Braza hii mikao inatumiwa na watoto wa firauni tu , wengine wanaona eti ni tabia mbaya. Labda ungetupia kapicha aone inakuwajeTumia doggy style au basi
Ajaribu hata kugoogleBraza hii mikao inatumiwa na watoto wa firauni tu , wengine wanaona eti ni tabia mbaya. Labda ungetupia kapicha aone inakuwaje
Mtoto atakuwa Bodaboda..Tumia doggy style au basi
Inawezekana, tena inawezekana kabisa bila shida. Fanya hivi;Hamjambo 👋🏽 👋🏽
Mimi ni mwanamume.
Wajuzi wa jambo hili naomba mnipe mbinu ya namna ya kufanya.
Maana nahitaji uzao wangu uwe Y, X, Y, X mpaka mwisho, ila mtoto wangu wa kwanza awe wa kiume.
View attachment 3343965
HahaMtoto atakuwa Bodaboda..
Theoretically wanakufundisha, ukimwagia ndani unachoweza kujua ni jinsia ya mtoto tumboni ila kuchagua labda ukiona siyo unayoitaka mna abort.Madokta wanaweza
Naona Missionary ndio style nzr zaidi .. maana huw naona kbs ile sehem ya juu (kibofu) au karibu na Tumbo uume ukifukunyua via vya uzazi..Haha
wanasema ukitumia hio, sperm (za mtoto wa kiume) zinatangulia kwenye cervix hivyo zinaliwahi yai, na kupelekea apatikane mtoto wa kiume japo sio uhakika 100%
😂😂😂😂 Et via vya uzaziNaona Missionary ndio style nzr zaidi .. maana huw naona kbs ile sehem ya juu (kibofu) au karibu na Tumbo uume ukifukunyua via vya uzazi..
Daah!! Hapa nilipo nina watoto wanne wote wa kike mpaka nimekata tamaa ya kupata mtoto wa kiume, nimekubali matokeo kuwa siwezi kupata mtoto wa kiume hata nikioa MKE mwingine.
Ngoja nitulie hapaHamjambo 👋🏽 👋🏽
Mimi ni mwanamume.
Wajuzi wa jambo hili naomba mnipe mbinu ya namna ya kufanya.
Maana nahitaji uzao wangu uwe Y, X, Y, X mpaka mwisho, ila mtoto wangu wa kwanza awe wa kiume.
View attachment 3343965
Daah!! Hapa nilipo nina watoto wanne wote wa kike mpaka nimekata tamaa ya kupata mtoto wa kiume, nimekubali matokeo kuwa siwezi kupata mtoto wa kiume hata nikioa MKE mwingine.
Sasa mkuu kazi ya kupata mtoto wa kike au kiume ni yako na sio mwanamke.. Au kama vipi weka mkwanja ufanye ivf..Daah!! Hapa nilipo nina watoto wanne wote wa kike mpaka nimekata tamaa ya kupata mtoto wa kiume, nimekubali matokeo kuwa siwezi kupata mtoto wa kiume hata nikioa MKE mwingine.
Hebu "the biology behind" kulala ubavu kunapelekeaje kupatikana mtoto wakike au wakiumeInawezekana, tena inawezekana kabisa bila shida. Fanya hivi;
Baada ya kujihakikishia kuwa hiyo siku kwa mwenza wako ni siku ya kushika ujauzito, basi baada ya tendo na akamwagia ndani:-
Kama unataka mtoto wa kiume, basi pale akishamwaga Mwanaume, mwanamke alalie ubavu wa kulia kwa muda wa dakika 15.
Kama wahitaji mtoto wa kike baada ya mwanaume kumwaga mwanamke alalie ubavu wa kushoto kwa dakika 15.
Kama unahitaji mapacha, baada ya mwanaume kumwaga mwanamke alale chali kwa muda wa dakika 15.
Hiyo ni njia simple sana, na ishafanyiwa majaribio kadhaa na waliofanikiwa kuijua na ikaleta matokeo sahihi.
Itumie nawewe then utakuja kuleta mrejesho.
Ahsante.✍️