jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Jinsi ya kupata wateja mtandaoni

    Hellow .... Wapendwa, Najua kutafuta wateja siyo kazi rahisi hasa kwa mtu ambaye anafanya online business...... Mnatumia mbinu gani kupata wateja wapya? Mnatumia njia gani kupata wateja wa kilasiku.....mbona Mimi naweza kumaliza mwezi na sipati mteja Na ninapost kila siku...... Nimegundua...
  2. Jinsi ya kusuka nondo kwa MCHORO

    We mteja muulize FUNDI wako akupe sababu ya kuchagua Aina aliyoichagua katika kusuka nondo ya nyumba yako . Ili ujue na madhara yake. (Technical reason ni Bora zaidi ye economic reason). Angalia michoro niliyoambatamisha. SWALI zaidi nitamjibu.
  3. Waziri Mbarawa: Kuna haja ya kuongeza magati bandari. Watanzania kwenda Misri kujifunza jinsi ya uendeshaji wa Treni ya SGR

    Tanzania imepata ugeni kutoka Misri ukiongozwa na Waziri wa Uchukuzi wa Misri, Luteni Jenerali Kamel Alwazeer kwa lengo la kujifunza fursa za uwekezaji zilizopo Nchini Akizungumza wakati wa kuwakaribisha wageni hao, Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema “Sekta ya Uchukuzi, Serikali...
  4. Jinsi ya kutengeneza kinywaji cha lemonade mocktail (mojito) nyumbani

    I hope mko vyema Ni kinywaji kinachopendwa na watu wengi na ni kitamu sana Naomba kushare nanyi sikumoja moja muwe mnaenjoy hata mkiwa nyumbani LEMONADE MOCKTAIL mahitaji: Glass 1 Msukumio au kifaa Cha kupondea mchanganyiko wako Ndimu/limao 1 Majani ya mnanaa(mint) Sukari kijiko kimoja sio...
  5. Jinsi ya Kuongeza Mauzo Haraka kwenye Kituo cha Mafuta (Petrol Station/Fuel Station/Service Station)

    Kituo cha mafuta ni biashara muhimu inayotoa huduma muhimu kwa jamii. Ili kuongeza mauzo na kufanikiwa katika soko lenye ushindani mkubwa, ni muhimu kuchukua hatua za kimkakati. Hapa, tunajadili jinsi ya kuongeza mauzo haraka kwenye kituo cha mafuta kwa kuzingatia mbinu za ubunifu na ufanisi...
  6. P

    Naombeni mbinu jinsi ya kuwa bahili, kubana bajeti

    Jamani, Naombeni mbinu za kuwa mchumi, nisitumie pesa hivyo, hali hii inanitesa sana. Natafuta pesa kwa taabu mnoo. Yaani kuipata Ile 20,000 NI kazi Sana lakini nikiwa na pesa matumizi yangu ni mabya mnoo. Yaani mwezi December Hadi February nafikir nimetumia zaidi ya 1M. Juzi Jana na leo...
  7. Nmepata kazi nyingine, mshahara mdogo. Nipeni ushauri jinsi ya kuadjust lifestyle

    Hello, Jamani mdgo wenu nilipata ajira ya million I0 kwa mwezi nikaichezea mpaka Contract inaisha hamna Cha maana nilichofanya. Wengi mlinisimanga sana humu. Lakini Sasa nimejiunza, na kwa bahati nzuri nmepata kazi nyingine ambayo take home itakuwa 1.3M Najua itakuwa ngumu maana nilikuwa...
  8. T

    Jinsi ya kupata kazi za remote katika mashirika ya kimataifa yaliyo nje

    Leo ningependa kuzungumzia namna kijana yoyote wa Kitanzania ambae una utaalamu na/au ujuzi katika eneo fulani unavyoweza kupata kazi katika mashirika na makampuni ya kimataifa yaliyopo popote duniani na kuweza kufanya kazi remotely ukiwa hapa hapa nchini. Kwa mfano mimi nafanya kazi katika...
  9. Jinsi ya Kupata Wazo la Biashara

    Habari za wakti huu; Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea vizuri katika jitihada zenu za kujenga taifa na kuifanya dunia kuwa salama na bora kwa kila mmoja wetu. Kama ilivyo ada,leo nataka kuleta mjadala chokonozi ambao unalenga zaidi kuchokoza fikra zako na kukusisimua.Mjadala Utahusu "Jinsi...
  10. Naomba msaada jinsi ya kusoma Mita ya maji (DUWASA)

