john

  1. Black Butterfly

    Nini kipo nyuma ya Mzungu John Robert Maitland, alifungwa Tanzania miezi 6 lakini bado yuko Gerezani Segerea zaidi ya miaka 10?

    JOHN ROBERT MAITLAND DHIDI YA JAMHURI Mshtakiwa alishtakiwa kwa kosa la kuingia na kuwepo kinyume cha sheria ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mahakama ya Wilaya Bukoba, Kavera. Alikutwa na hatia na kuhukumiwa kulipa faini ya Shilingi 80,000 za Kitanzania au kifungo cha miaka...
  2. M

    Hii CHADEMA ya Dkt Slaa pale, huku Tundu Lissu kule Freeman Mbowe pale John Heche na John Mnyika katikati Godbless Lemma CCM kwisha kabisa

    Kama Kuna mziki CCM itapitia tangu kuanza kwa vyama vingi basi ni huu wa CHADEMA ya sasa. Najaribu kufikiria kama watakuwa na chopa tatu na wakawa na root tatu zitakazoongozwa na Dkt Slaa, Lissu, Mbowe na Heche naamini hii No reform No Election itakuwa ni kama kusukuma mlevi.
  3. The Palm Beach

    No Reforms, No Election 2025: Balaa la John Heche Sirari - Tarime. Maelfu wampokea. Amfyatua polisi anayeonea na kunyanyasa watu

    https://youtu.be/NRRV25wKN9U?si=Z82mG6EFcURTQFPr ➡Hii combination ya Tundu Lissu na John Heche sio mchezo. Ni wote wanajua kujenga hoja ➡Maelfu ya umati huu Sirari - Tarime leo wakimsikiliza huyu mwamba. ➡Ni ukweli usiopingika kuwa, IF THERE WILL BE NO REFORMS, THEN THERE WILL BE NO ELECTION...
  4. Mindyou

    John Heche anapokelewa nyumbani kwao Tarime muda huu

    Tazama live mapokezi ya John Heche, Makamu Mwenyekiti Chadema nyumbani Tarime Endelea kukaa karibu na uzi huu ili upate updates ya kinachojiri https://www.youtube.com/live/7OJyurWyWTM?si=7W8P31TYXlSoapMT
  5. Ojuolegbha

    Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Ahmed Djellal,

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Djellal, ambaye alifika ofisini kwa Balozi Nchimbi, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, kwa ajili ya kuaga, Jumatano tarehe 12...
  6. Waufukweni

    Msanii aimba 'CHADEMA unaishindaje', wimbo wa Harmonize kwenye mapokezi ya John Heche

    Msanii aimba remix ya wimbo wa Harmonize kwa kweka mistari ya "CHADEMA unaishindaje, kwenye mapokezi ya John Heche nyumbani kwao Tarime
  7. B

    Majina ya Kina John wamefanikiwa sana kuingia kwenye Siasa na Serikali Tanzania, nini siri ya jina John?

    1. John Kijazi 2. John Magufuli 3. John Heche 4. John Mnyika 5.John Kaijage 6. John Kitwanga 7............. Aliyepata hasara ni John Babptist tu. Kama una akina john wengine wataje
  8. M

    John mrema: Msiendelee kuchokoza walioamua kutulia na kukaa kimya ! Hasara itakuwa kubwa kuliko faida !

    Naona unahamisha Magoli ! Kwamba mwenye tafsiri sahihi kwamba Maridhiano haya yana tija Kwa Taifa na jamii ni nani ? Kwamba mwenye kuona faida ya maridhiano ni lazima awe diaspora? Kwamba Maridhiano ya awali hayakuwa na tija ,nani mwenye kusikilizwa? Haya mambo yafike mwisho Sasa ,kama...
  9. S

    John Heche: Tutawaeleza namna mabehewa yanavyonunuliwa. Kama ni mapya, yamepakwa rangi, n.k.

    Hii ni kauli ya John Heche leo wakati Mwenyekiti mpya wa CHADEMA akikabidhiwa ofisi. Amesema wanakwenda kuweka mambo mbalimbali hadharani na kwamba wanarudisha CHADEMA ya zamani. Kasisitiza watayafanya haya na hawatayafanya kama tu watakuwa wamekufa au wako jela. Niliwahi waambia mtakuja...
  10. Shooter Again

    John heche anatosha kuwa raisi lissu mpe nafasi huyu mtu

    Huyu ni makamu wako mpe nafasi awe mgombea wako wa uraisi halafu wewe tulia kunywa juice ya embe naamini ccm inaenda kuanguka kupitia huyu mwamba sijaona Cha kuizuia chadema kama wakimsimamisha John heche
  11. Makonde plateu

