David Zacharia Kafulila (born 15 February 1982) is a Tanzanian NCCR–Mageuzi politician and Member of Parliament for Kigoma South constituency since 2010.
Akiwa katika maadhimisho ya Siku ya Mashujaa, Rc Kafulila ameifananisha kasi ya maendeleo inayopigwa na Rais Samia inafanana kabisa na ile ya mashujaa wetu,
" Kumbukumbu ya Mashujaa inatukumbusha historia yetu,
inatukumbusha historia ya wazee wetu na mchango wao wa damu kumkabili mkoloni...
RAIS SAMIA ANAVYOIVUTIA KASI VIETNAM, KOREA KIMAENDELEO,
Mhe Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila anasema,
Ujenzi wa Chuo cha VETA Simiyu ni moja kati ya vyuo 25 anavyojenga Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, nchi nzima kuanzia mwaka jana,
Mhe Rais anatujengea jumla ya majengo 25 na sasa tupo...
AG Mstaafu Mhe Jaji Warema azungumzia sakata la kumwita RC David Kafulila "tumbili"
Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema amezungumzia sakata la kumuita tumbili aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila.
Jaji Warema amezungumzia sakata...
RC Kafulila apiga marufuku ‘michomoko’ kusafirisha abiria Mkoa wa Simiyu
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (RC) nchini Tanzania, David Kafulila amepiga marufuku magari madogo maarufu michomoko kusafirisha abiria mkoani humo.
Ni baada ya kuhusika kwenye matukio ya ajali yaliyosababisha vifo vya watu 10 na...
13 July 2022
Simiyu, Tanzania,
MCHOMOKO"
Posted On: July 13th, 2022
RC SIMIYU APIGA MARUFUKU MICHOMOKO KUBEBA ABIRIA.
MKUU wa mkoa wa Simiyu,David Kafulila amepiga marufuku kwa magari madogo ya abiria yanafanya biashara ya kusafirisha watu maarufu kwa jina la Michomoko katika mkoa huo...
Kwa muda mfupi ambacho Kafulila ameongoza Mkoa wa Simiyu tumeshuhudia mageuzi makubwa ikiwemo kumtaka Mkandarasi aliyejenga barabara ya Maswa- Mwigumbi chini ya kiwango kuirudia kwa gharama zake jambo ambalo watangulizi wake hawakuliona kama ni tatizo.
Kafulila amesimamia nidhamu ya ukusanyaji...
Kampuni ya kichina ya CHICCO yatekeleza agizo la RC Kafulila, tayari imekamilisha marudio ya barabara yenye urefu wa kilometa 10 zenye thamani ya tzs15bl.
==
Kampuni ya Kichina ya CHICCO inayotekeleza ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi - Maswa yenye urefu wa kilomita57, ilianza ujenzi tangu mwaka...
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila ameeleza bayana kuwa tatizo la kukatika kwa umeme kwa Mkoa wa Simiyu kumesababisha mwekezaji wa Kiwanda cha nguo kinachotumia malighafi ya pamba kushindwa kuwekeza katika Mkoa huo.
Mkuu wa Mkoa alikuwa akitoa maelezo hayo kwa Waziri wa Nishati, Januari...
Nilipokuja Simiyu kuanza kazi mwaka jana 2021 baada ya Rais Samia kuapishwa kuwa Rais wa JMT na kuniapisha kuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu.
Nilikuta halmashauri zina hali mbaya sana kwenye usimamizi wa mapato.
Maswa ilikuwa imekusanya 39% ya lengo, leo imefika 120%.
Mapato kwa miradi ya...
KATIBU WA AMCOS WILAYANI MASWA KORTINI KWA UHUJUMU UCHUMI.
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(Takukuru) imemfikisha Katibu Wa Chama Cha Msingi cha Ushirika (Amcos)cha Mbaragane katika wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu,Samwel Makeja katika mahakama ya wilaya hiyo kwa makosa mawili ya...
RAIS SAMIA NA UCHUMI WA GESI, TUPO NJIA SAHIHI
Na David KAFULILA
Jumapili, Juni 12 , 2022
Jana, Juni11, 2022, Rais wetu SSH ameshuhudia makubaliano ya awali ya uwekezaji wa $30bn kati ya Serikali yake na kampuni kubwa 5 za kimataifa ambazo ni Equinor, Shell, ExxonMobil, Medco Energy na...
SIMIYU: KAMPUNI ZILIZOSAMBAZA DAWA FEKI ZA PAMBA KITANZANI
Mkuu wa Mkoa Simiyu, Ndugu David Kafulila amesema timu aliyounda kuchunguza ukubwa wa tatizo la dawa feki za pamba itamaliza kazi siku ya Jumatatu, Juni5, 2022.
Kafulila amesema hayo kufuatia malalamiko ya wakulima kuhusu bodi ya pamba...
KAFULILA: BEI YA UMEME KENYA MARA MBILI YA TANZANIA
Mkuu wa Mkoa Simiyu, David Kafulila amesema takwimu za ulinganisho wa bei ya Umeme Afrika mashariki zinaonesha kwa wastani watanzania wanatozwa bei chini ya umeme kuliko nchi zote Afrika mashariki na kusisitiza kuwa nafuu hiyo ya bei ni...
MAELEKEZO 8 YA RC KAFULILA KWENYE MEI MOSI SIMIYU, ILIYOFANYIKA KIMKOA WILAYANI MEATU LEO 01|05|2022
1. Tanzania ni miongoni mwa nchi chache duniani ambazo zina sheria zinazolinda haki ya mfanyakazi kwa kiasi kikubwa ndio maana mchakato wa kumfukuza kazi mtumishi ni mgumu sana. Hata hivyo...
David Kafulila bila Shaka ni mtaalamu mkubwa wa hujuma. Alikuwa Chadema huko alishirikiana na kundi lake kulihujumu hicho chama. Baadaye alihamia NCCR Mageusi huko nako alihujumu kabla ya kutimkia CCCM. Akiwa CCM ametumika sana. Na katika hawamu ya 5 amepiga kila haina ya hujuma. Kwa sasa...
Mkuu wa mkoa wa Simiyu David Kafulila, amesema licha ya kuwapo kwa baadhi ya changamoto ya utoaji wa huduma za umeme, lakini Tanzania ni nchi pekee katika mataifa ya pembe ya Afrika Mashariki yenye gharama ndogo zaidi ya tozo za umeme, ikilinganishwa na nchi nyingine za ukanda za huo.
Hayo...
Hii imekaaje ?
Mtu anachaguliwa nafasi fulani, anafanya baada ya muda anajiuzulu kwenda kutafuta nafasi anayoitaka mwenyewe.
Cha kushangaza mtu huyo huyo teuzi nyingine zikifanyika unamuona kateuliwa tena. 🙄
Je, hakuna watu wengine au what's so special na hawa watu ?
Nadhani wakati wa kura...
Dkt. Mpango: Wakuu wa Mikoa wasiwe walevi na wazinzi
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, amewataka Wakuu wa Mikoa walioapishwa Mei 19, 2021 wafanye kazi kwa weledi Asema Kiongozi mzuri ni yule mwenye busara na bidii ya kazi
Jaji Mkuu: DPP ni chujio la kwanza la haki
Prof. Ibrahim Juma...
Na David KAFULILA
KUNA sababu nyingi za kuchelewa kwa LNG yetu kulinganisha pengine na tulivotarajia kama nchi lakn pia kulinganisha na washindani wetu eneo hilo kama Mozambique.
Sababu kubwa kwa maoni yangu mimi ni anguko la bei ya gas duniani kwa karibu muongo mzima. Tathimini ilofanywa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.