Swala la kuwa huyu Kiongozi ni brilliant halina mjadala.
Pia swala la kuwa over ambitious, trickstar, Msoga slave, Tanzanian with foreign origin(moo), liko wazi narudia zitto ni mtanzania halali alie na asili ya nje hili huficha sana sijui kwa nini.
Chadema alikuwa anawasiliana na Kikwete...
Anajua akimchafua Magufuli labda atapata kiki maana sasa wapinzani na wanaCcm kwa ujumla walishamchukia na kumuona ni tapeli la kisiasa lenye kujali matumbo yake.
Amejaribu kuonyesha na kuchambua juu ya namna Kabanga nikel ilivyouzea kwa hasara lakini amepuuzwa na wananchi.
Zile zama zake za...
Kama kuna raia mwema alimtonya Zitto juu ya kuchoma shamba lake na nyumba yake kuwa ulikuwa mpango wa lile kundi la wasiojulikana basi sasa ndio kipindi muafaka cha kuwaumbua hawa watu
Zitto naye ahojiwe kama Askofu Mwingira ili aweke mambo hadharani maana tuhuma.zao zinafanana kabisa.
Huu...
Josina Machel katika S is for SAMORA
Uhuru wa nchi ya Msumbiji hauwezi kuelezwa bila kumtaja Samora Machel na bila kuitaja Tanzania. Hata hivyo Watanzania wengi na pia wana Msumbiji wengi wa kizazi cha sasa wanapoteza kumbukumbu kuhusu nafasi ya Tanzania katika harakati za ukombozi wa nchi...
Wakati ule Dk Slaa alikuwa vizuri na sisi tulikubalika na ilikuwa lazima tukate Dola maana Ccm ilikuwa haikubaliki kabisa.
Kwa namna ya njaa ya siasa yake Zitto alitumika na Ccm kuivuruga Chadema ili CCM izidi kukamata dola.
My Take: Huyu mnafiki anapaswa kupigwa mawe hadharani. Kibaraka wa Ccm.
Kumbe kuna kundi kubwa la wanasiasa hapa Tanzania wana kinyongo na hayati JPM sababu alisimama kidete kulinda pesa za umma na kuwafanyia makubwa watanzania kwa kipindi kifupi akiwa rais wa JMT.
Kuna kundi la wanaCcm ambao huko nyuma walinufaika na ufisadi kupitia deal kama Epa, Kagoda Escrowa...
Ndugu Zitto Kabwe, Kiongozi wa chama cha ACT
Pole na majukumu ya kazi zako. Nakuandikia hii barua ili mimi na wewe tuweze kureason, na kuchukua hatua sahihi ya kisiasa inayoendelea nchini kwa manufaa ya usitawi wa demokrasia nchini.
Mheshimiwa, Zitto
Mimi binafsi ni miongoni mwa watu waliokupa...
KM wa CHADEMA, @jjmnyika akisoma ujumbe wa mwenyekiti @freemanmbowetz baada ya kujulishwa mbanga za zambarau na MaCCM kumtaka aombe msamaha kwa tuhuma za ugaidi. Freeman anasema yupo tayari kusibiri hata miaka 20 gerezani ili tu ukweli ujulikane hata kama mahakama haziaminiki.
“sijaomba msamaha...
Nilimsikiliza Zitto Kabwe, mmoja wa vigogo katika viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani hapa Tanzania, akitoa hotuba yake katika mkutano wa Baraza la Vyama vya siasa. Nilimsikia akimuomba Rais Samia, kwa unyenyekevu mkubwa, "asaidie" ili Mbowe awe huru.
Nilisikiliza pia majibu ya rais...
Jumuiya ya kimataifa (wabeberu) wameikalia kooni serikali ya Mh. Samia Suluhu, kwa kutuma mawakala wake kufuatilia kila hatua jinsi kesi ya kubumba (mchongo) inayomkabili Mh. Mbowe na kutuma ripoti kwa kila hatua inavyoendeshwa.
Na wameahidi hakuna kutuma misaada hadi pale watakapomuachia Mh...
Niwakumbushe nyinyi mlioingia kwenye siasa juzi, mjue kwamba Zitto kwa kumuomba rais amwachilie mbowe hatafuti umaarufu, alishakuwa maarufu wakati ambao hawa wanaopiga kelele wote hawapo.
Zitto kabla ya Lissu alikuwepo na alikuwa maarufu, kabla ya mnyika, Kigaila Heche, Msigwa, Sugu na...
Ni dhahiri tatizo la Umeme limetokana na kupuuzia Miradi ya Umeme wa Gesi Asilia. Uongozi wa sasa utupe jawabu la changamoto hii twende mbele.
Changamoto ya Maji imesababishwa na nini? Nani alizuia Mradi wa Bwawa la Kidunda? Visima vya Kigamboni? Je tusubiri mvua? Isiponyesha?
ZITTO AMTETEA JANUARY MAKAMBA
"Ukweli usemwe, awamu ya tano hakuna ongezeko la uzalishaji umeme lililofanyika, miaka5 bila kukarabati njia za umeme, Magufuli aliendesha nchi kwa kudanganya, sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani, hatujaogeza hata 1MW kwa miaka 5"@zittokabwe
Nawataka Jeshi la Polisi Tanzania @tanpol kumwachia Huru mara moja ndugu Vitalis Maembe. Polisi Mkoa wa Pwani wamefanya la hovyo sana kumkamata Vitalis kutokana na kazi yake ya kisanii ya wimbo wa Kaisari. Haivumiliki na tunataka Vitalis aachiwe Huru SASA HIVI https://t.co/QKqRbVOrqm
Kiongozi wa ACT ndugu Zitto Kabwe akiwa katika kipindi cha Salama Na kinachorushwa Dstv, amekiri kuwa Hayati Magufuli alikuwa anamchukia sana.
Zitto ameongeza zaidi, Magufuli hakuwa na hekima, aliamini katika ubabe, hivyo nilianza kumpinga hapo ndipo chuki yake kwangu ilipoanza.
Zitto alifika...
Kupitia ukurasa wake wa Twitter bwana Zitto Kabwe amemuasa Waziri wa Mambo ya ndani bwana Simbachawene aache kuzuia social media kama space na Ch's badala yake yeye mwenyewe azitumie vizuri zitamsaidia kufikia watu
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ni miongoni mwa watu waliohudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe inayofanyika Leo Agosti 31, 2021 katika Mahakama kuu kitengo cha Uhujumu Uchumi Jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa TCD, Zitto...
Mwanasiasa Zitto Kabwe ambaye hivi karibuni alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa jukwaa la demokrasia nchini (TCD) ameanza majukumu yake hayo kwa kukutana na kufanya mazungumzo na bwana John Mnyika Katibu Mkuu wa CHADEMA taifa.
Zitto Kabwe ameeleza dhamira yake ya kutumia jukwaa hilo kuleta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.