David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,771
- 9,237
tumia chinese calendar haijawahi kusema uongo
😂😂😂😂😂😂Inawezekana, tena inawezekana kabisa bila shida. Fanya hivi;
Baada ya kujihakikishia kuwa hiyo siku kwa mwenza wako ni siku ya kushika ujauzito, basi baada ya tendo na akamwagia ndani:-
Kama unataka mtoto wa kiume, basi pale akishamwaga Mwanaume, mwanamke alalie ubavu wa kulia kwa muda wa dakika 15.
Kama wahitaji mtoto wa kike baada ya mwanaume kumwaga mwanamke alalie ubavu wa kushoto kwa dakika 15.
Kama unahitaji mapacha, baada ya mwanaume kumwaga mwanamke alale chali kwa muda wa dakika 15.
Hiyo ni njia simple sana, na ishafanyiwa majaribio kadhaa na waliofanikiwa kuijua na ikaleta matokeo sahihi.
Itumie nawewe then utakuja kuleta mrejesho.
Ahsante.✍️
Ilishawahi uthibitisho wapi.. maelezo Davidtumia chinese calendar haijawahi kusema uongo
Sex bila doggy style inakuwa batiliBraza hii mikao inatumiwa na watoto wa firauni tu , wengine wanaona eti ni tabia mbaya. Labda ungetupia kapicha aone inakuwaje
Kweli kabisaSex bila doggy style inakuwa batili
Hakika... Hospital zipo zinafanya hivyo...
Kumbe!! Mtoa mada aende akapewe mwongozo sasaHakika... Hospital zipo zinafanya hivyo...
This time nakutotolea baby girl love!Hakika... Hospital zipo zinafanya hivyo...