David Zacharia Kafulila (born 15 February 1982) is a Tanzanian NCCR–Mageuzi politician and Member of Parliament for Kigoma South constituency since 2010.
YAJAYO YANAFURAHISHA SANA
Mkurugenzi Mkuu wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa X zamani tweeter,
Kafulila akiifafanua Dira ya Maendeleo ya Taifa la Tanzània ya 2025- 2050 amesema yafuatayo,
1. Kafulila amewataka Watanzania wafahamu kuwa...
Aliporejea kutoka India alisema mengi, lakini hili la Adan akitaka apewe TANESCO kama mwekezaji nasikia harufu kwasababu wenzetu wamesikia harufu toka kwa Adan.
Namtaka Kafulila aje atwambie hii harufu ya Adan kule India hakuisikia kama siyo kupakazwa na yeye?
Ile TICS kachukua Adan. Kafulila...
Bilionea wa kihindi Gautam Adani ameshitakiwa kwa utapeli na rushwa katika mahakama ya New York. Yeye na wenzake wanatuhumia kuahidi rushwa za mamiliono ya dola kwa maafisa wa serikali ili kupewa mikataba na tenda kimagumashi ikiwemo ya umeme wa solar.
Itakumbukwa kuwa moja ya makampuni ya...
Sikilizeni, Nyie vijana hasa wale mnaopata nafasi za kuongoza jaribuni kukaa mbali na matendo mabaya ya rushwa pamoja na ufisadi kuna siku majina yenu yatajadiliwa kwa mema kama ilivyo leo kwa Kafulila, Polepole, Silaa na wengine.
Leo naomba mniwie radhi kwa mada hii huenda...
Ndugu zangu Watanzania,
Ningependa kusema kuwa PPP (Public Private partnership)yaani ubia kati ya secta ya Umma na binafsi ni mkombozi na mfumo ambao unaweza kutusaidia sana katika kuharakisha miradi mbalimbali ya kimaendeleo.
pamoja na kuvutia mitaji mikubwa mikubwa ya mabilioni ya pesa...
Ndugu zangu Watanzania,
Mkurugenzi Mkuu wa PPP Mheshimiwa David Kafulila amewatoa hofu watanzania ambao wameonyesha kuwa na hofu kubwa sana juu ya mikataba ya Ubia .hasa kwa kurejea majeraha na makovu ya mikataba mibovu ambayo yamewahi kushuhudia yakileta hasara kwa Taifa letu.ikiwepo IPTL...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa David Kafulila Chuma cha Reli ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa PPP, ametua mbele ya Sanamu ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Katika ubalozi wetu wa Tanzania Nchini India . Ambapo Mzalendo huyu mwenye maadili na aliyenyooka kama rula.
Na ambaye amekuwa...
Kama kuna kitu Tanzania inapashwa kukipa nguvu inayostahili basi ni hii PPP ya Kafulila.
Nchi nyingi dunia zinanufaika na PPP hasa katika kukuza Uchumi jumuishi kwa maendeleo endelevu.
===
Akihojiwa na kituo cha runinga cha Clouds Media Group Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPP -Centre David Zacharia Kafulila alikuwa na haya ya kusema ;-
"Tafiti zilizofanyika zilionesha kwamba mwaka 2015 mahitaji ya miundombinu yaliyokuwepo yalijitosheleza kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Wafuatiliaji wa siasa za Nchi hii mtakubaliani nami kuwa Mheshimiwa David Kafulila pamoja na Mheshimiwa Zitto Kabwe ndio watu Pekee waliokuwa wanaubeba Upinzani hasa CHADEMA katika masuala na hoja zote zinazogusu na kuhusu Uchumi.Ndio maana CHADEMA mpaka sasa huwezi...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna wakati nilishuhudia kwa macho yangu Mwenyewe watu wakiacha na kusimamisha kazi ili wafuatilie mijadala ya Bunge, nilishuhudia watu wakiwa vikundi vikundi vibanda umiza wakiwa wanafuatilia kwa ukaribu sana bunge na kujuwa kabisa akitoka fulani kuchangia anafuata...
Ndugu zangu Watanzania,
Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa wala kuogopa wala kupoozwa wala kuangalia ni nani anayepambana naye au aliye mbele yake.
Chuma David...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya watanzania. Miongoni mwa watu hao basi ni hawa watu wawili ambao wamewahi ishitua Tanzania na kugusa mioyo ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Uongozi ni kuacha alama zinazoishi katika Maisha na mioyo ya watu, ni kuacha kitu kitakacho simuliwa vizazi kwa vizazi,ni kuacha rekodi ambayo itaimbwa na kuzungumzwa na watu kwa miaka mingi hata kama wewe utakuwa haupo uongozini au Duniani lakini utaendelea kuishi na...
Ndugu zangu Watanzania,
Kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya mbingu. Nafikiri sote tunamfahamu vyema Mheshimiwa David Kafulila,tunafahamu uzalendo wake kwa Taifa letu,uchapa kazi wake, upendo wake kwa Wananchi. Tunafahamu vyema na kwa undani uwezo wake wa kujenga hoja...
===
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu na mashaka Watanzania kwani Serikali yao ya awamu sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan ina nia na dhamira njema dhidi yao.
Kafulila akihojiwa Katika kipindi Cha Television amesema si kosa nchi kukopa kwaajili ya...
Akizungumza katika maadhimisho ya miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema,
Nchi ya Tanzania kwa awamu hii ya sita imeamua kujikita zaidi kwa kuwekeza kwenye Sekta ya Kilimo ambayo...
Mkurugenzi wa Ubia nchi PPP Mhe David Kafulila ameueleza umma wa Watanzania kuwa Wawekezaji hawawezi kuwekeza kwenye nchi ambayo haina Utulivu wa Kisiasa,
Aidha Mhe Kafulila amesema ,Nchi ambayo watu wana-tension, Watu wanatafutana haiwezi kupata wawekezaji serious na haya ni matokeo ya...
:::::::
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa na kituo cha Utangazaji Cha Global TV alikuwa na haya ya kusema "Wakati Rais Samia anaingia madarakani Uchumi wa Tanzania ulikuwa US$ 66BL Leo ni US$ 85BL sawa na ongezeko la US$19 wakati deni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.