jinsia ya mtoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ITR

    JamiiForums Tanzania Je majibu ya utra sound kuhusu jinsia ya mtoto huwa ni %100?

    Mambo vip wajf kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo sema, je majibu ya utrasound kuhusu jinsia ya mtoto huwa ni ya uhakika Kwa asilimia 100 au huwa Kuna saa nyingine inakosea? Maana nisije kununua rundo la nguo alafu jinsia ikatoka tofauti ikala kwangu.
  2. Shuku_

    JamiiForums Tanzania Je, Naweza kuchagua jinsia ya mtoto kabla sijamzaa.

    Hamjambo 👋🏽 👋🏽 Mimi ni mwanamume. Wajuzi wa jambo hili naomba mnipe mbinu ya namna ya kufanya. Maana nahitaji uzao wangu uwe Y, X, Y, X mpaka mwisho, ila mtoto wangu wa kwanza awe wa kiume.
  3. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Jinsia ya mtoto isiwe sababu ya kumnyimwa malezi makini

    Chaguo la kupata mtoto wa kike au wa kiume imekuwa ikiwatesa wazazi wengi kwa muda mrefu sana, hasa baada ya kupata mtoto tofauti na jinsia waliyoitarajia, yaani mzazi alipenda apate mtoto wa kike lakini akapata mtoto wa kiume, au wa kiume akapata wa kike. Wazazi hawa baada ya kupata mtoto nje...
Back
Top Bottom