joe biden

  1. JanguKamaJangu

    Maoni ya Democrats: Wanamtaka mtu mwingine agombee Urais wa Marekani 2024

    Most Democrats want someone other than Biden to run in 2024: Poll A new Siena College-New York Times poll highlights the US president’s dwindling popularity amid domestic and international crises. Only 26 percent of Democratic respondents want Joe Biden to be the party’s nominee in the next...
  2. Jidu La Mabambasi

    Hata Joe Biden wa US apunguza kodi katika bei ya mafuta!

    Rais Joe Biden wa Marekani, leo ameondoa kodi katika mafuta ili kuwapa nafuu wananchi wake. Amewataka Magavana wa States za nchi hiyo vile vile wapunguze kodi na tozo katika States zao. KWETU TZ VIPI? Hapa Tz kodi na tozo katika mfuta bado zipo kati ya Tshs 800 hadi 900.
  3. M

    Biden: Marekani haitaipatia Ukraine Mfumo wa Silaha za Maroketi ya Masafa Marefu yenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Urusi

    Akiongea na Waandishi wa Habari viunga Vya White House,Rais wa Marekani ametamka wazi kwamba Marekani haitaipatia Ukraine Silaha za Masafa Marefu zenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Ardhi ya Urusi. Kwa mda wa wiki 2 Sasa,Rais wa Ukraine amekuwa akiitaka Marekani Kuipatia nchi yake Silaha za...
  4. Lady Whistledown

    Rais Biden atoa angalizo Virusi vya Monkeypox, asema vikisambaa itakuwa ni hasara kubwa

    Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Dunia inapaswa kuwa na uangalifu kuhusu maambukizi ya Virusi vya Monkeypox ambayo yanazidi kusambaa na unaweza kusababisha athari mbaya ikiwa utaendelea kusambaa. Amesema Wanasayansi walioo Marekani wanaendelea kupambana kutafuta dawa na ikiwezekana kuwe na...
  5. JanguKamaJangu

    Rais wa Marekani, Joe Biden atangaza kutoa silaha za dola milioni 150 kwa Ukraine

    Rais wa Marekani, Joe Biden ametangaza kutoa silaha zenye thamani ya dola milioni 150 kuisaidia Ukraine katika vita dhidi ya Urusi. "Ninatangaza kutakuwa na mzigo mwingine wa msaada wa ulinzi ambao utahusisha silaha za ziada na rada kwa ajili ya Ukraine," amesema Biden. Kwa mujibu wa ofisa...
  6. Analogia Malenga

    Rais Joe Biden apinga kuomba radhi baada ya kutoa kauli ya kutatanisha kumuhusu Rais Vladimir Putin

    Rais wa Marekani Joe Biden Jumatatu amesema hataomba radhi baada ya kutamka hivi karibuni kwamba rais wa Russia Vladimir Putin “hawezi kusalia madarakani”, akisisitiza kwamba “alionyesha hasira ya kimaadili”, na sio wito wa kuondoa utawala wa Moscow. “Watu kama hao sio wa kuongoza nchi, lakini...
  7. beth

    Rais Biden: Putin alikosea kufikiri Mataifa ya Magharibi hayatojibu alipoishambulia Ukraine

    Rais Joe Biden amesema Bungeni kuwa Rais wa Urusi, Vladimir Putin alifikiri vibaya kuhusu hatua ambazo Mataifa ya Magharibi yangechukua alipoivamia Ukraine. Amesema Vita ilipangwa bila kuchochewa, na Rais Putin alikataa juhudi za mara kwa mara za Kidiplomasia akifikiri Nchi za Magharibi na NATO...
  8. lee Vladimir cleef

    Marekani Sasa inatia huruma juu ya mzozo wa Ukraine, kauli za Joe Biden ni za kukata tamaa na hofu

    Zifuatazo ni kauli za Joe Biden na viongozi wengine baada ya kuona mzozo wa Ukraine na Urusi ni kina kirefu kwa Marekani kuvuka. 1-Marekani haitapeleka majeshi Ukraine! 2-Raia wa Marekani waondoke Ukraine Sasa! 3-Raia wa Marekani waondoke Ukraine mara moja kwani Marekani haitapeleka majeshi...
  9. L

    Je, uhasama unaweza kuondoka baada ya mkutano kati ya rais Xi Jinping na Joe Biden?

    Na Pili Mwinyi Novemba 16, rais wa China Xi Jinping na mwenzake wa Marekani Joe Biden walifanya mkutano na kuzungumza kwa njia ya video. Huu ukiwa ni mkutano rasmi wa kwanza tangu Biden aingie madarakani, ulishuhudia viongozi hao wawili wa nchi zenye uchumi mkubwa duniani wakijadili masuala...
  10. kimsboy

    Boris Johnson ajiunga na Biden, watwanga usingizi mkutanoni Glasgow

    Boris Johnson ajiunga na Biden, watwanga usingizi katikati ya mkutano wa tabianchi, Glasgow Nov 03, 2021 10:48 UTC Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amejiunga na Rais wa Marekani Joe Biden na kutwanga usingizi mfupi wakati wa vikao vya Mkutano wa Hali ya Hewa unaofanyika Glasgow huko...
  11. J

    Wataalamu wa Protokali mtusaidie "Rais Samia Suluhu kukaa besides ya Rais Joe Biden ina maana gani?"

