Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,629
- 3,015
- Thread starter
- #81
Hapa umeandika nini mkuu?Kafulila has diarrhea of the mouth

Hiyo hiyoUlaya ipi????😳
Huu ni ujumbe anaupeleka kwa watanzania walio wengi ambao wamenyimwa elimu ikiwemo elimu bora na kuamini kila wanachoambiwa na wanasiasa/viongozi wa CCM ni sahihi.View attachment 3386333
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika kipindi maarufu cha Mada Kuu kinachorusha na kituo cha runinga cha Utangazaji cha TBC,
Kafulila amezungumzia Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika nyanja mbali mbali akitolea mfano Ujenzi wa Reli ya kisasa ya SGR yenye urefu wa km 2,809 itakapokamilika itagharimu $10.4bn au TZS 26 Trilioni.
Kafulila anasema ukisafiri na treni mpya ya SGR katika kipande kilichokamilika kutoka Dar mpaka Dodoma unaweza kuweka glasi ya maji juu ya meza na isidondoke.
Endelea kumsikiliza mpaka mwisho,
Huyu mwamba tangu apate kitambi na makalio makubwa, sasa, hv anatapika na kutoa uharo tu unaokuja kichwani, mwakeView attachment 3386333
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika kipindi maarufu cha Mada Kuu kinachorusha na kituo cha runinga cha Utangazaji cha TBC,
Kafulila amezungumzia Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika nyanja mbali mbali akitolea mfano Ujenzi wa Reli ya kisasa ya SGR yenye urefu wa km 2,809 itakapokamilika itagharimu $10.4bn au TZS 26 Trilioni.
Kafulila anasema ukisafiri na treni mpya ya SGR katika kipande kilichokamilika kutoka Dar mpaka Dodoma unaweza kuweka glasi ya maji juu ya meza na isidondoke.
Endelea kumsikiliza mpaka mwisho,
Huyo ni 3rd part/Middle man/DalaliView attachment 3386333

Hizi ni kampeni tuHuu ni ujumbe anaupeleka kwa watanzania walio wengi ambao wamenyimwa elimu ikiwemo elimu bora na kuamini kila wanachoambiwa na wanasiasa/viongozi wa CCM ni sahihi.
View attachment 3387661
Kwenye madeni tumekamatika kwelikweli sababu bibi kaishia kubariki zoezi hilo.Lipeni kwanza madeni ya watu
ManzeseUlaya ni wapi?
😅😅Huyo ngedere akipigwa vizuri atasema bangi hua anauziwa na nani na hua anavutia wapi maana anako elekea atakua mwehu kabisa
Na bado wanasema uchumi wetu ni bora kuliko USAHuyu naye sijui kama anajua analoongea fala huyu.Kwani tunashindana na Ulaya? Kama tunashindana tangu lini huyu Kafulila amekuwa judge?
😅😅Naanza kukonect dot unaweza kuta kafulila ndiye anajiita Lucas Mwashambwa hapa JF maana wameshabihiana sana kiuchawa