joe biden

  1. Jackal

    Trump Amuondolea Joe Biden Haki Ya Kupatiwa" Taarifa Za Siri/Classified Informations "Kama Ilivyotakiwa Kwa Maraisi Waliotangulia Wa Marekani

    President Donald Trump has said he’s revoking Joe Biden’s security clearance and ending the daily intelligence briefings he’s receiving, in payback for Biden doing the same to him in the wake of the January 6 attacks. Trump announced his decision in a post saying: “There is no need for Joe...
  2. Yoda

    Wateule wa Trump wana mahaba yaliyopitiliza kwa Israel kuliko hata mawaziri wa Biden!

    Katika hatua za kuthibitishwa na seneti ya Marekani, Waziri mteule wa Ulinzi wa Marekani wa utawala wa Trump anasema anasapoti Israel "kuwaua" Hamas wote hadi wa mwisho kabisa! Waziri mteule wa mambo ya nje wa Trump, Marco Rubio anasema Gaza itapata amani tu endapo Hamas watawaachilia mateka...
  3. The Watchman

    Video: Rais Joe Biden aonekana akisinzia kwenye mkutano huko Angola

    Rais wa Marekani Joe Biden amefanya ziara ya kwanza Afrika mapema wiki hii kwenye nchi ya Angola mabapo huko amekutana na viongozi wa Afrika kujadili miradi ya kimaendeleo kwenye nchi hizo. Katika kipande cha picha kilichochapishwa na gazeti la The Telegraph la Uingereza, Biden anaonekana...
  4. Nyani Ngabu

    Joe Biden asinzia wakati Makamu wa Rais Dkt. Mpango akizungumza

    Wakiwa Angola, Joe Biden anaonekana akisinzia wakati makamu wetu wa Rais akizungumza. Babu Biden kachoka. Arudi kwao huko Delaware akapumzike na wajukuu wake. Hii ni aibu. https://youtu.be/3jqHuRkI6EE?si=Df4KXUIbUnRGzmxb Video ndefu zaidi hii hapa…...
  5. W

    Joe Biden amsamehe Mwanae Hunter Biden makosa yake ya Jinai

    Rais Joe Biden ametoa msamaha " kwa mtoto wake Hunter Biden, dhidi ya mashitaka yanayomkabili katika taarifa iliyotolewa na Ikulu Desemba 1, 2024. Hunter Biden alikua akisubiri kusomewa hukumu ya mashitaka yake Desemba, 2024 Septemba 2024 mtoto wa Rais wa Marekani, Hunter Biden (54)...
  6. KakaKiiza

    Katika kosa kubwa ambalo Biden atalifanya ni kuhusu uamuzi wa kuiruhusu Ukraine kutumia silaha za masafa marefu

    Biden ameondoa marufuku kwa Ukraine kutumia makombora ya Marekani kushambulia ndani ya Urusi Joe Biden ameiruhusu Ukraine kushambulia ndani ya Urusi kwa makombora ya masafa marefu ya Marekani. Rais Biden ameidhinisha Ukraine kutumia silaha za masafa marefu zinazotolewa na Marekani ndani ya...
  7. Khanji kapoor

    Biden ni dhaifu sana, kina Obama wanakwambia usigombee mwachie Kamala na wewe unakubali?

    Sijawahi kuona Rais wa USA duni kama huyu. Mfumo wa USA, Biden angemaliza kipindi chake vizuri tu. Afya ya Biden haina tatizo lolote Ila toka yule Obama abahatike kuwa Rais basi anajiona ndio mtu muhimu kwenye democratic. Wamarekani wengi wamepiga kura za hasira kuwakataa walio nyuma ya...
  8. G

    Karma: Joe Biden hajawahi kufurahi namna hii tokea Kamala achukue nafasi yake, Ahutubia ikulu kwa sura yenye tabasamu licha ya Trump Kushinda

    Siwezi kushangaa kabisa kama Biden na familia yake walimpigia kura Trump Team Obama ndio walimlazimisha Biden ajiondoe na pia team Obama hawakutaka Harris agombee Urais walikuwa na mtu wao mwanaume, Biden baada ya kujitangaza kujiengua fasta akafanya endorsement kwa Harris ili awavuruge team...
  9. Nyani Ngabu

    Hivi dishi la Joe Biden limeyumba?

