joe biden

  1. BARD AI

    Joe Biden atangaza Rasmi kugombea Urais 2024, Kamala Harris kuwa Mgombea Mwenza

    Rais huyo wa Marekani mwenye miaka 80 ametangaza nia yake leo Aprili 25, 2023 licha ya utafiti ulifanywa na Kituo cha Runinga cha NBC kuonesha 70% ya Wananchi hawataki Biden agombee tena Urais. Biden ambaye ni Rais Mzee zaidi katika Historia ya Taifa hilo, anatarajia kukutana na upinzani mkali...
  2. Huihui2

    Agenda ya Ushoga: Katika Wateule wa Joe Biden 1,500 kuna mashoga 210 sawa na 14%

    Tusishangae kwa nini hoja ya ushoga au upinde 🌈 imepamba moto duniani kwa miaka hii miwili toka Joe Biden achuguliwe kuwa Rais wa USA. Kwa makusudi mazima alichagua mashoga maarufu kushika nafasi nyeti 210 kati ya 1,500 anazoruhusiwa kuteua anayemtaka.
  3. HERY HERNHO

    Joe Biden amesema Ukraine 'imesimama huru'

    Biden amesema Mataifa ya Magharibi hayana njama ya kuishambulia Urusi kama Putin alivyosema leo," Biden alisema. "Mamilioni ya raia wa Urusi wanataka tu kuishi kwa amani na majirani zao sio adui." Pia Biden amesema Nitarudia usiku wa leo niliyosema mwaka jana mahali pale pale. Dikteta aliye na...
  4. EINSTEIN112

    Kufuatia ziara ya Rais Biden nchini Ukraine na kuahidi msaada zaidi wa silaha, Rais Putin anatarajia kutoa hotuba

    Putin has said, without providing any evidence, that in the west “even paedophilia is announced as a normal thing.” He says the west recognizes same sex marriage. He says “That’s fine. They’re adults. They have the right to live their lives. We are always very tolerant about this in Russia.”...
  5. HIMARS

    Rais Joe Biden azuru Kyiv, Ukraine Februari 20, 2023

    Rais wa Marekani, Joe Biden atembelea Kyiv baada ya safari ya masaa 9 kwa treni kutoka Poland ambapo amewasili asubuhi ya leo US president Joe Biden is on a surprise visit to Kyiv, where he's meeting with President Zelensky ahead of the one-year mark of Putin’s full-scale invasion of Ukraine...
  6. INSIDER MAN

    Biden awapongeza wanajeshi kwa kufanikiwa kulitungua Balloon la China

    President Joe Biden on Saturday congratulated fighter pilots for taking down a Chinese spy balloon off the east coast after it spent several days flying over the United States. "They successfully took it down. And I want to compliment our aviators who did it," Biden told reporters in Maryland. AFP
  7. JanguKamaJangu

    Marekani: Nyaraka nyingine 6 za siri zakutwa nyumbani kwa Rais Joe Biden

    Wachunguzi wa Idara ya Haki ya Marekani (DoJ) wamesema wamezipata nyaraka hizo wakati wa upekuzi wa saa 13 katika nyumba iliyopo Delaware. Baadhi ya nyaraka hizo ni za wakati Biden akiwa Seneta, nyingine akiwa Makamu wa Rais chini ya Barack Obama, ambapo Wakili wa Biden, Bob Bauer amesema...
  8. GREAT INVESTOR

    Rais Joe Biden kuchunguzwa baada ya kukutwa na Nyaraka za Siri Nyumbani kwake

    Tutafika lini walipo wenzetu. Kwema wa kuu, Niko nimetulia kazini nafuatilia habari.Kwa wafuatiluaji wa habari za kimataifa watakumbuka siku si nyingi, Rais aliemaliza muda wake Donald Trump alivamiwa katika hoteli yake ya kifahari zilipo ofisi zake binafsi na FBI. FBI walivamia izo ofisi...
  9. BARD AI

    Ahadi mpya za Rais Joe Biden kwa Marais 49 wa Afrika

    Rais Joe Biden amewaomba Marais wa Afrika ushirikiano wa muda mrefu na unaokita mizizi katika utawala bora huku pamoja na kuzipenyeza biashara za Marekanikuendelea kuingiza mabilioni ya dola kwenye uwekezaji wa teknolojia kwa bara ambalo China imekuwa mdau namba moja kwa sasa. Akihutubia katika...
  10. M

    How Joe Biden and the Democratic Party defied midterm history

    Democrats have retained the Senate – doing no worse than holding steady at 50 seats and potentially gaining one – and look likely to keep any net losses in the House in the single digits. Midterms are supposed to be the time for the opposition party to shine. That should especially be the case...
  11. JanguKamaJangu

    Rais Joe Biden: Inawezekana ni kweli Urusi haijaishambulia Poland, uchunguzi unafanyika

