MAKALA YA 2
Karibuni tena katika Makala yenye kutoa elimu juu ya mambo muhimu kwenye ujenzi wa Majengo (madogo) I.e. Nyumba, Maduka, Darasa, Zahanati n.k
Leo tunatazamia katika Halijoto ndani ya jengo.Hili suala linawasumbua wakazi wa mikoa ya ukanda wa Pwani, Longido, Loliondo, Simanjiro...