    === Wananzengo anayejua maana ya arrangement hii kwenye hii COP26 Glasgow Scotland iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania pembeni ya Rais Joe Biden wa Marekani, === <Mkao huu kiprotokali unamaanisha nini?>
  12. Tony254

    Rais Uhuru Kenyatta akutana na Rais Joe Biden wa Marekani

    Rais Uhuru Kenyatta amekutana na rais Joe Biden wa Marekani huko White House. By the way rais Uhuru kwenye mambo ya diplomasia yupo vizuri sana. Katika miaka tisa ambayo amekuwa mamlakani, amekutana na rais wote watatu wa Marekani waliokuwa madarakani. Amekutana na rais Barack Obama ambaye...
  13. beth

    #COVID19 Rais wa Marekani, Joe Biden aahidi msaada zaidi wa chanjo kwa Afrika

    Rais wa Marekani Joe Biden ameahidi msaada wa dozi milioni 17 za chanjo ya corona kwa bara la Afrika wakati alipomkaribisha rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kuahidi pia ushirikiano zaidi na bara la Afrika. Wakikutana katika ikulu ya White House mjini Washington, Biden na Kenyatta waliahidiana...
  14. J

    Uhuru Kenyatta kabeba ajenda za Afrika Mashariki kwenye kikao chake na Joe Biden wa USA

    Tofauti na Chadema wanaodhani Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta atazungumzia mambo ya Kenya tu kwenye kikao chake na Rais Joe Biden wa Marekani, ukweli ni kwamba hata Tanzania tutanufaika na mkutano wa wawili hao. ======= Biden Welcomes Kenyatta to the White House U.S. President Joe Biden hosts...
  15. beth

    Kenyatta to meet Joe Biden at White House

    Kenya's President Uhuru Kenyatta is set to become the first African leader to be hosted by the US President Joe Biden at the White House on Thursday. White House spokesperson Jen Psaki said the two would discuss "efforts to defend democracy and human rights, advance peace and security...
  16. jollyman91

    President Raeisi packs quite a punch in debut UNGA speech

    By Syed Zafar Mehdi President Ebrahim Raeisi's maiden address to the UN General Assembly on Tuesday evening packed a powerful punch, unlike anything seen before, reaffirming his reputation as a no-nonsense international leader and statesman who means business. Iranian president’s speech...
  17. The Palm Tree

    Joe Biden awaambia wajumbe wa UN - General Assembly kuwa, dunia ya wakati ujao si ya viongozi katili wanaokandamiza haki za watu...

    Tafsiri isiyo rasmi; Biden akihutubia mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa mataifa, amesema; "....Nyakati zijazo ni za viongozi ambao wanaheshimu uhuru wa watu wa kupumua (i.e kufurahia haki zao za kiraia, kisiasa, kiuchumi na kijamii) na si nyakati za viongozi wanaowakandamiza uhuru wa watu wao...
  18. beth

    Marekani: Rais Biden atetea uamuzi wa kuondoa Vikosi Afghanistan

    Rais Joe Biden ametetea uamuzi wake wa kuondoa Vikosi vya Marekani Nchini Afghanistan. Rais huyo amekosolewa kwa kiasi kikubwa kutokana na namna Vikosi vya Taifa hilo vilivyoondoka. Hata hivyo, katika hotuba yake Biden amesema kuendelea kukaa zaidi halikuwa suala lililohitaji mjadala na hakuwa...
  19. MO11

    Mo Dewji: Simba itafanyia mazoezi Marekani 2022

    Tajiri kijana mwenye hisa zake pale kwa timu bora Afrika Mashariki na namba mbili Afrika Mashariki na Kati Na wa kumi na nne Afrika nzima na wa sabini na moja dunia nzima mbele ya Arsenal Ameshaweka wazi kwamba msimu ujao kwa mabeberu pre-season Sasa wale walioshindwa hata pre season kwa...
  20. Miss Zomboko

    Biden atoa ahadi ya kuwaondoa raia wake Afghanistan

    Rais wa Marekani Joe Biden ameapa kuwa atawarejesha nyumbani raia wote wa Marekani kutoka nchini Afghanistan pamoja na Waafghani waliosaidia juhudi za nchi yake kwenye vita vya karibu miaka 20. Biden ametoa ahadi hiyo alipozungumza na waandishi habari mjini Washington wakati hatma ya maelfu ya...
Back
Top Bottom