juma

  1. C

    Juma Ayo: kanjanja anayejiita mchambuzi pale Times FM

    Yaani kama vile jamii ya Tz kwa sasa ilivyokumbwa na wimbi la kutisha la machawa pro max basi kuna hawa viumbe wanaojiita wachambuzi , kwa kweli ile sheria ya degree ianze tu hiyo December labda itapunguza vilaza waliojazana huko wakijipa majina ya soccer pundits Simba ilipopigwa hamsa hamsa...
  2. Sheikh Husein Juma, vice president wa United Tanganyika Party (UTP)

    SHEIKH HUSSEIN JUMA VICE PRESIDENT WA UNITED TANGANYIKA PARTY (UTP) Wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika mtu kuitwa kuwa ni UTP ni sawa la leo kuitwa gaidi. Picha hiyo hapo chini ya kwanza inamuonyesha Mzungu Brian Willis aliyeletwa Tanganyika na Conservative Party. Hapa anasimamia...
  3. Ngwair ft Juma Nature - Mtoto wa Jakaya(lyrics)

    Hahahaha ah vijana sasa hivi naona wanajitahidi Ari Mpya Kasi Mpya Nguvu Mpya Ehee hata mimi nimeliona hilo toka longi taim Au siyo Babu Ayubu Hilo liko wazi Jamani vijana wapewe nafasi Si ndio sisi-M Si ndio sisi-M Si ndio sisi-M Ah pisha njia Tunaingia Wote pisha njia Nasema tena kwamba si...
  4. L

    Dr. Mwigulu kushukuru na kupongezwa Jimboni kwake Iramba juma lijalo

    Mamba aliyepo kwenye kina kirefu kuanzia Jumamosi ijayo atakuwa Jimboni Iramba akitembelea kata na tarafa zake kwa ajili ya kupongezwa na wanaCCM kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Fedha na pia kuwashukuru wapiga kura wake wa Chamani kwa kumwezesha kuingia bungeni na hatimaye kuteuliwa katika nafasi...
  5. E

    Midfield myestro Juma Matokeyo(Matokeo)

    Akitokea Tumbaku ya Mororgoro na kujiunga na Dar Young African miaka ya 1974 na kuendelea mchezaji huyu nguli Juma Matokeyo semeni mtamlinganisha na mchezaji gani wa sasa duniani watu ambao mlimuona? Leogigar Tenga sema utamfananisha na nani anaecheza sasa hivi hapa nchini na mchezaji huyu Juma...
  6. Funga Juma: Masufuria ya Nyama: Siyo Wote Walioondoka Misri Walitoka Misri...

    Na. M. M. Mwanakijiji Mojawapo ya masimulizi ya kiimani ambayo yalinivutia sana tangu zamani ni safari ya wana wa Israeli kutoka Misri kwenda nchi ya ahadi wakiongozwa na Nabii Musa. Simulizi hili nimelisoma mara nyingi na kila ninapolisoma Napata mafunzo mapya. Hata hivyo mojawapo ya mafunzo...
  7. Juma Nature X Chegge

    Hii imekaa vyema!
  8. Waziri wa Maji Juma Aweso nini sababu hasa?

    Jana nilikwenda ofisi ya MORUWASA - Morogoro kufuatilia maombi yangu ya kuunganishiwa maji nyumbani kwangu, niliandikiwa invoice kuwa natakiwa kulipa zaidi ya Tsh 300,000 kwa umbali usiozidi mita 8 toka lilipo bomba (wao wanaita tawi) la mamlaka hiyo ambapo wengi wamechukulia hapo. Nikawauliza...
  9. D

    Adam Juma kwenye ubora wake;For you-Mario

    Nimetizama hii video ya Mario iliyofanywa na Adam Juma,jamaa kazi anaijua yaani pamoja na kupumzika bado anawapiga gap kubwa hawa vijana wa siku hizi.
  10. Hili ni juma zima la vitabu duniani

    HILI NI JUMA ZIMA LA VITABU DUNIANI 5 ''Rajabu Ibrahim Kirama Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam'' Mwandishi: Mohamed Said Mchapaji: Readit Books Ltd Dar-es-Salaam Ukoo wa Rajabu Ibrahim Kirama wa Machame Nkuu umehifadhi kwanza kichwani historia ya wazee wao kwa simulizi kutoka kizazi...
  11. JUMA LA VITABU ULIMWENGUNI

