David Kafulila: Ubora wa Treni ya SGR ya Tanzania unazidi treni nyingi za Ulaya

Kafulila amekuwa chama namba 1 nchini Tanzania.

Hadi anasahau kuwa kuna reli ya TAZARA iliyojengwa baada ya uhuru na kukamilika ndani ni miaka 7 kilometa 1,800 reli ya TAZARA

Halafu Kafulila anatuambia hakuna reli hata ya kilometa moja iliyojengwa baada ya uhuru zaidi ya hivi vipande vya SGR RELI mpya ya Magufuli na Samia ?

DATA MRADI WA SGR RELI MPYA :
 
Bwana David Kafulila akiwa katika kipindi maarufu cha Mada Kuu kinachorusha na kituo cha runinga cha Utangazaji cha TBC,

Kafulila amezungumzia Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika nyanja mbali mbali akitolea mfano Ujenzi wa Reli ya kisasa ya SGR yenye urefu wa km 2,809 itakapokamilika itagharimu $10.4bn au TZS 26 Trilioni.

Yaani wote hao TBC wanamtazama Kafulila na historia ya reli ya uongo :

View: https://m.youtube.com/watch?v=QdA_s-hxju4

George Orwell ktk Kitabu cha 1984 anahoji:

Je, kazi ya Winston kada wa chama katika nukuu ya Wizara ya Ukweli ni ipi?

Winston anaenda kufanya kazi katika idara ya kumbukumbu ya Wizara ya Ukweli. Anakaa kwenye meza yake, akiangalia maandishi yake, mashine ambayo huandika kile anachozungumza ndani yake.

Kazi yake profesa itakijikita zaidi kusafisha taarifa zozote za maandishi ambazo zimethibitishwa kuwa si sahihi au zenye madhara kwa Chama - George Orwell 1984

Je, Wizara ya Ukweli inatumia msemo gani? Wizara ya Ukweli ina kauli mbiu tatu: "Vita ni Amani," "Uhuru ni Utumwa," na "Ujinga ni Nguvu." Mistari hii mitatu imeandikwa nje ya jengo ya Ofisi Ndogo ya Chama mtaa wa Lumumba . - George Orwell

George Orwell 1984 :

Je, ni nukuu gani kuhusu ukweli na uongo George Orwell 1984?

"Na ikiwa wengine wote walikubali uwongo (disinformation) ambao Chama kiliweka (kupitiia Kafulila) - ikiwa rekodi zote zilisema hadithi moja - basi uwongo huo ulipitishwa katika historia na kuwa ndiyo ukweli wote.

'Ni nani anayedhibiti yaliyopita' aliendesha kauli mbiu ya Chama, 'anadhibiti siku zijazo: ni nani anayedhibiti sasa anadhibiti yaliyopita. ni mwanazuoni mkubwa (David Kafulila)...'” - George Orwell

'The Ministry of Truth: A Biography of George Orwell's "1984"
 
Yaani wote hao TBC wanamtazama Kafulila na historia ya reli ya uongo :

View: https://m.youtube.com/watch?v=QdA_s-hxju4

George Orwell ktk Kitabu cha 1984 anahoji:

Je, kazi ya Winston kada wa chama katika nukuu ya Wizara ya Ukweli ni ipi?

Winston anaenda kufanya kazi katika idara ya kumbukumbu ya Wizara ya Ukweli. Anakaa kwenye meza yake, akiangalia maandishi yake, mashine ambayo huandika kile anachozungumza ndani yake.

Kazi yake profesa itakijikita zaidi kusasisha taarifa zozote za maandishi ambazo zimethibitishwa kuwa si sahihi au zenye madhara kwa Chama - George Orwell 1984

Hiki kitabu naona ni kizuri
 
Duuuh nitakujibu
 
Azisifie za Ulaya, atakuwa haipendi na hiyo kazi yenyewe na kitengo chake kinamtaka kulambalamba miguu ya aliyemteua

Tanzania vipofu ni wengi sana, mtu anaweza asipewe kofia, baiskeli n.k ili apige kura, lakini anaweza pewa cheyo ili alambe miguu
Tunasonga
 
Duuuh nitakujibu

Utamaduni wa kuhoji kuhusu matamko ya watawala na chawa wao ni muhimu, wasomi wetu wanajua ni uongo mkubwa anaosema Kafulila mbele ya jopo la wasomi katika kituo cha taifa cha TBC lakini wameamua kukaa kimya, hii ni hatari kama wasomi kushindwa kuhoji mambo yaliyo wazi kabisa.
 
Mwingine alituambia uchumi wetu unafanya vizuri zaidi ya Marekani na Ulaya. Huyu naye kaja tren na SGR yetu kuwa bora kuliko za Ulaya. Mwingine atakuja kutuambia Jiji la Dare salaam ni bora kuliko majiji yote ya Ulaya na ndege zetu za ATCL ni bora kuliko ndege za mashirika ya Ulaya. Yaani Sasa wanashindana kusifia, ni uchawa pro max.
 
Kafulila amekuwa chama namba 1 nchini Tanzania.

Hadi anasahau kuwa kuna reli ya TAZARA iliyojengwa baada ya uhuru na kukamilika ndani ni miaka 7 kilometa 1,800 reli ya TAZARA

Halafu Kafulila anatuambia hakuna reli hata ya kilometa moja iliyojengwa baada ya uhuru zaidi ya hivi vipande vya SGR RELI mpya ya Magufuli na Samia ?

DATA MRADI WA SGR RELI MPYA :
Kafulila has diarrhea of the mouth
 
Back
Top Bottom