Rais wa Marekani na mgombea wa chama cha Republic, Donald Trump anatarajiwa kukutana uso kwa uso na mpinzani wake, Joe Biden katika mdahalo wa kwanza wa urais unaotarajiwa kufanyika baadaye hii leo katika ukumbi wa Chuo cha Case Western Reserc, Cleveland, Ohio.
Mdahalo huo unatarajiwa kufanyika...
Joe Biden stands a 71.1% chance of winning the Electoral College, according to the Sept. 7 run of poll aggregator FiveThirtyEight’s election forecasting model. He is predicted to win 334 of 538 electoral votes.
The model estimated Donald Trump’s chances at 28.4%
According to the Sept. 7 run of...
Wapinzani (Democrats) Hatimae wameuona Mwanga baada ya safari ndefu kwenye handaki, sasa ni dhahiri hata kwao kwamba Kumsdinda Trump kwa kumtumia mgombea wao Joe Biden ni kama kumchuna ngozi kupe, Haiwezekani,
Ni wazi katika hio video Nancy Pelosi amekiri kwamba Mgombea uraisi kwa tiketi ya...
Huko USA kazi imeanza, sasa wameanza kutafuta visingizio baada ya kuona D. Trump anawapiga mchana kweupe,
“Joe Biden should not concede under any circumstances because I think this is going to drag out, and eventually, I do believe he will win if we don’t give an inch and if we are as focused...
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa kitaifa wa Chama cha Democratic nchini Marekani wamemteua rasmi Joe Biden kuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi utakaofanyika baadae mwaka huu.
Marais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton na Jimmy Carter, walimpigia debe Biden kuwa mtu mwenye...
Yametimia, Joe Biden keshachagua mgombea mwenza. Nilikuwa nasoma sehemu kwamba Democrats walishauri achague mgombea mwenza mwanamke tena mweusi: Binafsi nilihisi labda wanatania au wameenda mbali sana lakini yametimia. Hapa inamaanisha kwamba huyu babu Joe Biden mwenye miaka zaidi ya 77 akiwa...
Habari!
Mnamo mwezi Machi, Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani Joe Biden aliahidi kumteua mwanamke kuwa mgombea mwenza iwapo atateuliwa na Chama cha Democratic kuwania kiti cha Urais kwenye uchaguzi ujao wa mwezi Novemba hapo baadaye mwaka huu.
Kwa yule asiyefahamu, Joe Biden hivi sasa ndiye...
Ni dhahiri kabisa mzee huyu hatamweza Trump, yupo serikalini kwa zaidi ya miaka 50 lakini hana idea kabisa na current events, sio mara ya kwanza na ni wazi kabisa ana ugonjwa wa kumbukumbu ikiambatana na kuwa na hasira za karibu.
hata hivyo vyombo vinavyoongoza kwa kumtungia trump habari mbaya...
Habari!
Hali si hali kwa rais Donald Trump, wapenzi na wafuasi wa Chama cha Republican kwa ujumla wakati ambapo tukielekea katika Uchaguzi wa Rais panapo mwezi Novemba mwaka huu.
Hii ni kulingana na matokeo ya hivi karibuni ya kura mpya za maoni za kitaifa za jarida la New York Times pamoja na...
Habari!
Awali ya yote, natumai mu wazima wa afya.
Nimemsikia Joe Biden akisema kuwa ana wasiwasi kwamba rais Donald Trump "atajaribu kufanya wizi" katika uchaguzi ujao wa rais wa mwezi Novemba mwaka huu.
Joe Biden hakuishia hapo tu bali amedai kuwa anaamini Jeshi litalazimika kumuondoa kwa...
Colin Powell ni mwana-Republican aliyekuwa katibu mkuu, enzi za utawala wa George W. Bush. Amesema Donald Trump ni muongo hivyo atampigia kura mgombea wa Democrat, Joe Biden
Amefikia uamuzi huo baada ya Donald Trump kutishia kutumia jeshi kuwasambaratisha waandamanaji wanaopinga ubaguzi wa...
Joe Biden ameshinda rasmi uteuzi wa Chama cha Democratic kumkabili rais Donald Trump katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais utakaofanyika panapo mwezi Novemba mwaka huu.
Biden amesema katika ukurasa wake wa Twitter kwamba amefanikisha kujikusanyia wajumbe 1,991 wanaohitajika ili kupitishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.