    LEO SIKU YA VITABU DUNIANI 1 "The School Trip to Zanzibar" Mwandishi Mohamed Said Mchapaji: Africa Proper Education Network, Dar es Salaam Hiki kitabu kimechapwa mwaka jana 2020 na kinawafaa sana watoto wa shule za msingi kwa kujifunza Kiingereza na historia ya Zanzibar. Kupitia kitabu hiki...
  12. Kimbunga kizito kinakuja kutandika Dar es Salaam Jumatatu ijayo. Mjitahadhari

    Majirani mjitahadhari dhidi ya Kimbunga Kikali kinachokuja kubamiza Dar juma tatu ijayo. Kimbunga kitakuwa na upepo unaovuma at 100 kph Rare tropical cyclone is approaching one of Africa's most populated cities By Pedram Javaheri, CNN Meteorologist Updated 7:51 PM EDT, Thu April 22, 2021...
  13. M

    Kocha Juma Mwambusi umeonyesha 'Upuuzi' Usiovumilika na uliovuka Kiwango kumbe ndiyo maana Yanga SC wanakudharau mno

    Kaimu Kocha wa Yanga Juma Mwambusi amesema kitendo alichofanya mchezaji wake Saido Ntibazonkiza kwenye mchezo dhidi ya Gwambina FC ni kutokana na furaha ya kufunga goli kwa sababu hakufunga katika mechi mbili zilizopita. “Ntibazonkiza alikuwa anafurahia kupata goli kwa sababu mechi mbili...
  14. Mnikulu ni cheo gani na anashughulika na nini Ikulu?

    Poleni na majukumu ya kutwa mzima. Nilikuwa naomba maana ya mnikulu mkuu na huyo mnikulu pale Magogoni ana kazi gani?
  15. R

    Je, Rais Magufuli amevunja Katiba kwa kumteua Jaji Zepherine Nyalugenda Galeba kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa?

    The other Justices of Appeal shall be appointed by the President after consultation with the Chief Justice, from amongst persons who qualify to be appointed Judges of the High Court of the United Republic as provided for in Article 109 of this Constitution, or from amongst persons who qualify to...
  16. Juma Mwambusi ateuliwa kuwa kocha mpya wa muda wa Yanga

    Hii ni baada ya benchi lote la ufundi kutimuliwa. Ikumbukwe kwamba Mwambusi aliondoka kwenye benchi la ufundi la Yanga kwa sababu zilizotajwa kuwa za kiafya, lakini sasa amerejeshwa kama kocha wa muda.
  17. Siku gani katika juma watu huamini ni siku yenye mikosi au nuksi?

    Hapo vipi! Nimeshakutana na watu wenye kuamini baadhi ya siku kwenye juma zina mikosi, hivyo hufunga hata kazi zao. Je, hizi siku zipo na je kuna ukweli?
  18. N

    Karibu Juma Nkamia Simba upige spana makanjanja,this is too much

    Sina mengi ya kusema lakini enough is enough Tutu vengere a.k.a Rage aliweza enzi hizo kuna kanjanja moja tu lililokuwa linaivuruga simba na habari z auongo likiwa redio one kwa sasa limeajiriwa kwingine na linaendeleza libeneke lake kama kawaida,Radio one walipigwa stop kusema na kutangaz a...
  19. Kampeni: Napinga Juma Nkamia kuwa Mwenyekiti wa Simba, hana uwezo

    Taarifa inaonyesha kwamba Kamati ya Uchaguzi ya Klabu ya Simba imepitisha majina mawili ya kuwania Uenyekiti wa Simba , huku wagombea wengine wakienguliwa (sifahamu vigezo vilivyotumika ) , waliopitishwa ni Mangungu na Juma Nkamia , maana yake ni kwamba kati ya wawili hawa mmojawapo atakuwa...
  20. Juma Jux anahitaji support yetu leo than ever

    Baada ya Rotimi kuchafua hali ya hewa huko Insta hatimaye dua za Jux zimekua dua za Kuku, kiukweli wengi hawakutaraji na hata Jux mwenyewe alijua dada yetu anafanyiwa window shopping tu nakuachwa kimasihara ... hatimae limepumzishwa jiwe la magram yakutosha kwenye kidole cha dada yetu , na hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…