jwtz

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni jeshi la ulinzi wa wananchi nchini Tanzania linalolinda na kutetea maslahi ya Taifa la Tanzania.
  1. GENTAMYCINE

    Hongereni sana Kitengo cha CMI JWTZ na wale TISS mliokuwa 'penetrated' JWTZ kwa Kazi nzuri ya CDF mpya Jenerali Mkunda

    Kitengo alichotoka akiwa Meja Jenerali halina ubishi kuwa anafaa na anastahili kuwa Mkuu mpya wa Majeshi nchini Tanzania. Na hata Kimuonekano tu anaonekana ni Mtu wa Kazi Kweli na nasikia ( naendelea Kuthibitisha bado ) kuwa anatoka katika Kikosi Maalum 'Wazee wa Sanga Sanga ' hali iliyonifanya...
  2. Mwamuzi wa Tanzania

    Nakumbuka ile siku askari wa JWTZ alipokula kichapo cha fedheha kutoka kwa aAkari wa Magereza

    Hello! Ilikuwa miaka ya 1997-1999, kumbukumbu zangu zinaniambia hivyo. Kulikuwa na gulio la mazao (korosho) katika viwanja vya magereza Liwale-Lindi. Sasa huyo jamaa wa JWTZ alikuja likizo kuwasalimia wazazi na ndugu. Naye akaenda gulioni kusaidia wazazi kupima korosho. Yule mjeda alitumia...
  3. GENTAMYCINE

    Ikitokea Askari MP wa JWTZ na wa Magereza 'wamekubananisha' katika '18' zao utachagua nani ndiyo wakupe Adhabu?

    Nijibuni haraka kwani kuna safari ( chocho ) ninataka kupita na najua nitakamatwa na Mmoja wao je, nani anisulubishe?
  4. Replica

    Fumanizi: Mwanajeshi JWTZ anyofolewa pua kwa kutembea na mke wa askari mwenzie

    Mwanajeshi wa JWTZ kutoka shule ya Uongozi TMA Monduli, Muhidin Kimaro amenyofolewa pua baada ya kufumaniwa na mke wa askari mwenzake nyumbani kwake ambapo anaishi na wanawe watatu baada ya kutengana na mke wake kwa muda, Neema Kimaro. Kimaro anadaiwa kuwa na tabia kujihusisha na uhusiano na...
  5. ESCORT 1

    Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

    Kufatia habari ya jana ya kustaafu kwa General Mabeyo ndani ya JWTZ, basi kama kawaida yetu sio mbaya tukafanya bashiri ya nani anaweza akawa CDF mpya. Kwakuwa JF ni uwanja mpana, ina wadau wengi na wengine ni wa huko huko jikoni, sio mbaya tukapendekeza jina la CDF mpya kwa kuzingatia uweledi...
  6. Mchochezi

    Naomba kujua wanajeshi wanawake wenye vyeo vya juu JWTZ

    Uzi huu ni mahususi wa kuwataja na kuwatambua akina mama zetu wenye vyeo vya juu jeshini, ambao wanaanzia vyeo vya Brigedia Jenerali na Meja Jenerali. Kuna hesabu nazifanya hapa. Mwisho wa mwezi huu kuna jambo letu.
  7. Pearce

    Ni muda Sasa umefika kwa JWTZ kuachanana ununuzi wa silaha kutoka Urusi

    Miaka 20 nyuma ni siraha ambazo zilitupa sifa na ubora katika mapambano kwa Teknolojia ilivyokuwa. Kwa siraha hizo pia katika diplomasia na ujasiri na udhabiti pamoja na uzalendo Tanzania ilikua tishio na iliogopwa na kuheshimiwa na maadui zake wakati huo. Hata Ghaddafi alipojaribu kuingia...
  8. Kichuguu

    Silaha za Masafa Marefu Zinazomilikiwa na JWTZ

    Nin wasiwasi sana na silaha za masafa marefu tulizo nazo ndani ya majeshi yetu ya ulinzi. Miaka ya 2000 kuna zile zilizokuwa zinalipuka zenyewe kule Mbagala. Na ninavyokumbuka Tanzania tuliwahi kununua vifaru vingi na Gun Howitzers nyingi sana wakati wa utawala wa Nyerere kutokea Urusi. Silaha...
  9. BigTall

