julius nyerere

  1. Mohamed Said

    Historia ya Mshume Kiyate na Julius Nyerere

    MSHUME KIYATE ALIKUWA NA UHUSIANO GANI NA JULIUS NYERERE? Wadau wa historia ya uhuru wa Tanganyika wanataka kufahamu Mzee Mshume alikuwa na uhusiano gani na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kiasi cha Nyerere kuagiza wapi Mzee Mshume akazikwe?
  2. Mohamed Said

    Nyumba aliyoishi Baba wa Taifa baada ya kuacha kazi ya Ualimu 1955

    ALIPOISHI BABA WA TAIFA BAADA YA KUACHA KAZI YA UALIMU 1955 Hapo ilipo nyumba hii ilikuwapo nyumba ya kawaida ingawa kwa wakati ule nyumba hiyo ilikuwa nyumba ya kuvutia pia. Nyumba hiyo ilikuwa na duka la mwenye nyumba hiyo na barazani palikuwa na barza maarufu ya wazee wa mjini maarufu...
  3. Erythrocyte

    Freeman Mbowe ndiye mpigania haki maarufu zaidi barani Afrika kwa sasa

    Gwiji la siasa za Mageuzi Nchini Tanzania Freeman Mbowe, ama Mtemi Isike, Laingwanan au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar, sasa anatajwa kama ndiye mpigania haki, demokrasia na uhuru anayeheshimika zaidi barani Africa, wachunguzi wa siasa za dunia wanamuweka Mbowe juu...
  4. Mohamed Said

    Tanzania, the story of Julius Nyerere

    TANZANIA THE STORY OF JULIUS NYERERE From the pages of Drum Picha ya kushoto ni mswada alionipa Jim Bailey mmiliki wa jarida la Drum kuhariri na kutafuta mchapaji yaani "publisher. " Tulifanikiwa na kitabu kikachapwa na ndiyo hiyo picha ya pili. Ni katika kazi hii ndipo nilipopata picha...
  5. Mohamed Said

    Wazee wana usemi "chini kunakwenda watu"

    WAZEE WANA USEMI "CHINI KUNAKWENDA WATU" Picha hizo mbili hapo chini hazihitaji maelezo mengi ni picha za Abdul Sykes na Julius Nyerere na wake zao. Picha ya Abdul Sykes imepigwa Government House katika Garden Party ya Gavana Edward Twining na mkewe Mrs. Twining miaka ya 1950 wakati akiwa...
  6. Uchumi wa Mifugo

    Bwawa la umeme la Julius Nyerere liwe kichocheo cha matumizi ya nishati ya umeme katika kupikia

    Mradi wa bwawa la kufua umeme wa maji la Julius Nyerere ulioko katika mto Rufiji unategemewa kukamilika juni 2022.Bwawa hilo linatarajiwa kuzalisha megawati 2115 ambazo zikichanganywa na megawati zilizopo zitaifanya Tanzania kuwa na umeme mwingi utakaotosheleza mahitaji ya ndani na ziada kuuzwa...
  7. Geza Ulole

    Opinion: Passing of Dr Kenneth Kaunda and end of Mulungushi Club of leaders

    Zambia’s former president and founding father Kenneth Kaunda. PHOTO | AFP Summary I first met Dr Kenneth Kaunda in Westminster Hall in London, a year or so after he had lost elections to Fredrick Chiluba. In a meeting chaired by Zainab Baddawi (then of Channel 4), he came across to most of us as...
  8. Maramla

    How Tanzania Remembers Dr. Kenneth Kaunda

    Tanzania President Her Excellency Samia Suluhu Hassan has on behalf of government sent condolences to the People of Zambia for the death of their Father of the Nation Dr. Kenneth Kaunda who passed away yesterday June 17, 2021 in Lusaka. In her condolences President Samia has said Africa has...
  9. Mohamed Said

    Nyumbani kwa Clement Mohamed mtamila ndipo ulipotoka uamuzi wa julius nyerere kuacha kazi ya ualimu

    HAPA NDIPO ILIPOJADILIWA BARUA YA JULIUS NYERERE KUCHAGUA SIASA AU UALIMU Hapo liliposimama jengo hilo ndipo ilipokuwa nyumba ya Clement Mohamed Mtamila katika miaka ya 1950 harakati za TANU kudai uhuru zilipopamba moto. Huu ni Mtaa wa Kipata (sasa Mtaa wa Kleist Sykes) na unaokatiza ni Mtaa...
  10. mr mkiki

    Prof. Issa Shivji: Nilihudhuria birthday ya Mwalimu, sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha

    "Nilihudhuria 70th (1992) birthday ya Mwalimu. Sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha. Alipokuwa anaondoka, mama mmoja kampa portrait yake aliyechora mama huyo mwenyewe. Akamambia msaidizi wake apokee. Zawadi ya Benz kwa Mzee wetu ikanishtua kidogo." -- Issa...
  11. Kiraka Kikuu

    Observation: Nyerere, Mkapa na Magufuli (RIP) wana mfanano wa ajabu

    Nime observe striking similarities baina ya Marais walio tangulia mbele za haki kwa Tanzania: 1. Wote ni Marais walio toka upande mmoja wa muungano, Tanzania Bara. 2. Wote walikua wasomi zaidi Kuliko walio baki. 3. Wote walikua dini moja, wakristo. 4.Wawili Kati yao walirekebisha uchumi kwa...
  12. britanicca

    Simon Rwamugila(Omutwale): Nyerere alipewa u-Head Prefect akatuchanganya akili Tabora Boys

    Kama kawaida yangu huwa nataka kujua yaliyoendelea Miaka ya Nyuma hasa kutoka kwa watu waliopigania nchi hii na kudai uhuru Simon Rwamugila Kwa koo za Kihaya ana jina la Omutware yaan mtu au mshauri wa karibu wa Mukama(King) Ukifika bukoba mjini unaelekea kiziba kwa kutumia njia ya Uganda...
  13. YEHODAYA

    Historia ya Mwl. Julius Nyerere kwa undani

    I first met Julius Kambarage Nyerere in 1955. At this time I was assigned by Msgr. Gerard Grondin, Prefect Apostolic of the Prefecture of Musoma, Tanzania (formerly called Tanganyika) to open a new mission among the Zanaki Ethnic Group (formerly called tribe). When I first arrived in Tanzania...
  14. barafu

    Ni kwa namna gani Julius Nyerere aliwazidi "Ujanja" wazee wa Kariakoo waliompokea kwenye siasa za Dar es Salaam?

    Ni wapi Julius Nyerere aliwazidi "ujanja" wazee wa mjini,born town na Watoto wa K'koo? Wazee wake na gwiji wetu wa historia Mohamed Said Ukifuatilia historia na harakati za Uhuru,unaona kuwa huyu kijana wa Kizanaki,mtoto wa Chief na "mvaa kaptula" alikuja baadae sana Dsm wakati wenzake wakiwa...
  15. Sophist

    Ludovick Mwijage: The Dark Side of Nyerere's Legacy

    It is not a fiction we are used to like those authored by African writers; Ngugi wa Thiongo, Chinua Achebe, Ole Soyinka and other you know.. not, it is real life experience; Kitabu cha The Dark Side of Nyerere, ni simulizi ya kweli ya masaibu aliyoata Ludovick Mwijage kwenye utawala wa Nyerere...
Back
Top Bottom