    Trump avalia njuga mauaji ya john Kennedy

    𝐉𝐄! 𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐌𝐏𝐘𝐀 𝐖𝐀 𝐓𝐀𝐍𝐙𝐀𝐍𝐈𝐀 𝟐𝟎𝟐𝟓 𝐍𝐀𝐘𝐄 𝐀𝐓𝐀𝐕𝐀𝐋𝐈𝐀 𝐍𝐉𝐔𝐆𝐀 𝐔𝐓𝐄𝐊𝐀𝐉𝐈 𝐖𝐀 𝐀𝐊𝐈𝐍𝐀 𝐒𝐎𝐊𝐀 𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐔𝐀𝐉𝐈 𝐘𝐀 𝐌𝐙𝐄𝐄 𝐊𝐈𝐁𝐀𝐎? Trump ametia saini amri ya kufichuliwa kwa nyaraka kuhusu kuuawa kwa Rais John F Kennedy, kaka yake Bobby Kennedy na Mwanaharakati mashuhuri Martin Luther King. Kwa uelewa wangu na kusoma kwangu...
  12. Camilo Cienfuegos

    Kumekucha: Trump anataka mafaili yote ya siri kuhusu mauaji ya Rais John F. Kennedy na kaka yake Robert F. Kennedy yawekwe wazi kwa umma

    Rais mpya wa Marekani, Donald Trump anapanga kuagiza idara za usalama za Marekani kuweka wazi taarifa zote za siri (Classified Documents) kuhusiana na mauaji ya JFK na RFK yawekwe wazi kwa umma ili umma uweze kujua nini hasa kilijiri. Ni takribani miongo sita imepita tangu ndugu hao wauwawe...
  13. Inside10

    John Mrema kuunguruma tarehe 25 January

    Keshokutwa MwenyeziMungu akinijalia nitasema kwa kinywa kipana sana ! Taasisi ni muhimu sana! Matusi na kejeli havijengi! Kuishi Ughaibuni havijengi!!
  14. Li ngunda ngali

    Naiwaza kesho ya John Mrema, Yericko Nyerere na Kigaila

    Ukiachilia mbali yule mpuuzi Ntobi, Chuki yao dhiki ya Tundu Lissu ilikuwa bayana na haikuwa fiche. Lakini kama ilivyo ada, muda huwa Mwalimu na kwalo hawakujipa kiasi ya kuhifadhi. Ni ipi kesho yao ndani ya Chadema washindwa hao?!
  15. Msanii

    Tuhuma alizozitoa Wenje na majibu aliyoyatoa K/Mkuu John Mnyika, kwa nini Wenje bado ni mwanachama wa CHADEMA?

    Wenje ametoa tuhuma nzito kuwa pesa za Join The Chain pamoja na Chadema digital zinatumika kwa ajili ya kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA. Katibu Mkuu wa upande wake amemjibu Wenje kuhusu ukuswaji,matumizi na ukaguzi wa CAG wa fedha hizo. Hivyo Wenje amedhihirika kutumia uswahiba wake na Abdul...
  16. Lycaon pictus

    Hatujawahi kuwa na Rais mpenda mazingira na uhifadhi kama John Pombe Magufuli

    Rais Magufuli alikuwa ni Rais mpenda Mazingira na uhifadhi hasa. Wakati anaingia madarakani mwaka 2015 idadi ya Tembo Tz ilisadikika kuwa 43,000. Hadi anafariki mwaka 2021 inasemwa kuwa tembo walifika 60,000. Sababu alidhibiti ujangili. Magufuli alianzisha National Parks tatu. Mwalimu Nyerere...
  17. Pang Fung Mi

    Hotuba ya John Pambalu kwenye Uchaguzi wa BAVICHA ni Ishara Vijana wa CHADEMA choka Mbaya

    Ukisikiliza quotes za kujifariji za kijana wa CHADEMA John Pambalu kwenye Uchaguzi wa BAVICHA, inaonesha hali mbaya sana ya hawq vijana wa CHADEMA anafanya quotations za watu maarufu ambao kwa sasa wako kuzimu na hawewezi kumtia tumaini lolote huku dubwana na beberu Mbowe likiwa meza kuu...
  18. Beira Boy

    John Pambalu ni mchungaji au mwanasiasa? Abarikiwe sana ana nondo sijapata kuona? Sion wa kumfananisha naye bongo

    Amani iwe nanyi waungwana Huyu John Pambalu ni kateksita, mchungaji au mwanasiasa? Sioni mchungaji au kateksita au mwanasiasa wa kumfananisha naye Kijana ana nondo ni balaa Kamchana chana Mbowe kama karatasi Anadai kama CHADEA wanaenda kumchagua kiongozi kwa sababu ya pesa Kuna umhimu gan...
  19. ILAN RAMON

    Uongo unaendelea kushamiri na kumpora Field Marshall John Okelo heshima yake stahiki

    Katika maadhimisho ya miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar, jina la Sheikh Abeid Amani Karume linabaki kuwa nembo ya maono jasiri yaliyobadilisha visiwa vya Karafuu katika Bahari ya Hindi. Kama kiongozi wa Mapinduzi ya mwaka 1964, Sheikh Karume aliongoza mabadiliko makubwa yaliyovunja mizizi ya...
  20. K

    Kijana John Mnyika apongezwe kwa uzalendo wake!

    Katrika watu kwenye nchi hii ambao wanahitaji pongezi ni John Mnyika. Hana skendo ya rushwa na kila kwenye mijadala mikubwa ya Chadema anakuwepo. Endapo Mbowe akishidwa mtu ambaye anaweza kuhakikisha hakuna hujuma kwenye Chama kwasababu ya ego za watu wa Mbowe ni John Mnyika. Huyu ni mtu...
Back
Top Bottom