julius nyerere

  1. The best 007

    KERO Julius Nyerere International Airport (JNIA) kukosa air condition ni aibu kubwa kwa nchi hii

    Ni zaidi ya wiki sasa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere International Airport air condition hazifanyi kazi, hasa kipindi hiki cha joto kali Dar es Salaam, hivi wahusika wanafikiria nini? Je, ni hujuma? Mama Kizimkazi anajua? Na kama anajua amechukua hatua gani? Na kama hajui kwa...
  2. Mohamed Said

    Sanamu ya Abraham Lincoln Washington DC na Sanamu ya Julius Nyerere Dodoma

    SANAMU YA ABRAHAM LINCOLN, LINCOLN MEMORIAL WASHINGTON DC NA SANAMU YA JULIUS NYERERE DODOMA Abraham Lincoln sijapatapo kumuona hata siku moja ila katika picha. Lakini huwezi kuniwekea sanamu isiyo yeye nikashindwa kutambua kuwa huyo siye sembuse Mwalimu Julius Nyerere ambae nimemuona maisha...
  3. Kamanda Asiyechoka

    Picha: Hayati Julius Nyerere original

  4. Roving Journalist

    Dkt. Doto Biteko: Mradi wa JNHPP unatarajiwa kuingiza Megawati 235 katika Gridi ya Taifa mwezi huu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, leo Februari 19, 2024 amewasili mkoani Mbeya kwa ziara ya kikazi mkoani humo. Ziara hiyo pia itahusisha ukaguzi wa miradi mbalimbali ya umeme mkoani humo. Akiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe, Dkt. Biteko amepokelewa...
  5. Mjanja M1

    Picha: Sanamu ya Nyerere Makao Makuu Umoja wa Afrika, ni yeye au lah?

    Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa kwa ajili ya kutambua mchango wake katika masuala ya ukombozi Barani Afrika tarehe 18 Februari, 2024. Ikumbukwe kuwa katika uzinduzi wa hifadhi ya Burigi...
  6. Pfizer

    Mwalimu Julius Nyerere Readership School: Leadership Training Calendar - 2024

    Mwalimu Julius Nyerere Readership School: Leadership Training Calendar - 2024
  7. Nyankurungu2020

    Tujihoji: Kwa nini hayati Julius Nyerere alitaka taifa letu liwe na Viongozi kama hayati Mkapa na hayati Magufuli na Sio Lowassa au Jakaya?

    Ukweli ni kuwa Nyerere alikuwa na maono, aliweza kujua nani kiongozi ambaye atatumikia wanyonge kwa manufaa ya taifa. Na nani atakuwa mpigaji. Wapigaji wanajulikana. Mfano Jakaya alipokuwa madarakani ilikuwa ni skendo za upigaji tu. kagoda, Richmond, Escrow na sasa Dp world ya Dubai. Hayati...
  8. DR Mambo Jambo

    Julius Nyerere: Katika Uchaguzi wa mwaka 1995, Kamati Kuu ya NEC-CCM ilikata jina la Lowassa kwa hoja

    Maneno hayo aliyasema Hayati baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alipoulizwa kwanini Kamati kuu wamekata jina la Lowasa licha ya kuwepo kwa Ushawishi mkubwa na kupendeka sana kwenye Chama hicho na Hasa kuwa na ushawishi mwingi kwa wananchi.. Kama tutakumbuka mwaka huo huo...
  9. Mpigania uhuru wa pili

    Julius Nyerere alikuwa mtu sahihi kupewa nchi kwa mazingira ya kipindi kile

    Uandishi sio mzuri mjitahidi Kabla ya Julius Nyerere hajawa kiongozi wa TANU na hali ya siasa za Tanzania zilikua kama ifuatayo;- Changamoto kubwa ya TAA na baadae TANU ilikuwa ni power struggle kila mtu alikua anataka awe kiongozi na hakuna mtu aliyeweza kuunganisha wanachama ambao walikua...
  10. Analogia Malenga

    Nani ameweka hizi bei elekezi za taxi pale Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere?

    Mbali na uwepo wa taxi mtandao kama Uber, bolt nk, bado Watanzania tuko nyuma ya muda. Karne ya 21. bado tunakomaa na namna ya zamani ya kufanya biashara. Sisemi kwamba watu wafanye taxi kizamani, kwa kuwa kuna maeneo madereva wa taxi mtandao hawataki kwenda. Hata hivyo, walioweka bei hizi...
  11. Mohamed Said

    Kipindi Maalum Leo Mchana Saa 8: Julius Nyerere Alivyochaguliwa Kuwa President wa TAA 1953