    Baada ya kombora kutua katika Kijiji kimoja Nchini #Poland na kuua watu wawili kisha kudaiwa Urusi ndio imehusika, Rais wa Marekani, Joe Biden amesema kuna uwezekano kombora hilo halikutokea Urusi. Amesema: "Siwezi kusema wazi moja kwa moja kuhusu ushiriki wa Urusi hadi uchunguzi ukamilike.”...
  12. BARD AI

    Trump kuwania tena Urais 2024, atamba kumuondoa Ikulu Joe Biden

    Rais huyo aliyeshindwa Uchaguzi Mkuu wa 2020 ametangaza kuutaka tena Urais licha ya uchunguzi mwingi unaoendelea dhidi yake kuhusu Matumizi Mabaya ya Madaraka na Ukwepaji Kodi "Ili kuifanya Marekani iwe Kuu na Utukufu tena, leo ninatangaza kugombea Urais. Kuanzia sasa hadi siku ya uchaguzi...
  13. nipo online

    Joe Biden: Kuna tishio la moja kwa moja la nyuklia kutoka Urusi

    Maombi yanahitajika sana wakuu mambo sio mazuri kwa usalama wa Dunia, inaonekana dhahiri kua putin atatumia nyuklia baada ya kuzidiwa nguvu. --- Joe Biden has warned the world could face “Armageddon” if Vladimir Putin uses a tactical nuclear weapon to try to win the war in Ukraine. The US...
  14. MakinikiA

    Rais Biden anayemchokoza hajui diplomasia kama Putin mwanadiplosia

    The decision prompted yet another missile test by Pyongyang US redeploys aircraft carrier to Korea FILE PHOTO: The US aircraft carrier USS Ronald Reagan conducts routine operations in the Philippine Sea, May 30, 2020. © US Navy / Ltjg. Samuel Hardgrove The US military has stationed an...
  15. JanguKamaJangu

    Joe Biden: Marekani haiwezi kutishwa na Putin

    Rais wa Marekani, Joe Biden ameionya Urusi kuwa Nchi yake haitatishwa na itisho vya Rais wa Urusi, Vladimir Putin ambaye amtenganza kuendelea kuyashikilia maeneo kadhaa ya Ukraine na kutishia kutumia nyuklia. Akizungumza akiwa amenyoosha kidole kwenye kamera, Rais Biden alisema "Marekani...
  16. JanguKamaJangu

    Covid-19 pandemic is over in the US - Joe Biden

    Rais Joe Biden ametangaza kumalizika kwa maambukizi ya UVIKO-19 Nchini Marekani licha ya ripoti kadhaa kudai kuwa kuna Waathirika wapya wa ugonjwa huo wanaongezeka. Anasema "Maambukizi hakuna na ndio maana hakuna anayevaa barakoa, kila mtu anaonekana kuwa vizuri.” Pamoja na kauli hiyo mamlaka...
  17. JanguKamaJangu

    Donald Trump amtaja Rais Joe Biden kuwa ni ‘adui wa taifa’

    Donald Trump amemuita Rais wa Marekani, Joe Biden kuwa ni ‘adui wa taifa’ na akimshutumu kuwa anatumia Idara ya FBI kumdhibidi. Amezungumza hayo katika mkutano na wafuasi wake uliofanyika Pennsylvania, akidai alichofanyiwa na FBI ni moja ya unyanyasaji wa kushtua katika historia ya Marekani...
  18. BARD AI

    Rais Joe Biden asaini Mswada wa Bilioni 700$ kuboresha Afya, Kodi na Tabia Nchi

    Rais wa Marekani Joe Biden ametia saini mswada wa Dola Bilioni 700 ambao unalenga kupambana na Mabadiliko ya #TabiaNchi na gharama za #Afya huku akipandisha kodi kwa matajiri. Sheria hiyo inajumuisha utekelezaji wa ahadi za miaka kadhaa za Bunge ili kupunguza Bei ya Dawa zinazoagizwa na...
  19. I am Groot

    Rais Xi Jinping ampa onyo kali Rais Joe Biden akimuonya ''Asicheze na moto" sakata la Taiwan

    Baada ya mazungumzo kwa simu yaliyochukua masaa 2 na dakika 17 kati ya Rais wa Marekani, Joe Biden na Rais wa China, Xi Jinping, Xi atoa onyo kali kuhusu mgogoro wa Taiwan: "wale wanaocheza na moto bila shaka wataungua. China inapinga Vikali kuingiliwa katika masuala ya Taiwan na itatetea...
  20. B

    Rais Joe Biden awaalika Viongozi wa Africa kwa majadiliano Washington

    20 July 2022 Washington DC TAARIFA YA KIKAO KIJACHO CHA RAIS BIDEN NA VIONGOZI WA AFRIKA / US - AFRICA SUMMIT 2022 Rais Joe Biden awaalika Viongozi wa Afrika kwa Majadiliano Washington Taarifa ya Ikulu ya Marekani maarufu kama White House imetolewa kuelezea mwaliko wa Rais wa Marekani kwa...
Back
Top Bottom