David Kafulila: Ubora wa Treni ya SGR ya Tanzania unazidi treni nyingi za Ulaya

Ameshawahi kwenda U.K. na kupanda train za mkoa au ata local overground (na kuona humo ndani)

Isije kuwa kama alienda huko na kupanda underground London na; na kudhani train zote zinafanana.

London kuna train lines kama (DLR) na miji mingine mikubwa kama Manchester kuna train ambazo hazina hata dereva sasa hivi zIna miaka 40. Usifanya mchezo na wazungu anaijua U.K. au anaisikia tu.
Aliziona kwenye Movie 😅
 
Siku hizi kameibuka ka mtindo cha Tz kujiona ni bora kuliko Ulaya
 
Acha kudanganya watu .Uingereza kuna reli za zamani sana vile zinazoenda mikoani ni kweli zina shake reli mpya sasa hivi na train zake utazimia .Umeshatumia Elizabeth line?
 
Hicho ni kitu obvious kwa sababu wenye teknolojia ni hao hao wazungu...
 
View attachment 3386333

Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika kipindi maarufu cha Mada Kuu kinachorusha na kituo cha runinga cha Utangazaji cha TBC,

Kafulila amezungumzia Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika nyanja mbali mbali akitolea mfano Ujenzi wa Reli ya kisasa ya SGR yenye urefu wa km 2,809 itakapokamilika itagharimu $10.4bn au TZS 26 Trilioni.

Kafulila anasema ukisafiri na treni mpya ya SGR katika kipande kilichokamilika kutoka Dar mpaka Dodoma unaweza kuweka glasi ya maji juu ya meza na isidondoke.

Endelea kumsikiliza mpaka mwisho,
Ongeza sauti wewe chawa
 
NAKUBALIANA NA BWANA KAFULILA KWA KIASI KIKUBWA
 
Kumbe huyu jamaa ni mjinga hivi ?
 
Sasa kama uchumi tumewazidi Hilo unashangaa nini,reli yetu ni Bora dunia nzima ,hakuna kama SGR,marekani wenyewe wameomba tuwasaidie kujenga reli yao,
 
View attachment 3386333

Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika kipindi maarufu cha Mada Kuu kinachorusha na kituo cha runinga cha Utangazaji cha TBC,

Kafulila amezungumzia Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika nyanja mbali mbali akitolea mfano Ujenzi wa Reli ya kisasa ya SGR yenye urefu wa km 2,809 itakapokamilika itagharimu $10.4bn au TZS 26 Trilioni.

Kafulila anasema ukisafiri na treni mpya ya SGR katika kipande kilichokamilika kutoka Dar mpaka Dodoma unaweza kuweka glasi ya maji juu ya meza na isidondoke.

Endelea kumsikiliza mpaka mwisho,
Kidumu chama Cha Mapinduzi
 
Back
Top Bottom