Kupitia ukurasa wake wa Twitter anaandika Zitto.
1.Rais na Serikali yake wanajua wazi kuwa Mbowe Si gaidi,na hilo watanzania wote wanalifahamu kuendelea kumshikilia kwa mashtaka ya kubumba kunaenda kufuta matumaini ya dunia kwa Raisi Samia kuwa Tanzania ilianza kurudi ktk misingi ya Demokrasia...
Kwenye siasa Zitto anaendeshwa na mambo makuu mawili.
1. Pesa (Je, atafaidikaje kwa jambo fulani).
2. Position (Je, anaweza pata nafasi gani ya kumpatia kipato au deals )
3. Imani (aliyeko madarakani ni Dini gani?)
Hayo ndiyo humwendesha Zitto Kabwe. Kama Dini yako ni tofauti na yake lakini...
Fack check
Supreme leader and Chief Advisor wa ACT Wazalendo Bw. Zitto Kabwe ameandika kwenye mtandao wa Twitter kua Tanzania haijawahi kutokea mkuu wa mkoa, RC ama mkuu wa wilaya DC kushtakiwa akiwa ofisini katika historia ya Tanzania.
Zitto hua sio mwanasiasa wa kumuamini, wanasiasa wote ni...
Ukimsikiliza sana Spika Ndugai anavyohuzunikia bunge lake ni kana kwamba anawatafuta wabunge wa " kujiripua" dhidi ya Serikali lakini hawaoni waliomo wote ni maajenti wa Serikali.
Na itawezekana Ndugai ataweweseka zaidi kwa sababu akina Lembeli ambao walau waliisaidia CCM kuibana serikali...
Kitendo cha KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe kumtelekeza mgombea wa chama chake mzee Membe na kumuunga mkono Tundu Lisu wa Chadema wakati wa uchaguzi mkuu hakikuwa cha kiungwana kabisa.
Kwa sasa Zitto Kabwe anafanana na Augustino Lyatonga Mrema kwa kila kitu katika medani za siasa.
Laana ya...
Zitto Kabwe amewaambia wanaoizodoa Act-Wazalendo kwa kushiriki Uchaguzi Mdogo kuwa wanasumbuliwa na ushamba.
Haya ameyaandika baada ya baadhi ya watu ambao anawaita ''wenzetu'' kuanza kumzodoa wakati walisusia uchaguzi na chama chake kikaheshimu uamuzi wao wa kususia uchaguzi.
Maelezo haya...
Ukiangalia muendelezo wa mateso ya Upinzani wa ukweli Tanzania hasa CHADEMA, Zitto na Chama chake hawajawahi kuguswa. Ni maneno tu lakini CCM haimgusi.
Zitto Kabwe hana ushirikiano na wapinzani. Siku zote ni SNITCH. Wapinzani wanapoelewana au kuafikiana, yeye Kama Lipumba, anakuja na mchanga na...
Ameandika hivi kupitia twitter:
Tumekusanya matokeo ya uchaguzi katika vituo vyote 336 vya kupigia kura Jimbo la Muhambwe. Kura zetu, 41% ya kura zote, haziwezi kutupa Ushindi. Uchaguzi uliendeshwa vizuri. Kasoro kadhaa zilizojitokeza zisingebadili matokeo. Tunatumia uchaguzi huu kama Mafunzo...
Heri nusu shari kuliko shari kamili.
Mbowe alisema Chadema haitashiriki uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi.
Zitto Kabwe akasema kwa sababu hii ni awamu ya 6 hawana shaka yoyote na tume ya uchaguzi
Leo wakati wananchi wanapiga kura kwa utulivu na amani Zitto Kabwe anaturejesha kwenye...
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe,akiwa na mgombea ubunge wa Jimbo la Muhambwe Julius Masabo wamevamiwa na watu waliokuwa kwenye magari matatu yanayosadikiwa kuwa ya CCM yakiwa na namba za Usajili T281BFG, T195JV na T148DFA.
Katika uvamizi huo gari yenye namba DFA inasadikiwa kuwa...
Bunge letu linahitaji kuongezewa chachu ya aina fulani ili liweze kuichambua kikamilifu Miswada ya Serikali.
Vile vile Bunge letu linahitaji Sauti ya Upinzani yenye kukubalika mbele ya jamii yetu ya Kitanzania.
Kwa kuwa Kada wawili wa CCM wamekuwa Wabunge wa Kuteuliwa, Humphrey Polepole na...
KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa Tanzania
Kisha hizi meli tunazoziona zikileta mizigo Dar port ndio zitakuwa zinabeba miizigo kutoka...
Akichambua ripoti ya CAG, Zitto amesema taarifa ya CAG imeibaini MSD inaidai Serikali zaidi ya sh bilioni 300 na MSD ili ijiendeshe inahitaji sh bilioni 500 fedha ambayo inalingana na gharama ilotumika kununua ndege moja.
Akiwa anaongelea kuhusu MSD, sauti imekatwa ghafla na baadae kumtoa hewani kabisa kisha kuweka matangazo. Hii haikubaliki. Bajeti ya MSD imetekelezwa kwa chini ya asilimia moja.
Baada ya uchambuzi, wamerudisha LIVE. Wanaouliza maswali hawaoneshwi lakini u-tube wanaonesha
Baada ya mchangiaji...
Ama kweli mambo yamebadilika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu Rais Samia aingie...
Watanzania tujadili kwa kina kuhusu taarifa zinazosambaa kuhusu Zitto kuchambua ripoti ya CAG kupitia televisheni siku ya leo ambayo Mbowe alipanga kulihutubia Taifa.
Je, hii haina maana ya kuwavuruga watu waliojipanga kumsikiliza Mbowe? Kwanini Zitto asingepanga siku nyingine?
Upinzani...
Kuna wakati miaka ya nyuma Zitto Kabwe akiwa mbunge kutokea Kigoma alidai hapo zamani kabla ya ujio wa Wakoloni Kigoma na Kisiwa cha Mafia zilikuwa ni nchi huru.
Sijajua ukweli wa jambo hili ila ninachokumbuka kabla ya ukolomi wachagga walikuwa na Rais wao ila sijui kama Moshi ilikuwa ni nchi...
Kumbe homeboy ni homeboy tu. Kiongozi wa ACT-Wazalendo amefura na amekuwa kama mbogo. Hii ni baada ya video iliyosambaa mitandoni ikimuonyesha Makamu wa Rais wa sasa akicheza ngoma inayofanana na ya Kirundi.
ACT Wazalendo imesema watashiriki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe kujaza nafasi ya mbunge iliyo wazi baada ya mbunge wa awali kufariki dunia.
Katibu mkuu wa ACT Wazalendo mh Shaibu amesema kuna tetesi kuwa Zitto Kabwe anataka kugombea lakini wao kama chama Zitto hajawaambia kama ana nia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.