jwtz

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni jeshi la ulinzi wa wananchi nchini Tanzania linalolinda na kutetea maslahi ya Taifa la Tanzania.
  1. Upepo wa Pesa

    JWTZ badilikeni, dunia ya sasa hakuna vita ya kuvunja matofali kwa kichwa!

    Nimekua nikifuatilia vita ya Israel na Hamas huko ukanda wa gaza. Ninachoshangaa hamna ngumi wala kareti ni makombora yanavurumushwa angani kama mvua! Hiyo ni moja, mbili.. Nimevutiwa jinsi Israel inavyotumia "engineering na science" kulinda nchi yake... kombora zinarushwa kutoka gaza ila...
  2. sky soldier

    Kwa udogo wa eneo la Israel na Palestina kwanini tusiwapeleke JWTZ kutuliza ghasia?

    Israel na Palestina kwa sasa wapo vitani ila ni watu wachache sana kwenye eneo dogo sana, eneo lao linaingia mara 40 kwa Tanzania, eneo lao hata kwenye ramani ya dunia kama una matatizo ya macho inabidi uvae miwani. Nmefikiria nmeona hata vijana wetu walio fiti wa jeshi letu wakienda huko sio...
  3. Lyetu

    Msaada namna ya kufikisha malalamiko JWTZ

    Habari za usiku wapendwa katika bwana. Leo nimepatwa na ajali iliyosababishwa na dereva wa JW aliyekuwa akiendesha gari aina ya hiace ndogo ivi yenye namba 1834 maeneo ya Ofisi za jiji Mwanza. Nikiwa natokea maeneo ya maji haouse nikiendesha ki TVS changu, nilipofika yalipomataa pale maeneo ya...
  4. Cathelin

    Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

    Wakuu hope mko poa Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS) Karibu mtujuze mnaojua
  5. Idugunde

    Dodoma: Rais Samia awatunuku Kamisheni Maofisa wa JWTZ

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Atawatunukia Kamisheni Maafisa wanafunzi wa Jeshi la Wananchi Tanzania. Viwanja vya Ikulu Chamwino Dodoma. Matangazo yataanza saa nane kamili mchana leo tarehe 17 Aprili 2021. ==== Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu...
  6. Fundi Madirisha

    Pamoja na ukuta mrefu na JWTZ kulinda Mererani, nani bado wanaiba madini yetu?

    Nimemsikia jana Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akisema kua madini yanatoroshewa chini na wakikamatwa wanakimbilia kuonyesha jiwe kubwa la madini, najiuliza pamoja na security yote hii ni kina nani waliendelea kutuibia madini yetu? Maana yake ule ukuta hauna maana zaidi ya kupoteza fedha la...
  7. masopakyindi

    TANZIA Brigedier General Martin Mwankanye wa JWTZ afariki dunia

    Brigadier General(Rtd) Martin Mwankanye amefariki muda mfupi uliopita pale Lugalo General Military Hospital. Si watu wengi wanamfahamu marehemu, lakini wale tupo karibu na Jeshi tunajua kuwa alikuwa Specials ops na aliwahi kuwa Mwambata wa kijeshi kule Rwanda na hata Marekani. RIP Brig. Gen...
  8. E

    Msaada wa ushauri kuhusu jeshi

    Wakuu, Ninaomba ushauri kidogo. Nimemaliza chuo ka degree cha computer science nimekaa kitaa kidogo kwenye kuhangaika na mishe mzee mmoja wa family ana title heavy huko TPDF kisa nna age ndogo 22 na hio degree amesuka mambo niende JKT then afanye connection niingie TPDF. Family iko kooni...
  9. K

    Uchaguzi 2020 Ni wakati gani JWTZ inapaswa kuingia mtaani kushiriki shughuli za kisiasa na kutuliza ghasia?

    Zamani tulikua tunafundishwa majukumu ya ulinzi yalivyogawanyika. Kwa kumbukumbu zangu mgawanyo ulikuwa hivi: 1. Usalama walikua na jukumu la kukusanya kuchakata na kushare taarifa kwa jamii na vyombo vingine kuhusu viashiria mbalimbali vya uvunjifu wa amani au fursa ambazo Kama nchi tunapaswa...
  10. Superbug

    Hongera JWTZ kwa kumiliki Humvee

    Nalipongeza JWTZ kwa kumiliki gari madhubuti la kivita aina ya Humvee. Nilikuwa napitia wikpedia nikaona hiyo taarifa kwamba kwa East Africa ni Tanzania na Uganda kwa mbali. Humvee sio gari la kitoto ni gari la deraya matata sana na kwenye uwanja wa Vita ni super utility to have. Halipinduki...
  11. J

    RC Chalamila avunja mkataba wa Serikali na JWTZ wa ujenzi wa ofisi za halmashauri za Busokelo

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amevunja mkataba wa ujenzi wa jengo la halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya kati ya serikali na kampuni ya JWTZ Mzinga. Chalamila amesema ujenzi huo ulioanza mwaka 2018 umekuwa ukisuasua hivyo pamoja na kwamba wajenzi hao ni chombo cha dola hawezi...
  12. Superbug

    JWTZ, iombeni Serikali isitumie vyeo vyenu wala sare zenu kwa ustawi wa Taifa

    Naliomba jeshi letu JWTZ liiombe Serikali yetu isitumie sare zake kwa namna yoyote ile kwenye post za kiraia. Wala nafasi kubwa za kiraia za kuchaguliwa zisivae sare za jeshi letu kamwe. Sababu. Tunaànza kuona jeshi linatumika kisiasa kabisa wazi wazi Sasa wananchi wasije kutafsiri under...
  13. Y

    Nimepata a possible chance TBDF je niende?

