David Zacharia Kafulila (born 15 February 1982) is a Tanzanian NCCR–Mageuzi politician and Member of Parliament for Kigoma South constituency since 2010.
KAMISHNA wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (Public Private Partnership-PPP) chini ya Wizara ya Fedha na Mipango, David Kafulila, amesema hadi kufikia 2027 India itakuwa Nchi ya tatu kwa ukubwa wa Uchumi Duniani.
India wana Miradi ya PPP 998 katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania...
Salaam Wakuu,
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo June 09,2023 amefungua na kushiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Biashara (TNBC), Ikulu Dar es salaam ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba Davidi Kafulila ambaye ni Kamishina wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na...
Kamishna wa Idara ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (Public-private partnerships - PPP), David Kafulila amezungumzia mambo kadhaa kuhusu uwekezaji na ubia:
Ufafanuzi wa ubia
Akifafanua kuhusu ubia ameeleza unatangenezwa katika mkataba wa uendeshaji wa jambo fulani, ambapo...
Kituo Jumuishi Huduma za Kimahakama, Mirathi na Ndoa, Temeke kimeivunja rasmi ndoa kati ya wanasiasa machachari David Kafulila na Jesca Kishoa kupitia shauri la ndoa No 217 ya 2022.
Ndoa hiyo iliyofungwa Aprili 22, 2014 ilivunjwa rasmi Februari 20, 2023 baada ya wanandoa hao kutengana tangu...
Wengi tulimwona chizi,wengine tufikiri anakaribia kupelekwa Mirembe.
Kumbe Kafulila alishausoma mchezo ni mwendo wa kusifu na kuimba mapambio yenye sifa na utukufu.
Na mimi Ngongo nalianzisha,
Mama anaupiga mwingi.
Hakuna kama Mama.
2025 ni yeye tu hakuna mwingine.
Uchumi umepaa kipindi cha Mama.
David Kafulila ameteuliwa Kuwa Kamishna Idara ya Ubia kati ya sekta ya Umma na sekta Binafsi ambayo ni miongoni mwa Idara za Wizara ya Fedha na Mipango.
Majukumu ya Idara ya PPP:
1. Kusimamia, kuchambua na kuzishauri Mamlaka za Serikali katika uanzishwaji, uchambuzi na utekelezaji wa miradi ya...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila kupitia Ukurasa wake wa Instagram amewafunda wanaolalamika Kuhusu ukuaji wa deni la Taifa.
Kafulila amesisitiza kama Taifa lazima tukope zaidi ili tujenge uchumi wetu zaidi,
Mhe Kafulila anasema hata Japan ambayo ni nchi ya...
Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.
Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya...
Wasalaam wana wa Mungu.
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu, David Zacharia Kafulila, amekosoa vikali kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu A Lissu kuhusu kesi iliyopelekea kukamatwa kwa Ndege yetu na Kesi zingine mashauli yazo kushughulikiwa kwenye Mabaraza ya Usuluhishi ya kibiashara...
Wasalaam JF,
Hoja thabiti za aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila zimeendelea kugonga Vichwa vya wale wote wanaotamani kusikia na kuona Rais Samia Suluhu Hassan kashindwa kuliongoza Taifa hili na Sasa utafutwe mbadala,
Tofauti kabisa na wanasiasa wengi hapa nchini...
Wenzako akina Happi wamewekeza kwenye kilimo na wanaajiri watanzania ili kuunyanyua Uchumi wa Nchi
Wewe David aka naniliu bado unadanda danda tu kwenye miti kutafuta mapera, unazeeka bwashee tumia akiba uliyojiwekea kwenye Ubunge, URAS na URC kufanya uwekezaji
Alhamis Ubarikiwe sana!
Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa
Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya...
Wakati baadhi ya Watanzania wachache wakiendelea kufumba macho na masikio wasione wala kusikia kazi kubwa na Nzuri inayofanywa na Rais wetu hodari wa awamu ya sita Mhe Samia Suluhu Hassan,
Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila ameandika haya Kwenye ukurasa wake wa tweeter kuhusu...
Gthinkers wasalaam,
Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa Twitter.
Ukweli ni kwamba bei ya mafuta imeshuka sana Tanzania japo hatujaona waliokuwa wakilalamikia kupanda kwa bei wakipongeza kushuka kwa bei.
Pia Soma hii,
👇👇👇
BEI...
Kafulila amshukuru Rais Samia, awaaga wananchi wa Simiyu
Siku moja baada ya kuachwa katika mabadiliko ya wakuu wa mikoa, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu, David Kafulila amemshukuru Rais Samia Suluhu kwa kumpa nafasi ya kulitumikia taifa.
Siku moja baada ya kuachwa katika mabadiliko ya...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila aliwahi kuulizwa na Ayo Tv siku chache zilizopita kuwa haoni anahatarisha nafasi yake ya ukuu wa Mkoa kwa uamuzi wake wa kumnyang'anya soko la madini lililokuwa likiendeshwa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu (MNEC), Gungu Silanga...
Kuna mambo Kwa sasa ukitumia akili kufikiri, utajiridhisha kwamba,
Kwa sasa utawalala huu hauhitaji watu wenye weledi katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi hii, isipokuwa ni kubebana tu ili mtoto wa aliyekuwa Fulani serikalini ale.
Na wakati mwingine ukitizama saaana kwa jicho la mwewe...
Habari JF,
Kwa kusema ukweli kila mwananchi mzalendo alifurahiswa na kasi ya utendaji kazi wa aliyekuwa mkuu wa Mkoa Simiyu David Kafulila.
Hivyo hizi ndizo tafsiri 3 za kukosekana kwake ni either :-
1. Kutokana na utendaji wake amaandaliwa Uteuzi wa Juu zaidi au
2. Ameachwa kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.