Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,629
- 3,015
- Thread starter
- #161
nani anatudaiLipeni kwanza madeni ya watu
nani anatudaiLipeni kwanza madeni ya watu
Chawa anaongea as if hiyo treni imetengenezwa hapa TanzagizaView attachment 3386333
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika kipindi maarufu cha Mada Kuu kinachorusha na kituo cha runinga cha Utangazaji cha TBC,
Kafulila amezungumzia Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika nyanja mbali mbali akitolea mfano Ujenzi wa Reli ya kisasa ya SGR yenye urefu wa km 2,809 itakapokamilika itagharimu $10.4bn au TZS 26 Trilioni.
Kafulila anasema ukisafiri na treni mpya ya SGR katika kipande kilichokamilika kutoka Dar mpaka Dodoma unaweza kuweka glasi ya maji juu ya meza na isidondoke.
Endelea kumsikiliza mpaka mwisho,
ndioKwani bangi si serikali imepiga marufuku?
wewe umefika?Asifie za Ulaya, atakuwa haipendi na hiyo kazi yenyewe, kitengo chake hicho, kinamtaka akae akilambalamba miguu ya aliyemteua
Tanzania vipofu ni wengi sana, mtu anaweza asipewe hongo tu ya kofia, baiskeli n.k ili apige kura, lakini pia anaweza kuhongwa cheyo ili awe mlamba miguu ya amhongaye cheyo!
Hovyo kabisa
NDIO ulAayaUlaya ni w
anajikweza sanaUtawadanganya mambugila ila siyo mabaharia
Ova
Anawadanganya mambugilaanajikweza sana
wewe hiyo ulaya umekanyaga?Anawadanganya mambugila
Watu waliyotoka mbwinde
Ova
Sasa una muuliza hilo swali baharia...wewe hiyo ulaya umekanyaga?
🤣jamaa anakwambia mita 3, kama urefu wa suruali. 🤣Suruali gani ina urefu wa mita 3?
Unajengaje hekta?
Amandla...
Bahari wa nchi kavuSasa una muuliza hilo swali baharia...
Hatujibugi maswali hayo
Ova
jamaa ni mzalendo sanakafulila anaongea ukweli mtupu gentleman,
na ukweli ni mchungu 🐒