Wakuu
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (bara), John Heche amlipua RC Chalamila kwa kauli yake iliyozua gumzo kuhusu Mama Mjamzito aliyempigia simu na kumweleza changamoto ya ukosefu wa Gloves hospitali.
Soma, Pia: RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai...
Lisingekuwa Vuguvugu la kumng'oa Mbowe hizi Dakika za Mwisho kwangu mimi ungeniuliza nani anastahili kuwa Mwenyekiti baada ya Mbowe ningesema ni Heche.
Leo nimewasikiliza wote(Lissu&Heche) Hotuba zao walipoingia Ofisini kwa mara ya kwanza,kimsingi ukiwasikiliza vizuri Hotuba ya Heche ndiyo...
Makamu Mwenyekiti wa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amesema chama hicho kitashirikiana na kila mwanachama na yeyote mwenye nia ya kufanya nacho kazi bila kuangalia aliwaunga mkono yeye au Mwenyekiti wa sasa Tundu Lissu katika kipindi uchaguzi.
Akizungumza leo...
“Nimemuona Mzee Wasira, amekuwa Serikalini kwa zaidi ya miaka sitini sijui sabini tangu akiwa na miaka sijui ishirini mimi sijazaliwa, anataka atengeneze kwamba anataka kutengeneza kama mabishano flani na Mwenyekiti wetu wa Taifa, kwamba Wasira amshughulikia Lissu, Mzee Wasira Lissu sio saizi...
Hii ni kauli ya John Heche leo wakati Mwenyekiti mpya wa CHADEMA akikabidhiwa ofisi.
Amesema wanakwenda kuweka mambo mbalimbali hadharani na kwamba wanarudisha CHADEMA ya zamani.
Kasisitiza watayafanya haya na hawatayafanya kama tu watakuwa wamekufa au wako jela.
Niliwahi waambia mtakuja...
Nipo hapa Mikocheni opposite na CHADEMA HQ na ninashuhudia idadi kubwa ya Watu wakiwemo waandishi wa Habari ninaowafahamu wakiingia ofisi za Chadema
Wote wanasema wamekuja kupata Neno la Kwanza la Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Tundu Lissu na makamu wake Mh John Heche wakiwa rasmi ofisini
Ngoja...
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa mitandaoni kote siku ya leo
Taarifa zingine zinaeleza kwamba, Viongozi hao Wamepanga Mikakati ya namna ya kuing'oa ccm kwenye Kanda hiyo, na tayari kazi imeanza, ambapo wamekubaliana kuanzia Jimbo la Job Ndugai
Hawa hapa wakiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu...
Huyu ni makamu wako mpe nafasi awe mgombea wako wa uraisi halafu wewe tulia kunywa juice ya embe naamini ccm inaenda kuanguka kupitia huyu mwamba sijaona Cha kuizuia chadema kama wakimsimamisha John heche
Tumia dakika zako 10 kuziangalia hizi videos kuuona ujasiri na msimamo wa Makamu mpya wa Chadema
John Heche alichomjibu Magufuli akiwa ziarani Tarime
Hii ni baada ya kukatazwa kufanya mkutano
Heche na Polisi wavutana baada ya kuripoti Polisi Sirari na Tarime Rorya
Wakuu,
Leo mbali na kuwa ni Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA pia wanasherekea Miaka 32 ya CHADEMA kupata Usajili wa Kudumu, ambapo ulipatikana Januari 21, 1993.
https://www.youtube.com/watch?v=6W33TIKrrOE
Mbivu na mbichi kujulikana leo, tumeona mengi na kusikia mengi kila upande ukitetea kwake. Je...
Mgombea Uenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, amekuwa wa kwanza kuwasili katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaa, ambapo leo Januari 21, 2025 unafanyika uchaguzi wa kuwapata viongozi wa juu wa chama hicho.
Lissu amewasili katika viwanja vya ukumbi huo saa 10:15 asubuhi, akiwa ndani ya gari...
Wakuu naona Godbless Lema ameshaamua kuwapongeza wagombea wake mapema akiamini wameshashinda.
Hongereni sana kwa ushindi mkubwa ambao wajumbe wamewapa leo. Sasa mkafanye kazi na mkaheshimu imani mliyopewa na wanachama na wajumbe wa mkutano mkuu. Nimefurahi sana mmeshinda. Retweet this message...
Je,
hawakubaliki wala kuaminika kwasababu ya miongoni mwao kuishi sana uhamishoni nchi za magharibi, na kwahivyo wanaonekana kama ni vibaraka na makuwadi wa nchi za magharibi kupenyeza ukoloni mambo leo na sera za ndoa za jinsia moja, ufirauni na utoaji mimba nchini?
Au,
hawakubaliki wala...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, amesema aliamua kumteua John Heche kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho ili kumuepusha na hatari ya kupotea kwenye siasa za juu za chama.
Mbowe aemetoa kauli hiyo jana, Januari 17, 2025, wakati wa mahojiano maalum na wahariri na waandishi wa habari...
Mgombea Uenyekiti BAVICHA Masoud Mambo akifunguka A to Z kilichotokea kwenye Uchaguzi BAVICHA baada ya wakubwa kuingilia kati.
Source: East Africa Radio
My take: Usafi wa Heche na Lissu uko mdomoni tu- ni wachafu kuliko uchafu wenyewe
Akizungumza katika kipindi Cha Morning Trumpet Mwenyekiti anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amesema;
"Moja wapo ya changamoto kubwa tunayoipata kwenye Vyama vyetu vya Upinzani ni uvumilivu wa watu kusubiri miaka mitano, kumi, ishirini. Wanapokuwa wabunge, kwa mfano, hakuna kipindi tumejua...
Lema awaambia wajumbe yeyote anayewashawishi kwa pesa na kutaka kuwafungia chakula wachukue halafu wakishakua waende kwenye kuwachinja kwenye uchaguzi.
Pia soma: https://www.jamiiforums.com/threads/godbless-lema-namuomba-mbowe-apumzike-amuachie-lissu-afanye-kazi-ya-uenyekiti-chadema.2297060/...
Hiki kituo ni kama extension ya chama cha chadema. Chadema wanapofanya ukukwaji wa haki za binadamu kwa kudharau jinsia ya kike, kudharau wazanzibari na waislamu. Hawa jamaa hawasemi neno. Mabingwa na kufanya hivyo ni Lissu na Heche.
Nadhani sasa Tume ya uchaguzi na ofisi ya msajili wa vyama...
John Heche amesema kuwa Tundu Lissu ana nafasi kubwa ya kushinda Uchaguzi wa Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa, akisisitiza "hilo liko wazo na halipingiki"
Licha ya kumuunga mkono Tundu Lissu, John Heche alichukua fomu ya kugombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Huyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine.
"Cha kwanza ni kwamba huyu Mama hawezi kushinda uchaguzi Lissu akiwa mgombea, wala sisi tukikiwa tunaongoza Chama. Kwasababu...