    Habari, niko curious kwenda jeshi kuna entail nini naskia story kitaa pple scare the living hell out me. Kimazoezi siko vizuri my body iko on the plus side sikuwahi kuwaza kwenda jeshi lakini niko semester ya mwisho chuo nachukua bsc ya computer science. Im an ophan so inabidi ni mingle na...
  14. P

    Wale Tuliosoma Shule ya Sekondari Makongo JWTZ Tukutane hapa Tukumbushane Vibwanga vya pale shuleni

    Siku zinakimbia kwa kasi sana wakuu, leo nimeamka natoka kwangu ile kufungua geti nakutana na mwalimu wangu mjeda wa Makongo yeye ameshanisahau kabisa ananunua kiwanja kinachopakana na Mimi, baada ya kusalimiana na kubadilishana namba nimemuacha aendelee na ratiba zake. Nikaanza kukumbuka...
  15. K

    JWTZ yaombwa kuchukua hatua haraka baada ya Serikali mkoani Kilimanjaro kushidwa kurekebisha daraja mto Rau siku ya tatu leo

    Serikali mkoa wa Kilimanjaro,imeshindwa kurekebisha daraja lililosombwa na maji,na kuacha maelfu ya watu wakikosa huduma za msingi! Daraja hilo limesombwa na maji,baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha pia mafuriko kwa wakazi wa moshi! Wito: wananchi wanaloomba JWTZ LICHUKUE HATUA kwa...
  16. mdudu

    RC Tabora, ingilia kati kwa askari wa JWTZ kupiga raia ovyo

    Kufuatia kuuwawa kikatili kwa asikari wa JWTZ akiwa anatoka dolia ,kumeleta sintofahamu kwa wakazi wa mjini Tabora, Mimi nikiwa raia mwema,nimesikitishwa na vitendo vya asikari wa Jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania kuwatembezea kipigo raia bila huruma kila wanaekutana nae tena bila kumpa...
  17. J

    Rais Magufuli: Mpaka sasa Tanzania (Bara&Visiwani) hatuna mgonjwa wa Corona. Nawasihi watanzania kuchukua hadhari

    Rais Magufuli ameishukuru serikali ya Germany kwa msaada walioutoa kujenga karakana hiyo ya kisasa. Pia Rais Magufuli amempa balozi barua maalumu ya shukrani kwa counvillor Mikael wa Germany. Kadharika Rais Magufuli ametumia fursa hiyo kuwataka watanzania wajihadhari na ugonjwa huo hatari. Rais...
  18. Mzukulu

    Nalipenda sana Jeshi langu la JWTZ ila nilichokiona jana pale TPDF Golf Club getini kabisa hakikuwa cha kiungwana

    Ilikuwa ni mida ya Saa 5 asubuhi kuelekea Saa 6 mchana ambapo Mzukulu nilikuwa napita zangu ndipo nikashikwa na butwaa hadi Masikitiko makubwa baada ya kuona Kijana (nadhani alikuwa nae ni Askari) akiwa amelazwa chini katika Geti la Kuingilia TPDF Golf Club huku amebebeshwa bonge la chuma na...
  19. Bonde la Baraka

    Hongera Rais Magufuli kwa kuongeza idadi ya maafisa wa JWTZ kwa kasi kubwa

    Zamani ukifika kambi ya jeshi maafisa we jeshi ni wakumulika kwa tochi. Kambi kubwa ina askari mia 5 lakini maafisa jumla yao utawapata 5 tu. Majukumu yaliyopaswa kufanywa na Meja yalikuwa yanafanywa na Kapteni au Luteni kutokana na kukosekana nguvu kazi. Lakini sasa hili tatizo linapotea...
  20. figganigga

    Vijana wetu 10 waliokuwa kwenye mafunzo ya JWTZ wamepoteza maisha

    Wakuu, Unajua haya mambo ya Jeshi sijui inakuaje kama mtu ukifiwa. Juzi tumepata msiba wa Vijana wetu zaidi ya kumi walikuwa kwenye Mazoezi. Leo ndo tunaaga hapa Lugalo Dar, kwa anayetaka kushiriki mazishi aje. Naamini Jeshi litatolea ufafanuzi taarifa hii ili kuondoa sintofahamu. Baada ya...
Back
Top Bottom