David Kafulila: Ubora wa Treni ya SGR ya Tanzania unazidi treni nyingi za Ulaya

David Kafulila: Ubora wa Treni ya SGR ya Tanzania unazidi treni nyingi za Ulaya

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
3,629
Reaction score
3,015


Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika kipindi maarufu cha Mada Kuu kinachorusha na kituo cha runinga cha Utangazaji cha TBC,

Kafulila amezungumzia Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika nyanja mbali mbali akitolea mfano Ujenzi wa Reli ya kisasa ya SGR yenye urefu wa km 2,809 itakapokamilika itagharimu $10.4bn au TZS 26 Trilioni.

Kafulila anasema ukisafiri na treni mpya ya SGR katika kipande kilichokamilika kutoka Dar mpaka Dodoma unaweza kuweka glasi ya maji juu ya meza na isidondoke.

Endelea kumsikiliza mpaka mwisho,
 
Asifie za Ulaya, atakuwa haipendi na hiyo kazi yenyewe, kitengo chake hicho, kinamtaka akae akilambalamba miguu ya aliyemteua

Tanzania vipofu ni wengi sana, mtu anaweza asipewe hongo tu ya kofia, baiskeli n.k ili apige kura, lakini pia anaweza kuhongwa cheyo ili awe mlamba miguu ya amhongaye cheyo!

Hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom