Umaarufu wa rais wa Marekani Joe Biden umepungua kwa asilimia saba na kufikia kiwango chake cha chini baada ya Taliban kuchukua udhibiti wa Afghanistan, kulingana na uchunguzi wa Shirika la Habari la Reuters / Ipsos.
Baada ya mahojiano yaliyofanywa na raia kadhaa wa Marekani siku ya Jumatatu...
Fahamu kundi la Taliban nchini Afghanistan , Mapambano yao dhidi ya Serikali ya Afghanstan na sababu Marekani kupeleka na kutoa Majeshi yake nchini humo.
Abdul Nondo,
Watu wengi wanapata kujiuliza kuhusu hawa Taliban,ni watu gani ,ni kundi gani,waliibuka vipi ,kwanini wanapigana ,wanataka nini...
Wanafamilia wa wahanga wa mashambulio ya kigaidi yaliyotokea Septemba 11, 2001 wamemtaka Rais Joe Biden kutoshiriki hafla za kuwakumbuka ikiwa hataweka wazi mafaili ya tukio hilo
Takriban watu 1,800 ambao waamini nyaraka hizo zinawahusisha Maafisa kutoka Saudi Arabia wamesaini barua wakitaka...
Utawala wa Rais Joe Biden umesema utaongeza muda wa Sera ya "Title 42" iliyokuwepo katika Utawala wa Donald Trump, ambayo inaruhusu Marekani kufukuza wahamiaji wasio na Hati.
Uamuzi huo unakuja wakati Wahamiaji wakiendelea kumiminika katika Mpaka wa Marekani ikielezwa 210,000 waliripotiwa mwezi...
Biden kutoa dola 100 kwa kila atakapigwa chanjo ya COVID-19
100x2399= 239,900
hii ni kweli?
====
Rais wa Marekani Joe Biden amesema kila mwananchi atakaekubali kupigwa chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 atalipwa dola 100. Marekani ni nchi yenye chanjo za kutosha, na idadi kubwa ya watu...
Mheshimiwa Rais Joseph Biden wa Marekani amemteua Bibi Kilolo Kijakazi kuwa Kaimu Kamishna wa Shirika la Hifadhi ya Jamii, Social Security Administration.
Uteuzi wa Mama Kijakazi unafuatia kufukuzwa kazi kwa aliyekuwa anashikilia nafasi hiyo Bwana Andrew Saul ambae alikataa kujiuzulu mwenyewe...
Hii ni kufuatia wananchi kuonesha shaka kuhusu afya ya Rais wao aliyepo madarakani kuonesha ana changamoto kubwa ya kumbukumbu.
Na sasa pia daktari bingwa Ronny Jackson aliyewahi kuwa daktari binafsi wa marais Barack Obama na Donald Trump walipokuwa madarakani, kuona ni muhimu Rais Joe Biden...
Champ na Major ambao ni mbwa wa Rais Joe Biden, wamehamishwa kutoka White House na kupelekwa Delaware kwenye makazi binafsi ya Joe Biden.
Hii ni baada ya mbwa mmoja (Major) kumng'ata afisa wa CIA ambaye anamlinda Rais Biden.
The two German Shepherds belonging to President Joe Biden and first...
Siku moja baada ya kuapishwa Joe Biden aondoa Visa Ban iliyowekwa kwa Tanzania.
https://www.whitehouse.gov/briefing-room/presidential-actions/2021/01/20/proclamation-ending-discriminatory-bans-on-entry-to-the-united-states/
====
Januari 30, 2020 serikali ya Donald Trump ilitangaza kuwawekea...
Yes wakuu,
Muda si mrefu POTUS anachukua kiti chake kimya.
Maeneo ya Capitol building naona ulinzi umeimalishwa hatari, naona jet fighters za SANDF na SAA zinapita pita flani kuhakikisha ulinzi.
Sijui inaugural ball itakua leo Leo ama?
Rais mteule wa Marekani, Joe Biden anayetajai kuapishwa Januari 20, ameandika kuwa miaka minne ijayo ni miaka ya kuirejesha demokrasia.
Ametaja kutakuwa na upya wa siasa ambayo itakuwa inatatua matatizo ya watu na sio kuibua hisia za chuki na ghasia.
Aidha ameweka suala la utawala wa sheria...
Kwa kipindi cha miaka minne chini ya rais Donald Trump pamoja na Republican party, viongozi wengi wa nchi zinazoendelea hasa madikteta, wameweza kuendeleza ukatili wao pamoja na ukiukaji wa haki za binadamu bila wasi wasi kwani Rais Trump pamoja na Chama Chake waliligeuzia mgongo haya mataifa na...
Sasa ni wazi kabisa Urais wa Donald Trump unaisha kwa aibu na fedheha kubwa.
Kitendo cha kuhamasisha wafuasi wake jana kuvamia jengo la Bunge la Congress (Capitol Hill) ili kuzuia bunge lisifanye kazi yake kumwidhinisha Rais Mteule Joe Biden (D) na makamu wake Kamala Harris ilikuwa ni ishara ya...
Baada ya kikao kilichochukua muda mrefu, hatimaye Bunge la Congress limemthibitisha Joe Biden kuwa Rais wa Marekani na Kamala Harris kuwa Makamu wa Rais kwa muhula unaotarajiwa kuanza rasmi Januari 20, 2021 kwa kura 306 dhidi ya Donald Trump aliyepata kura 232.
Hatua hii inaashiria kukamilika...
Donald Trump ametangaza mapema Jumatatu jioni, Novemba 24, kwamba ameridhia ufunguzi wa mchakato wa kumkabidhi madaraka mrithi wake Joe Biden kutoka chama cha Democratic, zaidi ya wiki mbili baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais.
Idara ya serikali ya Marekani inayoratibu shughuli ya...
Happy birthday to him
Happy anniversary to the family
Kwa niaba ya Makada wote Wazalendo Nchini Tanzania Namtakia kila la kheri Rais Mteule anaposherehekea siku yake muhimu ya kuzaliwa
Tunampongeza pia kwa ushindi wa kishindo
Habari za leo wana JamiiForums,
Natumai muwazima wa afya njema.
Leo nilikua naangalia hotuba ya Rais wa U. S aliyechaguliwa bwana Joe Biden.
Kwakweli ukimsikiliza kwa umakini Joe Baden unaweza mfananisha na Obama kwa jinsi anavyo hutubia. Mimi nadhani tutarajie yale aliyoyafanya Obama ndio...
HOTUBA YA JOE BIDEN BAADA YA USHINDI
My fellow Americans, the people of this nation have spoken.
They have delivered us a clear victory. A convincing victory. A victory for “We the People.”
We have won with the most votes ever cast for a presidential ticket in the history of this nation -- 74...
Tofauti na Donald Trump Joe Biden anaamini kuwa Marekani inatakiwa kuhamasisha dunia kwenye mambo mbalimbali ikiwepo mambo ya mazingira na demokrasia.
Baada ya huu "uchaguzi" nategemea "rais" atajaribu kuwarubuni wapinzani kwa kuwapa ajira ili wahamie CCM. Hiyo itakuwa ni propaganda kuwa yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.