john

  1. beth

    Shule ya Wavulana ya Ihungo yazinduliwa rasmi, iliharibiwa na tetemeko la 2016

    Shule hiyo iliathiriwa na tetemeko lililotokea Mkoani Kagera Septemba 10, 2016 na kupelekea majengo mengi kuharibika ambapo Serikali iliagiza ijengwe upya. Mradi huo umegharamiwa na Serikali za Uingereza na Tanzania. Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako amesema Shule ya Wavulana ya Ihungo...
  2. Kabende Msakila

    Rais Dkt. John Pombe Magufuli, tunaendelea kukuomba Mkoa mpya wa Nyakanazi

    Dkt. John Pombe Magufuli, hongera sana kwa kutekeleza vema majukumu yako ya urais Naomba kukukumbusha juu ya maombi ya kutengewa mkoa mpya wa Nyakanazi. Mkoa huu ilipendekezwa uundwe na wilaya za Kakonko na Kibondo (Kigoma), na Ngara na Biharamulo (Kagera). Mkoa huu uwe na jumla ya wilaya nne...
  3. Kabende Msakila

    Dkt. John Pombe Magufuli akikubali tu, niko tayari kumpokea kijiti hicho 2025

    JF members, and Tanzanians! Dkt John Pombe Magufuli amefanya mengi mazuri kwa taifa letu la Tanzania - ni ngumu kutaja kwa jina kila alichofanya lakini kwa uchache - elimu, afya, barabara na vivuko, uwajibikaji, makusanyo na kodi, matumizi ya fedha za umma na kukomesha Ufisadi ni miongoni mwa...
  4. Kabende Msakila

    Dkt. John Pombe Magufuli amefanikiwa - tuchangie ujenzi wa madarasa

    Wanaccm, CHADEMA, CUF, NCCR, act nk Salaam! Hakuna ubishi kwamba jitihada za Serikali inayoongozwa na Dkt John Pombe Magufuli za kuondoa ada shuleni, zimepelekea ufaulu wa watoto wa shule za msingi kuongezeka sana. Sasa tafadhali katika shule za Sekondari ambazo hazina miundombinu ya madarasa...
  5. Kabende Msakila

    Dkt. John Pombe Magufuli umelifaa taifa kisiasa na kiuchumi. Sasa ongeza kasi kudhibiti fedha za political vote

    Dkt. John Pombe Magufuli, ni mwamba imara - umefanya mengi mazuri i.e utawala bora, uwajibikaji, miundombinu nk Pamoja na hayo nashauri uangazie sana matumizi ya fedha unazotoa kwa ajili ya mfuko wa self help schemes or political vote. Kwa wasiozifahamu ni kuwa Serikali hutoa:- (a). Fedha za...
  6. Kabende Msakila

    Dkt. John Pombe Magufuli ameanza kuishiwa na rasilimali watu - siyo kawaida yake kukaimisha

    Wanabodi, Salaam. Nimeona kupitia mitandao ya kijamii kuhusu utenguzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Igunga mkoani Tabora leo tarehe 28 Desemba, 2020. Kwa ujumla iwapo Mkurugenzi huyo alikuwa na kasoro lazima atenguliwe kupisha wenye uwezo, ubunifu na wanaojali kuongeza mapato...
  7. Chagu wa Malunde

    John Mnyika usitetee uovu, kama kuna mtu anahusika kutafuna mali ya umma acha apate hatua stahiki

    Kama mtanzania mpenda ukweli nimefarikija kuona PCCB wakitoa taarifa kuwa bado wanaendelea na uchunguzi juu ya ubadhilifu wa bil 8 zilizotafunwa na viongozi wa Chadema. Mbali ya hayo wamesisitiza kuwa wataendelea na uchunguzi juu ya ubadhilifu uliokuwa unafanyika kwenye mifuko ya majimbo...
  8. J

    John Komba: CCM ni kokoro

    Kila nikikumbuka kauli hii ya aliyekuwa mbunge wa Nyassa John Komba RIP aliyoitoa bungeni kwamba CCM ni kama Kokoro huwa inanitafakarisha sana. Sasa kama CCM ni kokoro chama kikuu cha upinzani CHADEMA tutakiitaje? Maana Chadema hupokea mtu yoyote na hawadumu baada ya kitambo kidogo huondoka...
  9. Kabende Msakila

    Dkt. John Magufuli, nami namwombea radhi Mkurugenzi wa Geita - mengi mazuri ameyafanya

    Mhe Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, mtoto wako kaunyea mkono "msamehe". Mkurugenzi kafanya mengi Kajenga Zahanati, Kadhibiti mianya ya rushwa, Kajenga shule za msingi Kaongeza mapato ya halmashauri, Kadhibiti nidhamu kwa watumishi wake, Kadhibiti makazi holela, Na mengine mengi mazuri jamani...
  10. Superbug

    Nilibarikiwa na Papa John Paul II mwaka 1990 nikiwa mtoto leo hii najiona mimi ni kama askofu

    Mwaka 1990 nchi yetu ilipata bahati ya kutembelewa na viongozi wawili wakubwa duniani mmoja wa kisiasa mwingine wa kidini. Papa John na Mandela. Wakati papa John amekuja Tanzania baba alinibeba begani papa akaniona nikiwa juu ya bega la baba alinibusu na kunibariki. Leo najiona nina upako wa...
  11. K

    John Heche kujiunga CCM?

