jwtz

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni jeshi la ulinzi wa wananchi nchini Tanzania linalolinda na kutetea maslahi ya Taifa la Tanzania.
  1. BARD AI

    JWTZ: Jeshi letu ni kati ya Majeshi 6 Bora duniani

  2. GENTAMYCINE

    Nawakumbusha tu zimebaki Siku 4 tu ili JWTZ waanze Msako wa Nguo zinazofanana na Sare zao Majumbani na Mitaani

    Msije tu kusema kuwa Mzalendo Halisi GENTAMYCINE sikuwakumbusheni juu ya hili na Taarifa hii pia. Na wamesema Siku zao Saba za Huruma na Kuzisalimisha Kwao zikiisha tu Wakikumata nazo kwa Watakachokufanya unaweza hata ukashindwa kutoa Haja Kubwa ( Kuukweka ) kwa miaka mitano na utajua Mwenyewe...
  3. JanguKamaJangu

    JWTZ: Baada ya siku 7 atakayepatikana amevaa, anatumia au anauza mavazi ya Jeshi atapatiwa adhabu kali

    https://www.youtube.com/watch?v=Z3MzD0q8MMA Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limebainisha hatua hiyo inatokana na ongezeko la raia wanaotumia mavazo hayo wakikinzana na Sheria ya Ulinzi wa Taifa, Sheria ya Taifa na Sheria ya Kanuni ya Adhabu zinazokataza raia kuvaa au kutumia...
  4. Greatest Of All Time

    JWTZ: Tunamsaka aliyesema tumeongezewa Mshahara

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema taarifa iliyosambazwa na mtandao wa kijamii wa Tanzania Abroad TV (TAT) kwamba Wanajeshi wa ngazi za juu wa JWTZ wameongezewa mshahara ni taarifa ya uzushi na upotoshaji na tunamtafuta. Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano Makao Makuu...
  5. Kigoma Region Tanzania

    Ni rasmi sasa kwa watu wa mkoa wa Kigoma ni rukra kuvaa chapa (logo) ya JWTZ

    Ni marufuku kuvaa nguo ya jeshi kama wewe sio mwanajeshi, lakini kwa heshima yako wewe mwana Kigoma, kwa heshima ya mashabiki wa Mashujaa Football Club, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Jacob John Mkunda kakupa uhuru sasa utavaa Logo ya JWTZ kifuani kwako. Hii ni heshima kubwa...
  6. benzemah

    Panya wa SUA Wapata Majukumu Bandarini

    Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), imesema miongoni mwa njia wanazozitumia kudhibiti ujangili na utoroshwaji wa bidhaa zinazotokana na wanyamapori ni kukagua mizigo bandarini kwa kutumia panya wenye mafunzo maalumu kutoka Chuo cha Kilimo Sokoine (SUA). Kauli hiyo imetolewa na...
  7. Li ngunda ngali

    Hawa wamba ni kikosi cha nini pale JWTZ?

    Kuuliza siyo ujinga hao wamba ni kikosi kinachohusika na nini pale TPDF? Hatari!
  8. Restless Hustler

    Majeshi yetu yana Maoni gani kwenye Sakata la Bandari?

    Tupo katika kipindi ambacho ugaidi unakua na kusambaa na kushika taswira ya janga la kidunia. Ni dhahiri kuwa ubinafsishwaji wa bandari unaweza kuwa na athari za Kiulinzi na za kiusalama kwa nchi yetu kwani itapunguza mamlaka za bandari hivyo hata uwezo wa ukaguzi wa shehena huwenda utapunguwa...
  9. 4

    Napendekeza eneo la Tanganyika walilopewa Zanzimbar wapewe sasa JWTZ

    Sina maneno mengi wakuu , Nawasalimu katika yeye atupae pumzi ya kila siku, na naenda kwenye mada Ndugu zangu ,kwa mjibu wa clip inayozunguka mitandaon toka Ikulu ya Zanzibar ni kwamba watanganyika tumepigwa na kitu kizito sana, na kwa kua inasemekana hii ardhi walipewa, lakini sasa wamejisahau...
  10. BARD AI

