JOHN ROBERT MAITLAND DHIDI YA JAMHURI
Mshtakiwa alishtakiwa kwa kosa la kuingia na kuwepo kinyume cha sheria ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mahakama ya Wilaya Bukoba, Kavera.
Alikutwa na hatia na kuhukumiwa kulipa faini ya Shilingi 80,000 za Kitanzania au kifungo cha miaka...
Kama Kuna mziki CCM itapitia tangu kuanza kwa vyama vingi basi ni huu wa CHADEMA ya sasa.
Najaribu kufikiria kama watakuwa na chopa tatu na wakawa na root tatu zitakazoongozwa na Dkt Slaa, Lissu, Mbowe na Heche naamini hii No reform No Election itakuwa ni kama kusukuma mlevi.
https://youtu.be/NRRV25wKN9U?si=Z82mG6EFcURTQFPr
β‘Hii combination ya Tundu Lissu na John Heche sio mchezo. Ni wote wanajua kujenga hoja
β‘Maelfu ya umati huu Sirari - Tarime leo wakimsikiliza huyu mwamba.
β‘Ni ukweli usiopingika kuwa, IF THERE WILL BE NO REFORMS, THEN THERE WILL BE NO ELECTION...
Tazama live mapokezi ya John Heche, Makamu Mwenyekiti Chadema nyumbani Tarime
Endelea kukaa karibu na uzi huu ili upate updates ya kinachojiri
https://www.youtube.com/live/7OJyurWyWTM?si=7W8P31TYXlSoapMT
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Djellal, ambaye alifika ofisini kwa Balozi Nchimbi, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, kwa ajili ya kuaga, Jumatano tarehe 12...
algeria
balozi
ccm
chama
chama cha mapinduzi
dkt. emmanuel john nchimbi
emmanuel john
emmanuel john nchimbi
john
katibu
katibu mkuu
katibu mkuu wa chama
mapinduzi
mkuu
nchimbi
nchini
tanzania
1. John Kijazi
2. John Magufuli
3. John Heche
4. John Mnyika
5.John Kaijage
6. John Kitwanga
7.............
Aliyepata hasara ni John Babptist tu.
Kama una akina john wengine wataje
Naona unahamisha Magoli ! Kwamba mwenye tafsiri sahihi kwamba Maridhiano haya yana tija Kwa Taifa na jamii ni nani ?
Kwamba mwenye kuona faida ya maridhiano ni lazima awe diaspora?
Kwamba Maridhiano ya awali hayakuwa na tija ,nani mwenye kusikilizwa?
Haya mambo yafike mwisho Sasa ,kama...
Hii ni kauli ya John Heche leo wakati Mwenyekiti mpya wa CHADEMA akikabidhiwa ofisi.
Amesema wanakwenda kuweka mambo mbalimbali hadharani na kwamba wanarudisha CHADEMA ya zamani.
Kasisitiza watayafanya haya na hawatayafanya kama tu watakuwa wamekufa au wako jela.
Niliwahi waambia mtakuja...
Huyu ni makamu wako mpe nafasi awe mgombea wako wa uraisi halafu wewe tulia kunywa juice ya embe naamini ccm inaenda kuanguka kupitia huyu mwamba sijaona Cha kuizuia chadema kama wakimsimamisha John heche
ππ! ππππ ππππ ππ ππππππππ ππππ ππππ ππππππππ πππππ πππππππ ππ πππππ ππππ ππ ππππππ ππ ππππ πππππ?
Trump ametia saini amri ya kufichuliwa kwa nyaraka kuhusu kuuawa kwa Rais John F Kennedy, kaka yake Bobby Kennedy na Mwanaharakati mashuhuri Martin Luther King.
Kwa uelewa wangu na kusoma kwangu...
Rais mpya wa Marekani, Donald Trump anapanga kuagiza idara za usalama za Marekani kuweka wazi taarifa zote za siri (Classified Documents) kuhusiana na mauaji ya JFK na RFK yawekwe wazi kwa umma ili umma uweze kujua nini hasa kilijiri.
Ni takribani miongo sita imepita tangu ndugu hao wauwawe...
Ukiachilia mbali yule mpuuzi Ntobi, Chuki yao dhiki ya Tundu Lissu ilikuwa bayana na haikuwa fiche. Lakini kama ilivyo ada, muda huwa Mwalimu na kwalo hawakujipa kiasi ya kuhifadhi.
Ni ipi kesho yao ndani ya Chadema washindwa hao?!
Wenje ametoa tuhuma nzito kuwa pesa za Join The Chain pamoja na Chadema digital zinatumika kwa ajili ya kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA.
Katibu Mkuu wa upande wake amemjibu Wenje kuhusu ukuswaji,matumizi na ukaguzi wa CAG wa fedha hizo. Hivyo Wenje amedhihirika kutumia uswahiba wake na Abdul...
Rais Magufuli alikuwa ni Rais mpenda Mazingira na uhifadhi hasa. Wakati anaingia madarakani mwaka 2015 idadi ya Tembo Tz ilisadikika kuwa 43,000. Hadi anafariki mwaka 2021 inasemwa kuwa tembo walifika 60,000. Sababu alidhibiti ujangili.
Magufuli alianzisha National Parks tatu. Mwalimu Nyerere...
Ukisikiliza quotes za kujifariji za kijana wa CHADEMA John Pambalu kwenye Uchaguzi wa BAVICHA, inaonesha hali mbaya sana ya hawq vijana wa CHADEMA anafanya quotations za watu maarufu ambao kwa sasa wako kuzimu na hawewezi kumtia tumaini lolote huku dubwana na beberu Mbowe likiwa meza kuu...
Amani iwe nanyi waungwana
Huyu John Pambalu ni kateksita, mchungaji au mwanasiasa?
Sioni mchungaji au kateksita au mwanasiasa wa kumfananisha naye
Kijana ana nondo ni balaa
Kamchana chana Mbowe kama karatasi
Anadai kama CHADEA wanaenda kumchagua kiongozi kwa sababu ya pesa Kuna umhimu gan...
Katika maadhimisho ya miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar, jina la Sheikh Abeid Amani Karume linabaki kuwa nembo ya maono jasiri yaliyobadilisha visiwa vya Karafuu katika Bahari ya Hindi.
Kama kiongozi wa Mapinduzi ya mwaka 1964, Sheikh Karume aliongoza mabadiliko makubwa yaliyovunja mizizi ya...
Katrika watu kwenye nchi hii ambao wanahitaji pongezi ni John Mnyika. Hana skendo ya rushwa na kila kwenye mijadala mikubwa ya Chadema anakuwepo. Endapo Mbowe akishidwa mtu ambaye anaweza kuhakikisha hakuna hujuma kwenye Chama kwasababu ya ego za watu wa Mbowe ni John Mnyika.
Huyu ni mtu...