajiri
1. Jifunze kusema uwongo
2. Jifunze jinsi ya kuchezea akili za watu
3. Jifunze kuvaa suti au gauni jeupe
4. Craim biblia yote juu ya kichwa chako.
6. Tafta kamganga gwiji kakusaidie kufanya mazingaombwe kidogo.
7. Pata...
Habari za mida hii ndugu jamaa na marafiki.
Sote tunaishi kwenye jamii...jamii ambayo imejaa watu wenye mitazamo, maoni na utashi tofauti tofauti.
Katika ya jamii hiyo ambayo tupo kunazaliwa viwango vya kimaisha na vigezo mbali mbali kwa mitazamo yao na kufanywa kuwa ndio vipimo na matarajio...
Naomba niweke mada mezani kutokana na yaliyonisibu Mimi, nilikuw ni kijana mtiifu, mwaminifu na mchamungu lakini baada ya kujiingiza kwenye kamari za mitandaoni hasa hasa kasino nilipoteza Kila kitu katika maisha yangu, kuanzia kwenye kazi nzuri, akiba, duka, gari, viwanja na madeni juu na...
WAkuu habari za usiku huu?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kufahamishwa jinsi ya kutengeneza juisi aina ya milkshake, vitu vinavyowekwa humo mpaka inakamilika kwa ajili ya kunywewa.
Mbali na hilo naomba kufahamishwa mchanganyiko mzuri wa juisi inayopendwa na nzuri kwa ajili ya...
Mahitaji
Mayai 2
Unga wa ngano au Bread crumbs
Kijiko kimoja cha tangawizi
chumvi
Mixed spice au Viungo vya Pilau
oil
simba mbili au cubes
Maelezo
Weka nyama ya kusaga kweye chombo na jikoni kwa moto mdogo
Weka viungo vyako (Mixed spice, pilipili manga, simba mbili)
Changanya mchanganyiko...
Habari?
Wadau wa utalii na wote wanaoweza kunisaidia kuhusu utalii wa mikumi.
Nina Mtalii Mume&Mke tumefanya nao kazi ila wanataka kuona wanyama in cheap and convenient way, nikawaambia mbuga ya kwenda ni mikumi sasa naombea msaada wa gharama ya kutoka morogoro mpaka mikumi,kulala mbugani siku...
Za asubuhi
Kwenye majira flani hivi yaliyopita nlikuwa mahali ofisini, nafanya mishe zangu, mara akapita mdada jirani wa siku nyingi kidogo tunaefahamiana kwa majina tu ila sinaga mazoea nae zaidi ya salamu, akanisalimia, nikamjibu, alichokifanya baada ya kutembea hatua mbili mbele yangu ndo...
Je, wajua kwamba waweza jipatia pesa nyingi sana kupitia Youtube? Labda unajiuliza ni jinsi gani jambo hili linawezekana! Leo nakupa maujanja kuhusu mchongo huu. Video nyingi ambazo hua unazitazama YouTube ni chanzo kikubwa sana cha pesa kwa wanaopost video hizo, yawezekana hujawahi kuujua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.