    Dereva wa Basi la Saratoga apigwa na Askari wa JWTZ

    Dereva wa basi la Saratoga linalofanya safari kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma, Yasini Shabani (45), ameshambuliwa kwa kupigwa maeneo mbalimbali ya mwilini na Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), anayejulikana kwa jina la Emmanuel Peleka baada ya basi hilo kulipita gari la JWTZ katika...
  11. USSR

    JWTZ kutumwa tena DRC, Rais wa DRC asema kikosi cha Afrika mashariki kinashirikiana na M23 kuimaliza DRC

    Rais wa congo yuko mjini Gaborone kwa ziara ya kikazi na leo amesema kikosi cha Afrika mashariki kilichopelekwa nchini mwake hakijafanya lolote la maana na kimeanza kushirikiana na waasi wa M23 na ameziomba nchi za SADC zisaidie. Mh Rais Samia Suluhu Hassan yupo mjini Windhoek na ameombwa...
  12. chuchu2020

    Miradi ya kimkakati ya nishati kuimarishiwa ulinzi

    MIRADI YA KIMKAKATI YA NISHATI KUIMARISHIWA ULINZI Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa wamekutana kwa ajili ya kupanga mikakati ya kuimarisha ulinzi kwenye miradi ya kimkakati inayosimamiwa na Wizara ya Nishati. Kikao...
  13. M

    Naomba msaada wa jinsi ya kutuma maombi JWTZ kwa njia ya barua pepe (email)

    Habari wakuu, Nilikua naomba msaada wa jinsi ya kutuma maombi JWTZ kwa njia ya Email. Naomba mnielekeze jinsi ya kutuma unavyo upload barua na viambata vyote. Asanteni.
  14. Central Zone

    JWTZ na Serikali waache kudanganya/Kuhadaa Vijana

    Hili swala la la nafasi za kujiunga na Jeshi la ulinzi la wananchi Tanzania ni kuwadanganya na kuwahadaa watoto wa maskini Rais na watu wako chini ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga taifa Bashungwa mngeachana nalo tu hili swala, Kwa jinsi mnavyotaka kujisafisha na kujikosha kwa...
  15. GENTAMYCINE

    Ni kwanini Watu Wengine katika Jamii ni wa Kawaida tu, ila huhisiwa kuwa ni kutoka TISS au JWTZ?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu mkiwa ni Wataalam, Wabobezi na Mangwena. Asanteni.
  16. GENTAMYCINE

    CDF General Mkunda naomba Interview ya Mazoezi yafuatayo itumike kwa Vijana watakaoomba Ajira zenu Mpya JWTZ

    Na nakuomba CDF Jenerali Mkunda kama Waombaji Ajira Wote katika Tangazo lenu wakiyashindwa haya Mazoezi yafuatayo muachane nao na mbaki na wale tu Watakaoweza ( walio Fiti ) kabisa 1. Wakimbie kwa Kuuzunguka Uwanja wa Mkapa mara 75 kwa Spidi kama za Winga teleza wa Yanga SC Tuisila Kisinda. 2...
  17. NALIA NGWENA

    JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza nafasi za kujiunga na Jeshi kwa Vijana ambao wametumikia au wamefanya mafunzo ya kujitolea katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa miaka miwili kisha wakarejeshwa majumbani. Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano, Luteni Kanali...
  18. ChoiceVariable

    Askari wa JWTZ kizimbani kwa kukaidi amri halali ya askari wa Usalama Barabarani

    Habari zenu ndugu, Kutoka Dar, askari wa JWTZ apandishwa Kizimbani Kwa Kukaidi Amri Halali ya Askari Trafiki wakati akitekeleza Wajibu wake. Hii safi sana, lazima ieleweke kwamba utii wa Sheria bila shurti ni Kwa Kila raia bila kujali hadhi wala vyeo. Askari Jeshi hasa JKT mara nyingi Huwa...
  19. Suley2019

    Muliro: Msiogope kuomba lifti kwenye Difenda

    "Kuna mtu alishawahi kuomba lift kwenye Difenda hakupewa? Kwanini wanapanda watuhumiwa tu? Kwa mfano Difenda linakwenda Bunju, Tegeta, Kunduchu, Kitunda au Mwanagati, Kivule analiona kabisa limeandikwa Polisi na wewe unakwenda maeneo hayo kwanini usilisimamishe ukaomba lift?
Back
Top Bottom