Hakika nalipongeza jeshi letu, JWTZ, kwa umahiri na uweledi katika shughuli zao za Ulinzi wa nchi. Hawa wapiganaji , si wa enzi zetu za JKT, kupigana kwa singe na bunduki za SAR na sana sana SMG.
Sasa naona kuna mitambo ambayo ni projectiles zinazohitaji mahesabu na timing.
Hongera JWTZ, yo...
Anaitwa Abdulrahman Amiri Shimbo.
Alikuwa katika kikosi cha JWTZ kilichotumwa Seychelles kufundisha Jeshi la visiwa hivyo.
Major Abdulrahman Shimbo alikwenda Seychelles mwaka 1978 kuwa katika kikosi cha JWTZ kilichoongozwa na Lt.Col.Hassan Ngwilizi.
Hassan Ngwilizi alikuwa mwalimu wa...
Ni 'Ndege Vita' nzuri sana tena za Kisasa kabisa Rangi ya Udongo ambazo zitasaidia mno Tanzania kuwa juu Kiuchumi, Maji kutopungua Mto Ruvu na hata Umeme kutokatika hovyo Tanzania.
Pia ni 'Ndege Vita' nzuri mno ambazo nina uhakika nchi kama Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia, Malawi na Msumbiji...
Hata kama kusaka huruma ili mwenyekiti wa chama chenu aachiwe sio kwa namna hii sasa.
Ni kweli watuhumiwa wenzake na Mbowe walikuwa watumishi na makomando wa JWTZ, lakini kumbukumbu zinaonyesha walishaachishwa kazi. Karibu wote waliachishwa kazi baada ya kupata matatizo ya afya wao wanadai...
Kesi ya Ugaidi inaypendelea Mahakama ya Uhujumu uchumi imeonysha namna Serikali ya chama cha Mapinduzi ilivyokuwa inaendeshwa na inavyoendeshwa. Yapo mambo ambayo Wala Jaji apaswi kusubiriwa kuyatolea hukumu maana yapo wazi kabisa. Mfano:
Mkuu wa upelelezi Arumeru Afande Jumanne anayetuhumiwa...
ABOUT JWTZ
The Tanzania People’s Defence Force (TPDF) (Swahili: Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)) is the armed forces of Tanzania. They were set up in September 1964, following a mutiny by the former colonial military force: the Tanganyika Rifles. From its inception, it was...
Salaam Wakuu,
Leo Jeshi la Wananchi Tanzania, linafanya Mkutano na Waandishi wa habari. Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021
Nipo Nimefika kwenye Ukumbi huu kuwajuza kila kitakachojiri.
=====
UPDATES: 1022hrs
======
Waandishi wameshafika eneo la tukio
1034...
Ni mara chache Jeshi letu la Wananchi kuja na tamko zito kama hili kunani? Je ni kuhusu ugaidi unawosemwa katika mitandao ya kijamii? ama tuvute subira hadi hiyo kesho saa nne (4) asubuhi kujua ni habari hiyo ya kustua.
Pia soma: News Alert: - Upanga, Dar: Yaliyojiri kutoka Ukumbi wa JWTZ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani atafanya Ziara ya kikazi Arusha kuanzia kesho Novemba 21, 2021.
Akiwa Arusha atawatunuku Kamisheni Maofisa Wanafunzi wa JWTZ Kwenye Chuo Cha Uongozi wa Kijeshi Monduli (TMA).
Mama Samia pia atahusika kwenye uzinduzi wa...
Zanzibar ina Rais, ina wimbo wa taifa, ina bendera ya taifa na ya Rais, ina Baraza la Wawakilishi, ina Baraza la Mapinduzi, ina Valantia, Mafunzo na KMKM, ina Serikali Kamili ya Mapinduzi SMZ, ni taifa kamili lililoungana na Tanganyika kutengeneza Tanzania bila kupoteza utaifa wake.
Mojawapo...
"Sasa ifike muda tuambiane Ukweli nashauri kuanzia sasa Watu wanaoajiriwa katika haya Majeshi yetu ya Polisi na Jeshi la Wananchi wawe ni wale tu waliofaulu kwa Division One Shuleni au First Class Degree Vyuo Vikuu na tuachane Kuajiri Failures katika hizi Taasisi kwani hawataweza Kusaidia...
Wakuu nchi imekuwa ngumu hii nahisi kila mtu amevurugwa, imetokea jana asubuhi kuna jamaa anasemekana ni mjeda amepewa kichapo na vijana hao wenye hasira kali.
Chanzo ni baada ya bodaboda kumpeleka mjeda huyo kazini..inasemwa mjeda huyo alifika kijiweni juzi asubuhi na kumchukua boda mmoja...
Mwaka 1979 Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) liliuchukua mji wa Kampala na rais wake Dikteta Fashisti Nduli Idd Amin Dada akakimbia nchi na wanajeshi wote wa Uganda kwa unafiki wakaungana na JWTZ kushangilia ushindi.
Mwaka huu 2021 kwa style ile ile Taliban wamechukua jiji la Kabul, Rais...
Nimeona ni vyema kutoa pongezi chanya kwa idara na watu wanaotenda mema wangali wakiendelea kutenda mema ili kwanza, watiwe moyo, lakini pia wale wengine wanaojikwaa mahalali , wapate hamasa ya kutenda mema.
Uzi huu ni rasmi kuwapongeza JWTZ, au Jeshi la Wananchi wa Tanzania (Tanzania Peoples'...
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikiliia Daniel Ruzinokwa kwa tuhuma za kukutwa na sare za Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ambazo amekuwa akizitumia kufanya udanganyifu na matukio ya uhalifu katika mikoa mbalimbali nchini.
Kamanda wa polisi wa mkoa wa Kilimanjaro, Simon...
Nakumbuka mwaka 2020 aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla alimtuhumu aliyekuwa Meya wa Iringa kuwa ametenda kosa la ujangili baada ya kupakia picha kwenye mtandao wa Twitter akiwa amemuua nyoka aina ya chatu. Zaidi soma Dtk. Kigwangalla amtuhumu Alex Kimbe kwa ujangili...
Nilikua napitapita kule YouTube nilipokutana na hii vidio ilio nishtua sana, eti mwanajeshi kaua chatu kwa "mikono yake" miwili (Ingawaje hapo akijieleza anasema alitumia mkuki na pia panga).....
Kilichonishtua ni jinsi vile media ya jeshi ilirukia na kuingia kazini eti kutoa taarifa kana...
Tanzania yaingiza mhaho, imesema malumbano ya Msumbiji yasuluhusishwe kwa maongezi, yaani kama vipi hayo majihadi yasitishe kukata vichwa vya watu na kuitwa vikao vya kuwabembeleza.
Juzi kikao kimefanyika cha jopo kazi iliyobuniwa na SADC ambayo ilishauri majeshii yatumwe kule maana hayo...
Sisi hatupo vitani,ila tunayo ya kujifunza.
1. Miaka mingi iliyopita Armenia ilitandika Azerbaijan na kunyang'anya maeneo makubwa.
2. Mwaka 2020 Azerbaijan ilijipanga ikaanzisha vita, Armenia walikuwa na majeshi na silaha nzito mno lkn hawakujua alichokuwa nacho adui yao.
3. Armenia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.