JOHN INNISS MSWAHILI WA NEW YORK
Nimemfahamu John Inniss miaka ya 1980 mwishoni kwa kutambulishwa na Bi. Riziki Shahari miaka hiyo yeye mwanafunzi Columbia University, New York ambako ndiko "Waswahili," hawa wawili walijuana.
John Innis ambae nikipenda kumwita kwa jina lake la utani...