    Waziri wa Ulinzi, Dkt. Stergomena akutana na wanajeshi wastaafu wa JWTZ

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amekutana na kuzungumza na Wanajeshi wastaafu kutoka Jimbo la Uchaguzi la Kawe Jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kusikiliza changamoto zinazowakabili na kuangalia namna ya kuzitatua. Mkutano huo uliratibiwa na Mbunge...
  10. BigTall

    JWTZ: Waziri wa Ulinzi, Dkt Stergomena kwa mara ya kwanza atembelea Shirika la Mzinga

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amefanya ziara ya kutembelea Shirika la Mzinga kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na Shirika. Akiwa katika ziara yake katika Shirika hilo alipata fursa ya kutembelea maeneo mbalimbali na...
  11. JanguKamaJangu

    Video: Vijana wa JKT waanza mafunzo JWTZ, wengine watoroka

    Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ limetekeleza ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu ambapo vijana wa JKT wameanza Kozi ya kuruti kundi la 41/22 yenye zaidi ya kuruta 2000 jijini Arusha. Akizungumza katika mafunzo hayo ya kikosi cha KJ 833 Oljoro Arusha, Canali...
  12. N

    Tangu nikiwa mdogo nimekuwa na ndoto za kuwa askari (mwanajeshi)

    Habari zenu wanaJF? Tangu nikiwa mdogo nimekuwa na ndoto za kuwa askari (mwanajeshi), lakini dunia ina mambo mengi, mpaka sasa nimeshindwa kutimiza ndoto hiyo. Nimeajiriwa lakini sina furaha, why? Kwasababu nafanya kitu ambacho hakipo moyoni mwangu. Kwasasa nina umri wa miaka 29, kwa umri...
  13. Mayunga234

    Walinzi wa SUMA JKT mmekuwa Kero sana au ni stress za kukatishwa ndoto za kuwa JWTZ

    Walinzi wamekuwa kero kwenye baadhi ya Maofisini, Wamekuwa sio wa kutumia busara kabisa. Wanaona watumie nguvu kwenye kila kitu hii kitu inakera unaenda kwenye ofisi unapita getin mlinzi anakuongelesha kwa lugha chafu na kutumia nguvu pasiohitajika nguvu Walinzi wa SUMA JKT Stress zenu za...
  14. M

    JWTZ ifanye uchunguzi dhidi ya tabia na mwenendo wa askari wake Denis Urio

    Hii kesi inayoendelea mahakamani imeufungua macho umma wa Watanzania juu ya tabia ya askari huyo. Aina ya Ushahidi ambao komando Urio ameutoa mahakamani umeacha maswali mengi sana ya umma juu ya tabia ya askari huyu lakini pia hata kuathiri taswira ya jeshi mbele ya umma. Kuna haya mambo...
  15. M

    Kwanini askari wa chini JWTZ awasiliane na DCI?

    Ni suala la kufikirisha kidogo, na kutokana na desturi za kijeshi, lazima mwanajeshi a report kwa Command yake. Kwanini Dennis Urio aliruka kutoka command ya Jeshi yenye Military Intelligence ambao wana mawasiliano mazuri na TISS na Polisi yeye akaenda moja kwa moja kwa DCI? Ni kwanini...
  16. Kamanda Asiyechoka

    Kufumbia tabia na kasumba ya askari wa JWTZ kupiga raia na kuwaletea madhara imesababisha mauaji dhidi ya raia kuongezeka

    Matukio mengi sana yanayofanywa na askari wa JWTZ wanaojichukulia sheria mkononi kwa kupiga raia na kuwasabibishai vifo na ulemavu kwa sababu za labda kuibiwa mali au kukosana na raia yanaporipotiwa polisi mara nyingi huwa hawachukuliwi sheria au hatua stahiki. Hii ni kwa sababu ya kulindwa na...
  17. D

    Naomba kufahamu ni namna gani naweza kujiunga na JWTZ baaada ya kumaliza kidato cha sita

    Mwaka huu namaliza kidato cha 6 na ningependa kujiunga na jwtz baada ya hapo na inakuaje Kama sitapangwa JKT.
  18. muafi

    JWTZ: Daima tutamlinda na kumtii Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu

  19. Poppy Hatonn

    Jwtz inapaswa kuingiza vifaru barabarani kushinikiza umoja

    Wanataka kuunda serikali katika hali ambayo hawana umoja, hali ambayo wanachukiana sana.
Back
Top Bottom