    Moja ya vijana mahiri wa Chadema wanaowindwa na chama Cha mapinduz ni John HECHE. Kuwindwa kwake ni katika harakati za kupunguza nguvu ya upinzani kanda ya ziwa na kulainisha miyoyo ya Wananchi. Je, ataweza kuvumilia safari ya siasa za upinzani akiwa ndani ya walezi wake Chadema? Kwanini CCM...
  12. J

    Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

    Hii sasa ni kali. Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi" Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini Francis Ndulane ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo...
  13. Kabende Msakila

    Kwanini ukimsifia Rais Magufuli CHADEMA wananuna na kutoa dhihaka - Wanahitaji Elimu?

    WanaJF, Salaam! Nimefuatilia kwa takriban miaka sita (6) hivi humu kwenye jamvi huru la siasa. Ukijitokeza kusifia, kuunga mkono jitihada za Serikali inapofanya jambo zuri i.e Ujenzi wa vivuko Busisi - Sengerema, ujenzi wa barabara za lami, ujenzi wa vituo vya afya, uteuzi wa wapinzani...
  14. MIMI BABA YENU

    John Malecela: Tuunge mkono juhudi za Rais Magufuli kwa maendeleo endelevu

    Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu, John Samuel Malecela amewataka watanzania kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli katika juhudi za kujenga uchumi imara na endelevu. Mzee Malecela ameyasema hayo hivi karibuni katika mahojiano maalum na...
  15. Kabende Msakila

    Dkt. John Pombe Magufuli, Dkt. Hussein Mwinyi na Maalim Seif watuzwe udaktari wa heshima

    Wanabodi, Salaam! Kwanza nianze kwa kukupongezeni kwa uhai wenu ndani ya kundijamii hili - nafahamu kwamba pamoja na kuwa tumo watu wa itikadi tofauti za vyama vya siasa, dini tofauti, jinsia na makabila tofauti lkn bado tunatumia jukwaa hili kutoa ya akikini mwetu ili yasaidie kuijenga nchi...
  16. Leslie Mbena

    Baraza jipya la Mawaziri: Geofrey Mwambe na Dkt. Philip Mpango turufu mpya za ukuaji wa uchumi katika awamu hii ya mwisho ya Rais John Magufuli

    BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI:MH GEOFREY MWAMBE NA DKT PHILIP MPANGO TURUFU MPYA ZA UKUAJI WA UCHUMI KATIKA AWAMU HII YA MWISHO YA RAIS JOHN MAGUFULI. Leo 13:25hrs 06/12/2020 TIC ndio mzizi uliosimikwa chini kwa Maendeleo ya Taifa la Tanzania,TIC ina wajibu wa kuifanya Tanzania kuwa sehemu bora kwa...
  17. B

    Mwenyekiti, Katibu Mkuu CHADEMA kigugumizi cha nini sakata la Wabunge wa Viti Maalum?

    Mabibi na mabwana inafahamika kuwa safari kuelekea uhuru haijawahi kuwa rahisi. Wala safari ya kuelekea huko haijawahi na wala haitakuja kupungukiwa wasaliti. Kwamba pana mbunge bungeni anaendelea kujitanabaisha kuwa ni mbunge wa CHADEMA na mko kimya tu? Kwamba kuna watu yasemekana wamekiuka...
  18. Analogia Malenga

    Uchaguzi Uganda 2021: Mfahamu John Katumba, kijana mwenye umri mdogo anayewania urais Uganda

    Wakati Yoweri Tibabuhurwa Kaguta Museveni alipochukua madaraka kuongoza Uganda mwaka 1986 alikuwa kijana wa miaka 42. Miaka 34 baadaye anaingia kwenye kinyang'anyiro cha kutetea kiti chake dhidi ya 'mjukuu wake' wake John Katumba, ambaye wakati anazaliwa rais huyo mkongwe kuliko wote Afrika...
  19. GENTAMYCINE

    Mnapohangaika 'Kumsifia' Mchezaji wenu Faisal Salum kumbukeni pia bila 'pande' la John Boko leo 'mngenuna' tu

    Na hapa ndipo Kipimo halisi cha aina ya Wanamichezo (hasa wapenda Soka) wa Tanzania walivyo ukichanganya na Waandishi wa Habari na Watangazaji wa 'hovyo hovyo' tulionao Tanzania kwa sasa. Yaani Timu yetu ya Taifa Stars jana 'imejitutumua' na kutoka Sare na Tunisia badala ya Kuwapongeza Wachezaji...
  20. The Palm Tree

    Mch. Josephat Gwajima: Maeneo mengine hatukuhitaji kupiga kura ili kushinda bali kutaja jina la John P. Magufuli tu, kura zilipatikana

    Hata hatujafika mbali sana, tayari wanaanza kusema waziwazi wenyewe mbinu haramu na za wizi wa kura walizotumia kushinda uchaguzi huu. Katika video hii inayomwonesha mbunge mpya wa CCM - Jimbo la Kawe - DSM, Mch. Josephat Gwajima kuanzia dakika ya 8:50 ukitazama na kumsikiliza bila kujua ana...
Back
Top Bottom