    Salam wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba msaada jinsi ya kusoma hizi Mita maana muda mwingine nahisi wananibambika bili. Matumizi ya kawaida tu ya maji na hapo ni familia ya watu wanne tu lakini jana wamenitumia bili elfu thelathini. Ningesema pengine labda kwakuwa nilipanda...
  11. Jinsi ya kupata remote jobs hasa ughaibuni

    Habari wakuu, Leo naomba niulize swali ambalo kama watu watajibu litasaidia wengi pia. Miaka ya karibuni kumekua na watu wengi wanafanya remote jobs hasa huko US ila ukiwa popote duniani. Wenye experience na hii mtusaide kama kuna links za job advert na muongozo jinsi ya kupata.
  12. B

    Kilimo Cha mahindi

    Naitaji kifahamu jinsi ya kutatua changamoto ya mahindi kuwa na rangi ya kijivu Nini suluhisho?
  13. Namna bora ya Kuwasaidia Watoto wenye Usonji nchini Tanzania

    Usonji ni ugonjwa wa ukuaji unaoathiri idadi kubwa ya watoto duniani kote, ikiwa ni pamoja na wale wa Tanzania. Kwa bahati mbaya, kutokana na miundombinu duni ya nchi nyingi na rasilimali chache, hususani katika kusaidia watoto wenye usonji juhudi nyingi zimeonekana kukutana na changamoto...
  14. B

    Jifunze jinsi ya kukunja nguo mbalimbali

    Watanashati mpo? Angalia hapa njia mbalimbali za kukufunza jinsi ya kukunja nguo. Hii ni nzuri sana hasa ukiwa na nafasi ndogo ya kuweka nguo na hata muda wa kusafiri, inafanya ndio zako zinakuwa katika mpangilio mzuri na hazijikunji ovyo. Jinsi ya kukunja shati Jinsi ya kukunja tisheti...
  15. Jinsi ya Kuhudumia Sehemu za Siri kwa Tahadhari

    Inawezekana kila mwanamke anatamani kuwa na uke wenye harufu nzuri na kamili, hasa kwa furaha au kuridhika kimapenzi. Lakini, matumizi ya bidhaa za utunzaji wa kike yanaonywa na wataalamu wa afya. Mara nyingi, wanawake hutumia bidhaa bila ushauri kutoka kwa wataalamu, wakijaribu kufikia lengo la...
  16. Jinsi Ya Kufokasi Katika Uwekezaji Wa Viwanja/Mashamba/Majengo

    Kufokasi ni msingi mojawapo muhimu sana sana kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo. Bila kufokasi kwenye maeneo nitakayoainisha hivi punde haiwezekani kujenga himaya ya utajiri kwa wakati muafaka. Fokasi ni kuchagua njia/mbinu moja ya kuwekeza kwenye ardhi na majengo mpaka kupata mafanikio ya...
  17. L

    naomba kuuliza jinsi ya kupata ramani ya mipango miji ardhi

    habari za jioni wadau heri ya mwaka.mpya naomba kuuliza kama nimepata coordinate za eneo usiku kwaajili ya kurasimisha kiwanja changu nawezaje kupata ramani ya mipango miji ya eneo husika na gharama yake kupata ramani ni sh ngapi
  18. B

    Jinsi ya kuishi na majirani wenye maisha ya chini/ Duni

    Kuna uzi humu tuliwahi kuchangia jinsi majrani wanavyoleta tafrani ya mipaka kwa sababu ya maisha yao duni. Hivi na nyie mmewahi kukutana na adha hii ya kujenga kamjengo kako ka ndoto zako lakini majrani wakakuchukia tu sababu ya nyumba zao kuonekana ndogo na zisizo na hadhi km yako? Mimi...
  19. Somo la jinsi ya kutongoza kuingizwa rasmi kwenye mtaala wa elimu nchi jirani

    Habari wanajamvi! Katika pitapita zangu nimekutana na kitabu cha daktari mmoja anaitwa Dkt. Dyaboli. Kitabu kinaitwa JINSI YA KUMTONGOZA MWANAMKE YEYOTE UKAMPATA. Sasa wakati nafuatilia kutaka kumjua zaidi huyu daktari kuna jamaa zangu wako Kenya huko wakaniambia huyu daktari ni mkenya, na...
  20. Jinsi ya kung'oa demu wa mkoani kwa haraka : kwa wewe mgeni kutoka mjini daslamu

    Jamaa mmoja akasema " aah wewe tafuta bodaboda halafu mwambie akupeleke kwenye machaka wanako patikana. Bodaboda ndio wanajua chocho zote." Hell No! Mimi sizungumzii malaya mkuu. Njia hiyo ya kuwatumia bodaboda inafanya kazi kwa 👇 1. Watu wanao tafuta milupo au malaya wanao jiuza. 2. Ina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…