    KIPINDI MAALUM LEO MCHANA SAA NANE TBC1: JULIUS NYERERE ALIVYOCHAGULIWA KUWA PRESIDENT WA TAA 1953 Katika historia ambayo haifahamiki kabisa ni vipi Julius Nyerere alichaguliwa kuwa President wa TAA mwaka wa 1953 nafasi aliyogombea na Abdulwahid Sykes katika Ukumbi wa Arnautoglo...
  12. Mohamed Said

    Bibi Titi Mohamed Katika Kitabu Cha Jim Bailey "The History of Julius Nyerere"

    BIBI TITI MOHAMED KATIKA KITABU CHA JIM BAILEY "THE HISTORY OF JULIUS NYERERE" Nilimfahamu Jim Bailey kupitia kwa Ally Sykes alikuwa na mswada wa kitabu cha picha: "Tanzania: "The Story of Julius Nyerere," na alikuwa anatafuta mhariri wa kitabu hicho. Ally Sykes akanikutanisha na Jim Bailey na...
  13. maroon7

    Maafisa uhamiaji wa Julius Nyerere Airport hawana professionalism

    Aisee leo nimetoka zangu ng'ambo tukafika kwenye Passport check nimekaa kwenye foleni ya Tanzania Citizens kama dak 20 jamaa wa uhamiaji alikua anamhudumia mdada alokua mbele yangu halafu hamalizi. Kumbe muda wote jamaa linang'ang'aniza dem alipe namba linamchelewesha makusudi. Mwishowe yule...
  14. Mohamed Said

    Picha Adimu ya Julius Nyerere, Salim Ahmed Salim na Ali Hassan Mwinyi 1980s

    Picha hiyo hapo chini kaniletea ndugu yangu na kaniandikia maneno haya: "Picha adimu hiyo nimekutunuku, iandikie habari." Kulia ni Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dr. Salim Ahmed Salim na Rais Ali Hassan Mwinyi. Nyuma ya Dr. Salim Ahmed Salim ni Dr. Salmin "Komando" Amour...
  15. Mohamed Said

    Historia ya Jumbe Mwinjuma Digosi, Sheikh Suleiman Takadir na Julius Nyerere 1954

    HISTORIA YA JUMBE MWINJUMA DIGOSI, SHEIKH SULEIMAN TAKADIR NA JULIUS NYERERE 1954 Inawezekana Jumbe Mwinjuma Digosi alikuwa umri huu wa sasa alionao mwanae Zakaria huyu Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kariakoo. Naukumbuka uchaguzi wa Zakaria Digosi Jangwani kwani Kariakoo iliwaka moto kwa ushindani...
  16. Mwl.RCT

    Mwalimu Julius Nyerere | Mgogoro Wa Kikabila Rwanda, For Crisis in the Great Lakes 1996

    Mwalimu Julius Nyerere | Akizungumza mjini New York, katika mkutano wa meza duara ulioandaliwa na Taasisi ya Amani ya Kimataifa, Nyerere alisema kuwa Warundi wa kabila la Rwanda, wanaoitwa ‘Banyamulenge’, ni watu wanaostahili haki zao za binadamu na za kiraia kama raia wa Zaire. Aliongeza kuwa...
  17. Mohamed Said

    Historia ya Maulid Hassan na Julius Nyerere Namtumbo 1955

    HISTORIA IMEMSAHAU MZALENDO HUYU MAULID HASSAN Imeandikwa na Kizito Mpangala Anapatikana Wilaya ya Namtumbo, Mkoa wa Ruvuma. Ni kamanda mwenye umri wa miaka 90 sasa. Maulid Hassan ni anayestahili kutunzwa vema. Maulid Hassan anatajwa kuwa alimficha Mwalimu Julius Nyerere kwa muda wa saa...
  18. peno hasegawa

    Bwala la kufua umeme la Mwl. Nyerere, limeanza kutoa nyufa

    Tanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi. Hii picha inajielezea. ==== Pia soma: TANESCO...
  19. Thailand

    Ubinafsi wa wazanzibar ulitokea wapi baada ya muungano wa Tanzania?

    Kwa mujibu wa hotuba ya mh. Pius Msekwa katibu wa bunge kipindi cha kusaini hati ya muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar amedai kwamba baada tu ya muungano huo rais wa Zanzibar Mzee Karume alijihudhuru cheo chake cha urais na kuwa Makamo wa rais wa Kwanza wa JMT chini ya rais Mwl. JK...
  20. Mwl.RCT

    SoC03 Julius Nyerere: “Maandishi ni chombo cha kueneza elimu na kuleta mabadiliko”

    JULIUS NYERERE: “MAANDISHI NI CHOMBO CHA KUENEZA ELIMU NA KULETA MABADILIKO” Imeandikwa na: MwlRCT Utangulizi Maandishi ni chombo muhimu sana katika kueneza elimu na kuleta mabadiliko katika jamii. Kupitia maandishi, watu wanaweza kushiriki maarifa na ujuzi wao na wengine, na hivyo kuchangia...
Back
Top Bottom