    Jana katika kusherehekea Halloween, akiwa White House, Rais Biden alionekana akivinusa vitoto vilivyokwenda kusherehekea. Pia, alionekana akijaribu kuving’ata. Kuna wakati alionekana akiingiza mdomoni kamguu ka mtoto mchanga! Huyu babu akili zake anazijua mwenyewe 🤣. Tuanze na picha mgando...
  10. M

    SI KWELI Rais Biden wa Marekani kuhamia Zanzibar

    Video hii hapa chini inadai Rais wa Marekani atahamia Zanzibar. Ina ukweli? Video ya Rais Biden
  11. U

    Rais wa Marekani Joe Biden akutana na kufanya kikao kizito na Viongozi wa dini ya Kiyahudi Ikulu ya White House jijini Washington

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa rasmi kutoka Ikulu ya white house Rais wa taifa la Marekani Joe Biden amefanya kikao na waheshimiwa Viongozi wa dini ya kiyahudi - Judaism Kikao hicho kilihudhuriwa na watu wachache sana maalumu. Maelezo zaidi kuhusu kikao nyeti yatatolewa. Mungu ibariki...
  12. U

    Rais Biden wa Marekani asema hakuna chochote kitachotokea nchini Iran leo

    Wadau hamjamboni nyote? Rais wa Marekani joe Biden amesema kuwa siku ya leo hakutakuwa na kitu chochote kitakachotokea Iran ______ Biden says ‘nothing going to happen today’ in Iran WASHINGTON — US President Joe Biden says he did not believe any Israeli strikes against Iran would come today...
  13. J

    Rais Biden awaaga Marais wenzake kwenye Mkutano wa 79 wa UNGA

    Rais Biden wa Marekani ametumia Mkutano wa 79 wa UNGA jijini New York kuwaaga Marais wenzake Marekani inafanya Uchanguzi mwaka huu na Joe Biden hatagombea Soma Pia: Biden anasema aliondoka kwenye kinyang'anyiro cha urais wa Marekani ili 'kuokoa Demokrasia' Al Jazeera news
  14. Yoda

    Utawala wa Democrats watuhumiwa kukandamiza uhuru wa kujieleza Marekani

    Raia mmoja wa Marekani ameonekana katika video clip mtandaoni Twitter akibishana na baadaye kuwatimua maafisa wa FBI waliofika nyumbani kwake kufanya mahojiano naye kuhusu chapisho lake katika mtandao wa X lililosema "Mtu yeyote atakayemuua Kamala Harris atakuwa shujaa wa Marekani" ========...
  15. Mindyou

    Hawa ndo Marais wabovu zaidi kuwahi kutokea Marekani. Donald Trump yupo kwenye top 3

    Wakuu habarini za muda huu, Kwenye raundi zangu mbili tatu huko mtandaoni, nilikutana na article kutoka CBS News ambayo inaelezea wakina nani walikuwa na marais wabovu zaidi kuwahi kutokea Marekani, tangu nchi hiyo kupata uhuru mwaka 1776. Kulingana na CBS News, Rais mbovu na dhaifu kuwahi...
  16. G

    TBT: YouTube walilazimika kuondoa dislikes ili kumlinda Rais baada ya Joe Biden kupata dislikes nyingi kila video anayoweka

    Wamarekani wengi hawakufurahi Biden kuwa Rais, Ni dhahiri walichokiona muda huo ndicho kilichomfanya aachie ngazi. Youtube inamilikiwa na wadau wengi wa chama cha Democrats, Kuanzia hapo ilibidi waondoe sehemu inayoonyesha dislikes kwa video zote.
  17. Webabu

    Baada ya kuashiria kuingia Israel, Erdogan apiga hatua moja zaidi. Amwambia Biden uchokozi wa Israel utasababisha moto kusambaa kote Mashariki ya Kati

    Kufuatia kuuliwa kwa kiongozi mkuu wa Hamas hapo juzi,raisi Erdogan wa Uturuki amempigia simu raisi Biden na kutoa onyo kwa kusema kama ifuatavyo na kama ilivyoripotiwa na Aljazeera Turkey’s leader Recep Tayyip Erdogan in a phone call with US President Joe Biden says Israel’s killing of Hamas...
  18. JanguKamaJangu

    Biden anasema aliondoka kwenye kinyang'anyiro cha urais wa Marekani ili 'kuokoa Demokrasia'

    US President Joe Biden has told Americans in a televised address that he decided to end his faltering re-election campaign in a bid to save US democracy. Mr Biden, 81, said he felt his record as president "merited a second term" but that "nothing can come in the way of saving our democracy"...
  19. W

    Safari ya Joe Biden katika Siasa

    Rais wa Marekani mwenye umri mkubwa zaidi katika historia, Joe Biden, hivi karibuni amejiondoa katika kinyang’anyiro cha ugombea Urais nchini humo Amejiondoa kutoka na umri na matatizo ya kiafya akisema ni 'kwa maslahi bora ya chama changu na nchi' Huu ni muhtasari wa maisha ya aliyekuwa rais...
  20. JanguKamaJangu

    Uchaguzi wa Urais Marekani bila majina ya Biden, Bush na Clinton kwa mara ya kwanza tangu Mwaka 1976

    No Biden, Bush or Clinton on presidential tickets for first time since 1976 The three familiar last names in US politics have been candidates for president or vice president in every presidential election from 1980 until 2020. Republican George HW Bush ran as Ronald Reagan’s vice president in...
Back
Top Bottom